The greatest of all ni kwamba Mbeya kuna almost all Climatic conditions - Kuna maeneo mvua inanyesha almost daily, Kuna maeneo ya baridi close to Zero, Kuna maeneo yenye joto almost throughout the year, kuna jangwa you name it
Mkuu wa Mkoa anaetumiwa na mafisadi kuuangamiza kimaendeleo mkoa wa kwao anatoka Mbeya!!!
Watu wanaooneana wivu usiokuwa na maendeleo wao kwa wao wanatoka Mbeya!!!
Katika hayo majina mmelisahau la Mtanzania nae si anatoka kwa wachuna ngozi!!!
Mwakipesile ama Mwakalinga?
hahaha!
mwakalinga huyo
BRAND YA KYELA
Barabara inayopita katika urefu mkubwa kabisa Tanzania toka usawa wa bahari- Mbeya (Ni barabara ya Mbeya -Chunya)
..........Wow!! Umenikumbusha Iyunga.
Alafu nimewahi kusikia Mbeya ni ya pili kwa idadi kubwa ya Makanisa Afrika, kwa maana ya madhehebu ya kikristu, ikiifuatia Abuja, Nigeria. Kuna mdau anaweza kuthibitisha mimi sina taharifa za kutosha kuthibitisha?
Halafu Iyunga ndio sehemu pekee ambayo viwanda vingi vinapatikana, kama vile Kiwanda cha bia, Soda za Pepsi, soda za Cocacola, Workshop ya vichwa vya treni ya Tazara.
Halafu kuna kitu kingine cha muhimu sana Iyunga Mbeya, MBEYA INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (MIST) zamani ilikuwa inaitwa Mbeya Technical College (MTC) na yenyewe si iko eneo la Iyunga!
Pretty inaonekana na wewe umekaa Iyunga, maeneo gani ya Iyunga?
mmh! fumbo aumaharage yanayoiva fasta yakipikwa yanapatikana mbeya.
I can agree with you, ni kweli kabisa hata wake wenye nidhamu na upendo wanapatikana Mbeya. I can prove this with evidence
😉😡Kweli aisee........maana....wee acha tu nidhamu hii sijapata ona.......
Kinachonishinda kuelewa.....pamoja na Mkoa ule kujaaliwa na wasomi weengi sana......wengi sana wako nje ya nchi.......na wanafahamu sana kwao kulivyo na kila kitu i.e. potentials za kiuchumi......lakini.....lakini.....hawana hata WEBSITE.......
Mijitu kama akina Mwandosya, Mwakalinga, Mwakyusa, Lole ipo ipo tu (joke)........ubinafsi umewazidi na mawivu yasiyokuwa na maendeleo yamewajaa....mke wangu ananisimulia kuwa akina Marehemu Nsekela na Mwaikambo walifanya mengi....sasa sijui hii mijitu mingine inafanya nini
be realathari za mshika mawili, napigana kumalizia thesis at the same time , nataka jukwaa liwe live! unawaza huku unaandika, inakuja point nyingine unaipandishia juu!!!, mara una click go! neeext thread!!ndio matokeo
thanks though
MwakatobeYAPS !!!!
Na Mwakasungula
Mwasaguti
Mwakisisile
Mwakyomo
Mwambapa
Mwandenuka
Mwampamba
Mwamasika
Mwakyambiki
Mwambepo
Mwasakyeni
Mwampulo
Mwa....mwa.....mwa....mwa......................................
Mwakatobe
Mwakalinga
Mwalulili
Mwaikambo
Mwailolo
Mwakyusa
Mwaisaka
Mwandemani
Mwakatumbula
Mwa....Mwa....Mwa....Mwa....etc
Kweli aisee........maana....wee acha tu nidhamu hii sijapata ona.......
Kinachonishinda kuelewa.....pamoja na Mkoa ule kujaaliwa na wasomi weengi sana......wengi sana wako nje ya nchi.......na wanafahamu sana kwao kulivyo na kila kitu i.e. potentials za kiuchumi......lakini.....lakini.....hawana hata WEBSITE.......
Mijitu kama akina Mwandosya, Mwakalinga, Mwakyusa, Lole ipo ipo tu (joke)........ubinafsi umewazidi na mawivu yasiyokuwa na maendeleo yamewajaa....mke wangu ananisimulia kuwa akina Marehemu Nsekela na Mwaikambo walifanya mengi....sasa sijui hii mijitu mingine inafanya nini
Kweli aisee........maana....wee acha tu nidhamu hii sijapata ona.......
Kinachonishinda kuelewa.....pamoja na Mkoa ule kujaaliwa na wasomi weengi sana......wengi sana wako nje ya nchi.......na wanafahamu sana kwao kulivyo na kila kitu i.e. potentials za kiuchumi......lakini.....lakini.....hawana hata WEBSITE.......
Mijitu kama akina Mwandosya, Mwakalinga, Mwakyusa, Lole ipo ipo tu (joke)........ubinafsi umewazidi na mawivu yasiyokuwa na maendeleo yamewajaa....mke wangu ananisimulia kuwa akina Marehemu Nsekela na Mwaikambo walifanya mengi....sasa sijui hii mijitu mingine inafanya nini
Mwakiborwa
Mwakalobo
Mwasenga
Mwalimi
Mwandeme
Mwakibinga
Mwakalila
Mwambene
Mwakifulefule
Mwakasungura
Mwakisuru
Mwaseba
Mwamfupe
Mwansasi
Mwamboka
Mwafyunguru
Mwalutufyo
Andulwile
Andendekisye
Ambonile ...A, A, A...
Anosisye
Anyisile
Amanyise
Andendelile
Anyitike
Asuluisye
......A,A,A,A,A..................acha kabisa bana