Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

Ni ujinga sana kumuongelea sugu mtu mzima asiyejielewa yule hadi hasira ameshindwa kabisa ndio mana siku hizi anavaa ma yebo yebo(ndala) hadi bungeni miguu imemvimba kama uwezo hata wa kucontrol mwili hana hadi ananenepa hadi kuvimba ndio ataweza kuongoza jimbo.mtu mwenyewe hawezi kufanya mkutano peke yake ndani ya mbeya mpaka aje slaa,mbowe au msigwa na amshukulu mzee wa upako nje ya hapo angejuta na kibaya zaidi alimaliza bifu na ruge sehemu ambayo watu ndio walikuwa wanapata sehemu ya kumuongelea Akipotea katika siasa haji kusikika tena mana kimuziki hawezi kushindana na young killer msodoki ze don
 
ule uongo ambao ulikuwa ukienezwa na wanasiasa wa chadema waliozoea siasa za uongo na kuzua maneno leo zimezidi kutumbukia nyongo mkoa mbeya.

Hali hii imebainika tangu ndugu kinana kuwasili hapa jijini mbeya na kulakiwa na maefu ya vijana huku wakiimba nyimbo mbalimbali za kuisifu ccm na rais kikwete kwa uongozi imara wenye kujali watu wote ikiwa ni pamoja na kuruhusu boda boda kuingia nchini ambazo zimetoa ajila kwa vijana wengi.

Wengi wa vijana wamesikika wakijuta kwanini walimchagua sugu mbunge anayeenda bungeni kwenda kupigana na kuwa mlinzi wa mbowe bungeni kana kwamba walimchague akawakilishe ugomvi na kumlinda mbowe.

Kwa upande wa akina mama na wazee nao hawakuwa nyuma kuwapokea viongozi wa ccm wakiimba nyimbo kadha za kupongeza ccm kwa kuwa chama cha watu,

Mama mmoja alisikika akisema kuwa chama cha wastarabu kinakuja kutusalimu siyo kile chama cha vurugu kile cha mbowe,kwaujumla akina mama hawataki kusikia kitu kinaitwa chadema wakiweka wazi kuwa kila kuliko na uchaguzi akina mama wanapigwa na kuzuiwa kwenda kupiga kura eti kisa watapigia ccm,

Wanambeya walisikika wakisema hivyi sugu kafanya nini wakacheka kwa pamoja na mama mmoja akasema mlichagua sauti za kufoka foka sasa mtakoma.

Lakini kivutio kikubwa ni pale jk alipowasili ilikuwa ni zaidi ya obama watu wameshindwa kujizua na kuruka ruka wakisema mtumishi wetu kaja ndipo kundi kubwa la akina mama likajitokeza wakiimba wimbo wa injili wakisema,"wewe ni mtu wa maana katika dunia hata kama wengine hawakutambui mungu aliyembinguni anakutambua".

kama haitoshi kundi lingine upande wa pili nao wakiimba wimbo wao wakisema" yule tuliyemsubiri amekuja"

Wengi waliendelea kushangilia wakisema sugu hakuna anachofanya karibuni wakombozi, kweli la kuvunda halina ubani sugu kwisha habari yake.

huyu ni msomi kweli?
 
Hakuna kitu km hicho nahisi huyu ni bwana Mbuza mwenyewe amekuja na ID tofauti..Sugu bado anakubalika sn...hata ccm wakipeleka bodaboda km Kinana alivyowaahid vijana wa mby esp waendesha bodaboda CCM hawapiti labda wafanye Zengwe...
 
