Nifahamisheni wadau hapa jamani:
Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015..
Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha
nimeseme msafwa katika maana ya uzawaa sio kama ni kigezo chakuonyesha ukabila ila kwa ivo ipo wazi hapa nchi yetu kua mzawa ndo anapewa nafasi na watu kumuamini jimbo lazima lirudi kwa mnyakyusa au msafwaa
Nifahamisheni wadau hapa jamani:
Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015..
Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha
acha upotoshaji ww mbuza ndo nani hapa mjini...umetumwa ili akupe dili kwenye fm yake
ndugu yangu ndevu chafu; siyo kweli kwa hilo unalolisema kwamba katika nchi yetu kigezo cha kabila au uzawawa mahali unakuhakikishia ubunge siyo kweli,na kudhani watu watakuamini kwasababu ya kuwa kabila moja huo wote ni upuuzi ndugu yangu hata mimi ni mwenyeji wa mkoa huo na nipo hapa mbeya ni mebahatika kutembea sehemu tofauti za tanzania karibu mikoa yote hicho unacho kisema hakina uhalisia hasa katika "metropolitan town or city" hapa na maanisha miji kama mwanza,dar es salaam na arusha.
Ninachotofautiana nacho kwako ni mtazamo wako wa kigezo cha uzawa aka ukabila kama kipimo. Lazima tumtazame mtu na kumpima iwapo anafanya kazi ya kuwawakilisha wananchi,kuihoji,kuiwajibisha na kuisimamia serikali bungeni kwa niaba ya wananchi hizo ndo kazi za mbunge.hili halihitaji usafwa au unyakyusa lazima tukatae akili zetu kufikiri kwa uelekeo huu.hii ni sumu mbaya sana ndugu yangu. Huwezi ukatofautisha uzawa na ukabili hao hawatenganishwi ni wamoja ni uchaguzi tu wa msamiati.
......pamoja na kwamba mimi sio mfuasi wa chama chochote..........ningependa niufahamishe umma unaosoma jf kuwa hiyo sentensi tu (in red text) hapo juu inaonyesha ni jinsi gani usivyoelewa unachoandika.......usiingilie shule za watu......hicho ni kina kirefu sana kwako.......
hahahaha nadhani ninaisikia harufu ya " wanachama wa cdm 400 warudisha kadi za cdm" katika happy birthday ya ccm hahaha ............. Mnatuandaa kisaikolojia eh?
kwa hilo mbuzax anafaa ndio mana watu wa mbeya wanamtaka
wewe hujielewi kabisa mimi ni mkandarasi huezi niambia kitu kuhusu ujenzi hasa wa barabara nina kampuni ipo hapa mitaa ya sokoine nimejenga barabara chunya. Nyingi eana na nina uelewa sana mkubwa kuliko hata wewe ni pm nikupe mengi zaid au niku ajil inaonesha haupo mbeya pita SIMIKE uangalie barabara zilivo chini ya kiwango
we ulifikir wasanii tu ndo watendaji hata wewe ukiamua sawa na sera nzuri unazo tunakupa jimbokuchambua magazeti tu no utendaji duh baadaye sana tumpe muda sugu anaweza.
wafabiashara wa level ipi ?
me nko mbeya hata cimujui
Jamani huyo sugu hatumtaki kwanza kabla hajashindana na ccm atajua moto wa zito kabwe kumwita snitch zito,kuna wabunge hawaludi bungeni kama sugu,msigwa,lema,mdee na wengine,watu mnajifanya hamumjui mbuza harafu mnajua uwepo wa radio yake ha ha ha ha ha ha mnachekesha sana