Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

wewe hujielewi kabisa mimi ni mkandarasi huezi niambia kitu kuhusu ujenzi hasa wa barabara nina kampuni ipo hapa mitaa ya sokoine nimejenga barabara chunya. Nyingi eana na nina uelewa sana mkubwa kuliko hata wewe ni pm nikupe mengi zaid au niku ajil inaonesha haupo mbeya pita simike uangalie barabara zilivo chini ya kiwango

Hahahaa, we mkandarasi? mjini ukisema mkandarasi tu watu wanahusisha na mtu tapeli!!
 
Vijana nimefuatilia huu mjadala toka mwanzo nimeona na mimi nichangie ukweli sisi kama wazazi wenu na wenye kutaka siasa iwe chanzo cha maendeleo kwa siasa ya mbeya kwa sasa kuendelea kuwa na mtu kama sugu ni sawa na kukumbatia kutokuwa na maendeleo hapa kwetu joseph mbilinyi (sugu) hakuna alichofanya ndani ya jimbo hili taadhari kwa chadema kama wanataka kulichukua tena watubadilishie mtu mana ndio njia ya kufanya jimbo liludi chadema nje ya hapo hawatalipata,huyo mbuza mi simjui ila kama watu wanamuongelea kwamba anaweza kuwa msaada tumpe nafasi au hata kama kuna mwingine nje yake ambaye ni mchapakazi tumpe ila sugu sidhani kama ataludi kuwa mbunge mbeya mjini mwakani,nipo radhi kuulizwa maswali kwa nini nimesema hivi na sina hofu mtanielewa
 
Acha utoto wewe, kuijua redio ndiyo kumjua mbuza, au huwa wanabandika mabango barabarani kwamba "huyu ndiyo mwenye bomba fm aliyemliza jamaa wa ebony"!

Umeongea matakataka tu hapo hakuna aliekuelewa bomba fm,ebony fm ndio nini sasa
 
Acha hizo sugu kashindwa mbona zito kabwe jimbo lake limeendelea au yeye yupo chausta,sugu hamuwezi mbuza kasaidia mambo mengi sana ndani ya mbeya sugu siku zote alikuwa hakubaliki kimuziki ndani ya jiji la mbeya muulizeni sugu nani alimsaidia katika show zake

kuwa specific, Mbuza kasaidia nini?
 
Vijana nimefuatilia huu mjadala toka mwanzo nimeona na mimi nichangie ukweli sisi kama wazazi wenu na wenye kutaka siasa iwe chanzo cha maendeleo kwa siasa ya mbeya kwa sasa kuendelea kuwa na mtu kama sugu ni sawa na kukumbatia kutokuwa na maendeleo hapa kwetu joseph mbilinyi (sugu) hakuna alichofanya ndani ya jimbo hili taadhari kwa chadema kama wanataka kulichukua tena watubadilishie mtu mana ndio njia ya kufanya jimbo liludi chadema nje ya hapo hawatalipata,huyo mbuza mi simjui ila kama watu wanamuongelea kwamba anaweza kuwa msaada tumpe nafasi au hata kama kuna mwingine nje yake ambaye ni mchapakazi tumpe ila sugu sidhani kama ataludi kuwa mbunge mbeya mjini mwakani,nipo radhi kuulizwa maswali kwa nini nimesema hivi na sina hofu mtanielewa

Kwa faida ya wanaJF ungetupa sababu kwa uchache, maana hata mimi namjuwa sugu kana mpenda masifa na mbinafsi tu, ila sijui achievement zake mbeya maana sijafika mbeya tangu huyu jamaa awe mbunge
 
Sugu anajifanya rais wa mbeya,aende leo mbeya hakuna chadema mji mzima ni ccm kila mahali hadi wao kesho wamehairisha mkutano wao jangwani mana watu watakuwa busy na chama tawala,hawana mpango na chama ambacho kinashindwa hata kusafirisha baraza kuu kuja kusikiliza rufaa ya zito.kwa taarifa yenu mkimaliza hiyo operation yenu kesho yake zito ananyie
 
vijana nimefuatilia huu mjadala toka mwanzo nimeona na mimi nichangie ukweli sisi kama wazazi wenu na wenye kutaka siasa iwe chanzo cha maendeleo kwa siasa ya mbeya kwa sasa kuendelea kuwa na mtu kama sugu ni sawa na kukumbatia kutokuwa na maendeleo hapa kwetu joseph mbilinyi (sugu) hakuna alichofanya ndani ya jimbo hili taadhari kwa chadema kama wanataka kulichukua tena watubadilishie mtu mana ndio njia ya kufanya jimbo liludi chadema nje ya hapo hawatalipata,huyo mbuza mi simjui ila kama watu wanamuongelea kwamba anaweza kuwa msaada tumpe nafasi au hata kama kuna mwingine nje yake ambaye ni mchapakazi tumpe ila sugu sidhani kama ataludi kuwa mbunge mbeya mjini mwakani,nipo radhi kuulizwa maswali kwa nini nimesema hivi na sina hofu mtanielewa

