wewe hujielewi kabisa mimi ni mkandarasi huezi niambia kitu kuhusu ujenzi hasa wa barabara nina kampuni ipo hapa mitaa ya sokoine nimejenga barabara chunya. Nyingi eana na nina uelewa sana mkubwa kuliko hata wewe ni pm nikupe mengi zaid au niku ajil inaonesha haupo mbeya pita simike uangalie barabara zilivo chini ya kiwango
....nyie ndio wakandarasi tusiowataka........huna hata elimu ya civil engineering....mnavamia fani za watu na kuwa wakandarasi........soma tena ulichoandika au kama huelewi uliza ili uelimishwe.......kujiita Mkandarasi simply because una kampuni ya Ujenzi....haimaanishi kuifahamu fani husika......kama huelewi nilicho-bold in red kwenye maadshi yako uliza ili uelimishwe...hakuna haja pm......hapa itapigwa shule ili na wengine waelimike........
....kwa taarifa yako....matumizi ya cement kwenye ujenzi wa barabara ni kawaida..... haimaanishi ni ujenzi kiwango cha chini kama ulivyosema......cement hutumika hata kwenye ujenzi wa barabara....stabilizarion......na pia inategemea na design.......sasa kama design si sahihi au wewe mkandarasi unaiba mifuko ya cement......hilo ni suala jingine ambalo naweza kukuelimisha.......
kuna.......rigid pavement na flexible pavements........na pia kuna aina nyingine kutegemea na matumizi ya sehemu husika na environment.....sasa ukitaka shule ya pavement sema tu ili tukuelimishe......lakini sio kuudanganya umma hapa JF.....wewe kama una ajenda zako za kisiasa......tumia mlango mwingine unaoufahamu.........
Kwa taarifa yako nime-design pavements sehemu mbali mbali duniani na kwenye aina ya hali ya hewa zote za dunia hii......i.e. kwenye baridi sana (theluji climate), kwenye joto sana (middle east climate) na katikati yake.......na kusimamia ujenzi wake.......
uliza uelimishwe......