mama isidingo
Member
- Feb 3, 2014
- 36
- 3
Mbuzax ndio kila kitu wangine mbwembwe bunge la katiba linaanza mtaona kama sugu atafungua mdomo wake achangie kitu mzigo yule tunabaki kushadadia watu wasio na mana jimboni kwetu HATUKUTAKI SUGU
emmanuel mbuza aendelee tu kuwa mwanaccm uongozi hauwezi
toa sababu kwanini hawezi
dumelang. Kama mbuza ndio yule alikuwa anasoma sangu mwaka 2005 alikuwa 5&6, nathubutu kusema wana mbeya pfyuuuuuuuuuuuuuuuuu, looooooooooooooooh bado siamini kama wanambea hawajitambui. Ngoja nipite maana nikiendelea kusema :ban: Itanihusu
Hii topic ni ya kubumba ili kumpa title huyo mjinga wa ccm na wachangiaji wengi ni mamluki wa huyo mjinga mbuzi wa ccm,before I came here in London I spent 2 months in mbeya downtown,sugu is authentically loved,yaani kwa mbeya,hata agombee mbwa mwanachama wa chadema atashinda kuliko ccm binadamu,issue hapa ni kuwa hatuitaki ccm nchi nzima.
Wadau,huyo Mbuza keshafariki.Mngefunga tu huu mjadala. Nduguze hawatojisikia vizuri. Rip Mbuzax.