Chadema leo sikuwaona eti rais wa mbeya labda rais wa sae mtu mzima hata hajitambui na huo ndio mwanzo wa kufa chadema mbeya mjini na tatizo sio chama tatizo ni huyo sugu ambaye anasifiwa nje ya mbeya analewa sifa wakati ndani mambo tofauti leo ndio mwanzo wa kupotea chama cha chadema mbeya tubadilishieni sugu tuokoe jimbo
 
Hakuna kitu km hicho nahisi huyu ni bwana Mbuza mwenyewe amekuja na ID tofauti..Sugu bado anakubalika sn...hata ccm wakipeleka bodaboda km Kinana alivyowaahid vijana wa mby esp waendesha bodaboda CCM hawapiti labda wafanye Zengwe

Mbona wewe tunajua ni mke wa mbowe ila umetumia account feki leo ndio mwisho wa.chadema mbeya coz sugu kashindwa vitu vingi ndani ya mbeya hadi chama kimepunguza umaarufu wake na bado tunaendelea kusifia ujinga sugu muda umemtosha
 
Leo uwanja wa taifa kuna mpambe wa sugu eti kaja na bango mbeya city nchi sugu rais kapigwa sana hatutaki watu wapatie umaarufu kupitia mbeya city sugu ipo siku atatembea uchi ili apate umaarufu apige kazi kama wenzake wakina zito,january makamba,vicent nyerere,mnyika kwani wao wana timu mbona umaarufu wao unapanda.siku hadi siku atoke.zake
 
Nifahamisheni wadau hapa jamani:

Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015..

Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha

Kama Sugu anapigwa chini kwa kushindwa kusimamia serkali hadi imefanya madudu yasiyotamkika, hiyo serkali nayo tuifanyeje? Hivi hii serkali dhalimu inayofanya kazi ya kukwamisha maendeleo ya wananchi ni ya chama gani? Na hicho chama kipewe tena dhamana ya kuunda serkali? unasemaje bw ndevu chafu
 
Pongezi kwa katibu mwenezi mbeya mjin bwana emmanuel joseph mbuzax na timu nzima ya ccm mbeya kwa kuweza kua na uwenyeji mkuu sana leo ndani ya mbeya kupokea wakuu wa chama cha ccm hakika ni faraja kubwa na. Kuonekana live uhai mkubwa wa ccm jimbo la mbeya mjini hakika bwana emmanuel mbuzax na timu yote ya mbeya mumetuonyesha kitu. Shukran pekee kwa rais wetu kuungana na sisi pale sokoine ccm daima nchi nzima idumu mbuzax karibu bungeni 2015 mbeya mjini ipo na wewe
 
Kama Sugu anapigwa chini kwa kushindwa kusimamia serkali hadi imefanya madudu yasiyotamkika, hiyo serkali nayo tuifanyeje? Hivi hii serkali dhalimu inayofanya kazi ya kukwamisha maendeleo ya wananchi ni ya chama gani? Na hicho chama kipewe tena dhamana ya kuunda serkali? unasemaje bw ndevu chafu

Hakuna serikali duniani kote ambayo inatekeleza maendeleo ya jimbo kwa mbunge wake kupigana bungeni jenga hoja tetea hoja utasababisha maendeleo jimbo zima mbona majimbo ya kigoma yameendelea tena yapo upinzani,mbozi kwa silinde wakulima wanafurahi kuwa nae,kwa lisu maendeleo kibao ulishaona wanapigana ili hayo maendeleo yaje basi tungemkodi cheka hata kwa mkopo aje ili awe mbunge wetu mana ndio angekuwa na maendeleo kuliko yeyote ubunge ni hoja sio matusi na wala sio mibange ya sugu
 
kwa mbeya ninayoifahamu mimi kwamwe haiwezi tokea mbeya na ccm ni vitu viwili tofauti bibi yangu mwenyewe chadema sembuse vijana hata kama ikatokea wakamchoka sugu si ccm itakayo chukua ni upinzani mwambie jamaa yako amechemsha ccm haitakiwi mbeya
 
Huifahamu mbeya nccr mageuzi walisifika baadae ccm wakalichukua tena jimbo hilo
 
kwa mbeya ninayoifahamu mimi kwamwe haiwezi tokea mbeya na ccm ni vitu viwili tofauti bibi yangu mwenyewe chadema sembuse vijana hata kama ikatokea wakamchoka sugu si ccm itakayo chukua ni upinzani mwambie jamaa yako amechemsha ccm haitakiwi mbeya