nimenogewa na maongezi yako kaka ubarikiwe sana kwa kupenda maendeleo nakua mzalendo wa kweli changio lako nilitaman niendelee kulisoma tu...ni kweli kabisa apa kinacho takiwa hata kama sio mbuzax basi apatikane mtu mwingine sugu hamna alicho kifanya bungeni katu dhalilisha sana yan nikisema nimetokea mbeya naonekana mtata sio hivo sugu hakua na haiba ya uongozi ni vile ccm walikosa mtu sahihi kitu ambacho saiv ccm watakifanyia kaz kwa kumuweka mtu sahihi mwenye haiba ya uongozi ambae kwa mimi naona ni mbuzax hapa mbeya kuna ukweli kabisa kua sugu kashindwa mbuzax tutamchukulia fomu na kumuomba agombee atake atake asitake tutatumia wazee na busara zao kukaa na mbuzax atuongoze 2015 sugu chini mbuzax juu au ccm ikishindwa kabisa impe hata mary mwanjelwa sio sugu ili sugu wa masela aende kwenye nyumba yake arusha
 
mbuza 011.JPG

Hahahaa, amevaa rangi gani shingoni? Katibu Mwenezi wa Mwigulu.
 
kwa faida ya wanajf ungetupa sababu kwa uchache, maana hata mimi namjuwa sugu kana mpenda masifa na mbinafsi tu, ila sijui achievement zake mbeya maana sijafika mbeya tangu huyu jamaa awe mbunge

sugu hamna alilofanya naomba uungane na mimi mkuu na uniamin mimi vilivo fanyika ni kwa mipango na utekelezaji wa serikali sio sugu amekua ni mnafiki sana na kutaka kua na mendeleo ya familia yake tu sio wananchi wake kwa kushilikiana na mlugo wake
 
Kwa faida ya wanaJF ungetupa sababu kwa uchache, maana hata mimi namjuwa sugu kana mpenda masifa na mbinafsi tu, ila sijui achievement zake mbeya maana sijafika mbeya tangu huyu jamaa awe mbunge

Kuna vingi ambavyo ameshindwa aliahidi kuunda makundi ya vijana waweze kukopesheka katika mabank hadi sasa hakuna chochote,aliahidi kuanzisha mashamba ya maua vijana wapate ajira hakuna chochote hadi leo,barabara ambazo hazikuwa katika plan ya jiji kutengenezwa hadi leo hakuna kitu chochote kimefanyika angalizo wakati sugu anaingia madarakani tayari kulikuwa na fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya kutengenezea barabara za jiji. hiyo ni hela ya world bank kwamba mbeya itoke katika hadhi ya maspaa kuja hadhi ya jiji kwa hiyo hata tusingekuwa na mbunge yeyote hizo barabara zingejengwa kwa sababu hilo lipo duniani kote mji unapopandishwa hadhi unakuwa na fungu kwa sababu ya maendeleo,kingine aliwaaminisha vijana kwamba akiingia madarakani atawarahishia sana vijana maisha kitu ambacho kasababisha vijana wengi kuingia katika kuvuta bangi na madawa ya kulevya kwa sababu walikuwa wamekaa wakisubilia maisha yao kubadilika kupitia sugu baada ya kuona hakuna unafuu wowote matokeo yake wameingia katika maisha hayo sugu lazima awaambie ukweli vijana kwamba juhudi ndio chanzo cha maendeleo matokeo yake yeye maisha yake yamebadilika sana lakini bado anawaaminisha vijana atawabadilishia maisha yapo mengi sana huyu kijana kashindwa kuyatekeleza ambayo mtaani wanaongea kwamba wanamsubili mwakani
 
Kama wanachadema mupo hapa na mnataka jimbo la mbeya mjini libakie mikononi mwenu hamna budi kumuondoa huyu msanii sugu vinginevyo mtabakia kusema ndevu chafu alisema upepo wa mbuzax kupitia ccm ni mkubwa jamaa anaweza,ana unaushawishi mkubwa,anathubutu,mtu wakutoa fursa mpigania haki chadema ni lazima sugu wamuondoe tu ili kunusuru jimbo ama sivyo mbuzax ki ulaini anakua mh
 
