Mbeya long time kitambo

Mbeya long time kitambo

Yalikuwepo kama kina bora imani, mwailubi bus, baby kapritan na father kapritan, sasa kazi yote haya yalikua mbalizi stand kuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yalikuwepo kama kina bora imani, mwailubi bus, baby kapritan na father kapritan, sasa kazi yote haya yalikua mbalizi stand kuu

Post sent using JamiiForums mobile app
Bila kusahau MWAKABULUTU BUS SERVICE

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yalikuwepo kama kina bora imani, mwailubi bus, baby kapritan na father kapritan, sasa kazi yote haya yalikua mbalizi stand kuu

Post sent using JamiiForums mobile app
Bila kusahau kijiji cha ujamaa sansa.!
Mbozi. Chui za Ileje. Kabla ya hapo kulikuwa pia na Ulambya bus service hayo yote ni mabasi.yaliyotumika kwa usafiri zama hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cave dweller family..Mastiff..Yuko wap challii wa Arusha aliyekua na kipaji cha hip pop..halis
 
Kulikuwa na pusher wa bangi huko Nonde. Ukitaka kuvuta bangi kwake utavuta bure hata gunia. Take away ndio unalipia. Jamaa alikuwa anaitwa Mswanga na alikuwa na stock ya kutosha kuvutisha vijana wote wa Mbeya kwa miaka minne bila kutetereka
una namba yake?
 
Watu wa namna hii huwa mnaolewa bila mahari. Bure kabisa. Unakuta wanaume wanapiga story za badala ya kueleka msalani ukanawe wewe unaweka kopo chini unakaa huku ukijaribu nawe kutafuta pa kuchomekea. Umeshangaa humu hamba basha? Sisi hatutumii mashoga hiyo michezo ya pwani.
nimefatilia kwa ukaribu uzi huu. naona maneno yaliyotawala zaidi ni haya: bob (marley), ganja, ubabe, jombi, kukaba, kubaka, vitisho, utemi, uchawi, doksi, pusha, magendo, kanitandika, kipigo, rushwa, machata etc. duuh. bado tuna kazi kubwa ya kukomboa taifa hili.
 
huyu namfaham vizuri sana.... alikuwa mtu wa karibu mpaka familia yake naifaham... alikuja kuwa mhubiri mzuri sana. lakini ndo hivyo tena sijui what happened akarud nyuma tena. alikuwa mnyakyusa flan hiv mrefu mweusi.... historia yake akiwa jambazi nlikuja kuambiwa tu lakini nataman kama nipate hbr yake kamili kama unayo tudondeshee hapa wanagenzi tumfaham vizuri.
Pia kulikuwa na Bisso Ntepa, alisha fungwa mara kadhaa kwa ujambazi baadae akaokoka na kufungua kanisa lake DSM. Baadae akaachana na kanisa na kujiunga na bongo movie. Miaka minne nyuma nilimuona anaendesha daladala kubwaa
 
Back
Top Bottom