Bibi yako si mvuta bangi siasa zilizopitwa na wakati eti watu hawaitaki ccm ni watu gani sugu hatakiwi coz ndie aliesababisha cdm kufa ndani ya mbeya na ccm mchakamchaka waliouanzisha hauji kusimama kamwe mbeya mjini yaludi ccm kabla ya uchaguzi 2015
 
kwa mbeya ninayoifahamu mimi kwamwe haiwezi tokea mbeya na ccm ni vitu viwili tofauti bibi yangu mwenyewe chadema sembuse vijana hata kama ikatokea wakamchoka sugu si ccm itakayo chukua ni upinzani mwambie jamaa yako amechemsha ccm haitakiwi mbeya
mbeya tupo wengi huyo ni bibi ako umesahau babu yako,shangazi yako,mama yako ,baba yako,dada yako,kaka yako, mke wako,mjomba yako,nazani ni wengi hapa ni wengi sana siwezi maliza wote sasa isiwe kigezo ni kwamba mbeya tuna taka mabadiliko na ccm kupitia mbuza ndo hakika zaid
 
mmekaa bar mmelewa meamua kuandika hivi uyu mbuza si ndiy yule kijana mwny roho ya kwanini anatakaga awe yeye tu siku zote, sikilizeni exposure ya sugu na mbuza ni CV tosha ya mbuza kukaa pembeni nakumucha sugu afanye yake jiji la mbeya linataka kiongozi jeuri kama sugu mmasema hamjaona tofauti katika uongozi wa sugu hivi unayesema haya ni mwenyeji wa mbeya au mgeni mnadhani hizo psa za world bank kutengeneza bara bara pasipo usimamizi mzuri hizo barabara mngeziona mala ngapi serikali inapewa misada kwa lengo fulani mhatimaye pesa zinaingia mitini acheni uhuni sugu ndiye tunamtaka mbeya mjini kiongozi asiye na woga na lolote si kina mbuza mabraza meni wamjin wenye roho ya kwanini vijana wangapi kafanya nao kazi mbuza kaishia wadhurumu ebu tokeni hapa.
 
viroba vya mchana vinamatatiz, cijui mmekunywa vingap, hata umri wa kupiga kura hamna kazi ni kubwabwaja humu. hata mia huna mfukoni kelele tu, bc kombea ww tuone.
 
viroba vya mchana vinamatatiz, cijui mmekunywa vingap, hata umri wa kupiga kura hamna kazi ni kubwabwaja humu. Hata mia huna mfukoni kelele tu, bc kombea ww tuone.

kombea una maanisha nini chadema hata kuandika hamjui kazi ipo
 
mmekaa bar mmelewa meamua kuandika hivi uyu mbuza si ndiy yule kijana mwny roho ya kwanini anatakaga awe yeye tu siku zote, sikilizeni exposure ya sugu na mbuza ni CV tosha ya mbuza kukaa pembeni nakumucha sugu afanye yake jiji la mbeya linataka kiongozi jeuri kama sugu mmasema hamjaona tofauti katika uongozi wa sugu hivi unayesema haya ni mwenyeji wa mbeya au mgeni mnadhani hizo psa za world bank kutengeneza bara bara pasipo usimamizi mzuri hizo barabara mngeziona mala ngapi serikali inapewa misada kwa lengo fulani mhatimaye pesa zinaingia mitini acheni uhuni sugu ndiye tunamtaka mbeya mjini kiongozi asiye na woga na lolote si kina mbuza mabraza meni wamjin wenye roho ya kwanini vijana wangapi kafanya nao kazi mbuza kaishia wadhurumu ebu tokeni hapa.

Nimegundua humu jf kuna watu darasa la tatu hela ya world bank ilikuwepo toka sugu hajaingia madarakani mwisho wa chadema umefika chama kikuu cha upinzani kinapata kura 16 harafu tunasifia watu kama sugu ambao wanaua chama kisa ufuasi usio na mana sugu mwakani hata akiwekwa na kopo hilo kopo litashinda kashindwa we unaleta.hadithi zako za kumfanya unamfahamu mbuza sugu hana sifa ya kuingia kwa mbuza hata kidogo kwanza aende shule kwanza ndio aje ashindane na mbuza na fom two yake
 
Back
Top Bottom