Jimbo la mbeya lina changamoto nyingi sana ambazo mpaka sasa sugu kashindwa vijana kukosa ajira,watu kudhulumiwa ardhi na matajiri,shida ya maji,wafanyabiashara kunyanyaswa,wahamiaji haramu,usafili shida, yeye kwa sababu ana landcruiser vx amazon tena ina tv ndani kwa mujibu wake wa nyimbo ya hakuna matata anaona poa we ngoja amesahau hata kwenye mziki ameisha chuja badala akaze jimboni analeta usela tu akipigwa chini ubunge hawezi kuludi kwenye muziki.hawezi kushindana na young killer aka msodoki
 
Hakuna ukabila hapo tunashukulu alieweka picha ya mbuzax hapo juu hapo ni eneo maarufu sana ndani ya mbeya linaitwa mwanjelwa ambako watu hawaipendi ccm ila mbuzax yupo hapo na unaona sura za vijana zilivyo na furaha ha ha ha ha ha
 
Kwa faida ya wanaJF ungetupa sababu kwa uchache, maana hata mimi namjuwa sugu kana mpenda masifa na mbinafsi tu, ila sijui achievement zake mbeya maana sijafika mbeya tangu huyu jamaa awe mbunge

Kuna vingi ambavyo ameshindwa aliahidi kuunda makundi ya vijana waweze kukopesheka katika mabank hadi sasa hakuna chochote,aliahidi kuanzisha mashamba ya maua vijana wapate ajira hakuna chochote hadi leo,barabara ambazo hazikuwa katika plan ya jiji kutengenezwa hadi leo hakuna kitu chochote kimefanyika angalizo wakati sugu anaingia madarakani tayari kulikuwa na fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya kutengenezea barabara za jiji. hiyo ni hela ya world bank kwamba mbeya itoke katika hadhi ya maspaa kuja hadhi ya jiji kwa hiyo hata tusingekuwa na mbunge yeyote hizo barabara zingejengwa kwa sababu hilo lipo duniani kote mji unapopandishwa hadhi unakuwa na fungu kwa sababu ya maendeleo,kingine aliwaaminisha vijana kwamba akiingia madarakani atawarahishia sana vijana maisha kitu ambacho kasababisha vijana wengi kuingia katika kuvuta bangi na madawa ya kulevya kwa sababu walikuwa wamekaa wakisubilia maisha yao kubadilika kupitia sugu baada ya kuona hakuna unafuu wowote matokeo yake wameingia katika maisha hayo sugu lazima awaambie ukweli vijana kwamba juhudi ndio chanzo cha maendeleo matokeo yake yeye maisha yake yamebadilika sana lakini bado anawaaminisha vijana atawabadilishia maisha yapo mengi sana huyu kijana kashindwa kuyatekeleza ambayo mtaani wanaongea kwamba wanamsubili mwakani

Kwa kuongezea...

...aliahidi kuwa wanafunzi wote wa shule za sekondari mjini Mbeya watagaiwa laptop pindi atakapochaguliwa, kwa msisitizo alisisitiza kuwa habahatishi na ana historia ya kufanikisha miradi ya aina hiyo akitolea mfano alivyofanikisha mradi wa Malaria-No-More.

...Aliahidi kupambana na ufisadi wa ugawaji viwanja vya iwambi,na kuwa akiingia atahakikisha uhakiki unafanyika na waliofisadi wanachukuliwa hatua,mara baada ya kupata Ubunge,yeye na madiwani wapya walizawadiwa na Jiji viwanja,na hajaongelea tena jambo hilo.

Sugu ni failure kwa Jiji la Mbeya, japo Chadema bado ina nguvu kubwa Mbeya, lakini CCM inaweza ikashinda Ubunge kwa sababu Sugu ni "Mbunge Kivuli", Jiji la Mbeya limelidhibitishia taifa kuwa inawezekana jimbo kujiendesha bila ya "uwepo wa Mbunge".
 
Sugu kama mvua uwezi zuiamvua sugu moto chini!!

Acha ushabiki wa bangi kama Sugu, ni kweli hatuitaki ccm lakini tunahitaji maelezo ya tofauti kati ya uongozi wa Sugu na mpesya.

Namfahamu vizuri sugu ni mbinafsi, majivuno na mpenda masifa. Uwamuzi ni wa wanambeya wenyewe, Chadema isigeuzwe kuwa kichaka cha wavuta bangi.
 
Safi mkuu nadhani tufike hatua tutafute siasa safi na yenye maendeleo sio ushabiki usio na mana hata kama ni chadema tupate muwakilishi ambaye ana ufahamu wa mambo mbeya imekuwa maarufu mikoa mingine kwa sifa mbaya kupitia sugu tuungane wana mbeya tumtoe huyu bwana hata kama ni cdm apatikane ambaye anajielewa alikuwa anaahidi kama chizi yaani hakuna alichofanya
 
Back
Top Bottom