Sabato masalia
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 228
- 134
Hayati mzee Mwasokwa atakumbukwa kwa uchapa kazi wake mahiri, wakati huo akiwa na akina mzee Kayugwa, mzee kiliwa mzee Adam Kilumbi, Mzee Shekalage, Mzee Lymo, Marehemu Amir Koyamba, Mzee Kashinde, Mzee Kisesa, Mzee Said Mawele, marehemu Mzee Mahmood Issa, marehemu mzee Ijagala, Mzee Bwimbo [upande wa PSU], mzee Kalumanga NA WENGINE WENGI.
Mungu kampenda zaidi ndio achinjwe?RIP baba,Tulikupenda Mungu amekupenda zaidi.
Huu pia ni msiba mkubwa kwa klabu ya Yanga,alikuwa ni mshauri mwema kwa wanajangwani.
Hili la kuwawa na usalama wa taifa wenzake kama litakuwa na ukweli, kwa kuisaidia CHADEMA ni kombora la kuendelea kuishindilia
ccm shimoni wala hakuna kupumua. Itawaumiza sana wakaazi wa mbeya. Tusubili kama ni za uhakika habari hizi.
Mwandosya
Mwakyembe
Mwangosi
Mwasokwa
.
.
.
Hapa kunakupona kweli ccm 2015
MwandosyaHawa woote si bahati mbaya!
TISS Again @ Work......Umesahau Imrani Kombe alivyouawawa? Unganisha Dots.....