Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,012
Hayo yalikuwa ni maneno ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh. Daniel Ole Njolaay....Ushaanza kujipitishapitisha mbele ya wanaume!

Umenikumbusha mbali sana, sie ndo wale wahuni wa mamajoni,soweto mpaka blok T.HII NDIO ILIKUWA MBEYA BWANA
1. Enzi hizo alikuwepo mtu anaitwa Jombi, kudhihirisha ubabe kwa wenzako lazima uwaambie Mimi ni "Jombi"
2. Kulikuwa na basi zinaitwa Kiswele..engine nyuma, Dar - Mby faster, Mafegi hii ilikuwa na vijihoni vya Ukweli,usisahau Mv Saratoga, Tunyande bus service, Zainabus
3. Kulikuwa na wavuta petroli, hawa jamaa walikuwa km 5 hivi, wachafu wanatembea pamoja mitaa ya BP uhindini wakiwa na makopo na vitambaa vilivyoloa petrol wanavuta.
4. kiwanja ngoma, hapa Soka lilipigwa bwana, timu yangu ya Mtaa Snow White chini ya Key, kina Baba Jeni. Basket ball ilikuwa pale Centre, tulikuwa na chama letu Mbeya Flames.
5. Town pale palikuwa na vichaa hatari kuna "Tiotio" huyu alikuwa anachapa ngeli balaa, Merry Kichaa alikuwa na alergy na watu weupe, akikuotea atakukimbizaa na stick utakula. Pale Mbeya Recto ndio ilikuwa km Makao makuu ya vichaa walikuwa kibao
5.Pale Bomani palikuwa na Mzee mmoja mfupi nakumbuka jina moja la Mwakifuna,nilifanya jitihada ili kumuona tu maana kutokumjua na kumuona ilikuwa ni weakness kubwa.
6. Kipindi hicho Disco lilikuwa Mount Livingstone na Rift valley, Soggy doggy enzi hizo akiitwa Wasape na Sugu- 2 Proud, hipop ilinoga bwana.
7. Mtakumbuka Mbeya tulikuwa na ukumbi Wa Sinema pale opposite na Ofisi za Posta Town, Muvy ya Hatya ilifunika sana enzi zile.
8. Miaka ile bwana mvua ilikuwa inapiga km gharika,sometimes ilikuwa inamwagwa barafu km ulaya,mlima Loleza ulikuwa ukifunikwa theluji kwa siku kadhaa. Radi sasa, hatariii mpaka nyumba ina Shake.
9. Siku ya Jumamosi ilikuwa ya kuosha mbwa,mbwa wote walikuwa wanapelekwa josho pale Mifugo,nyuma ya Kanisa la Roman,mkishamaliza kuogesha mnaanza kugombanisha Mbwa,mbwa Wa kizungu walikuwa wanaogopwa kupambanishwa na Wa kienyeji ikiaminika wananguvu balaa.
10. Uzunguni enzi hizo kulikuwa na matunda ya aina mbalimbali,watoto walikuwa wanatoka maeneo kadhaa ikiwemo Isanga kuja kuchuma maparachichi,mang'ang'a,mafyulizi,mapohora,mapera nk.
11. Mwanjelwa.enzi hizo iliitwa Doksi au Njelii, mitumba viwango,raba Kali,msela ukitupia vya doksi umemaliza.
12.Enzi zile ukisoma Sisimba na Azimio unafunika,Shule ya International ilikuwa Umoja primary school, waliosoma hapo hata kupishana nao unaogopa
13. Kuruka ukuta Wa Uwanja Wa Sokoine au kuingia uwanjani kupitia Bomba la maji ya mvua wakati Wa mechi ilikuwa ujanja balaa.
14. Ukisikia Shule za Sekondari Iyunga, Sangu, Loleza, Mbeya Day zilikuwa na kila aina ya sifa.Sangu kulikuwa na vichwa lazima uvitambue wababe km Simply na Kambosonic waliogopwa.
15. UMISETA sasa, dah, achaa..hapa Lutengano hapa Mwakaleli, boli lilitandazwa,kikinuka uwanjani ilikuwa km vita,makwanja na fimbo hujui vilipotokea,ukizubaa utakula mkono balaa
16. Kuna mdada walikuwa hatari alikuwa anatembeza kichapo kwa wanaume balaa walikuwa anatokea ilemi alifahamika kwa jina la Jeni.
17 Kuna jamaa alikuwa mtata sana mtaa Wa mafiati, makunguru, juakali alifahamika kwa jina la Daudi Masoke. Walikuwa balaa alikuwa anaiba Nyumba nzima hadi kitanda ulicholalia.
18. Ukisia mtaani Dunda, Kwendi, Shaban wanatembea mtaani wanaume wote kimya walikuwa hawaoni shida kukupiga dispiss ya tumbo. Wakitaka kupora walikuwa hawapati shida wanakuzunguka baada ya muda unaporwa ukipiga kelele hakuna Wa kukusaidia maana hadi wazazi wao walikuwa wanawaogopa.
19. Ukisikia obamka yaani ilikuwa full kwa watoto Wa mafiati, sinde, ilemi, isanga, ilolo ni sehemu ya kuchomea viazi mtoto walikuwa radhi asile nyumbani aende njelii kuokota viazi ili akachome obamka.
20. Uswahili tabu fresh food iligeuzwa jina na kuitwa Chakula barafu kiss vyakula vinahifadhiwa kwenye friiza. Expire date ya chakula hasa maziwa ilikuwa furaha kwa watoto Wa uswahili. Zaidi panaitwa city pub/century plaza.
21. Doxi waliwauzia wanyia blauzi na kuwaambia mashati. Ndio kisasi kikarudishwa unyiani na kuwaambia wamachinga Wa nguo Tumugoge tumuleshe...(tumuue tumuache).
NAIKUMBUKA MBEYA YA ZAMANI..
Mambo mengine ukifikiria uliyoyafanya unaishia kucheka tu.Hyo namba 13 ulikua inaitwa fonka
Ukikosea njia unajikuta umetokea hosputali ya rufaa tena wanapotolea maji machafu
Nimecheka sana, aisee!aliongea mpaka meno yake ya bandia yakadondoka..
Mamake Chuki..Alikuwa mtemi kinoma mama Monica
Siku hizi Mbeya ni ya Wakinga na WahaHII NDIO ILIKUWA MBEYA BWANA

Hahahah..huyu mzee mtata sana aisee,alafu dereva mwenyewe..Kulikuwa na mzee anaitwa Mwanjisi, hakuwahi kuwa daladala mpya barabarani halafu ruti zake zilikuwa majengo iyela
Alikuwa mtata sana huyo mzee, kuna siku walikamata gari yake. Alichofanya ni kukusanya watoto wake akawapeleka polisi eti wawalishe sababu gari ndio linamwingizia pesa.Kulikuwa na mzee anaitwa Mwanjisi, hakuwahi kuwa daladala mpya barabarani halafu ruti zake zilikuwa majengo iyela
Kama walikuwa weupe wafupi, na primary wamesoma Isanga, Mmoja yupo Dar, mwingine kaolewa Arusha. Sijajua yupi Doto wala Kurwa. Ila wapo.Kulikuwa na watoto fulani wa Ilolo walikuwa mapacha wanasoma Mbeya Day miaka 1996 to 1999 hakika walikuwa wakali

Ulishawahi panda gari lake ukazingua?Mamake Chuki..
Yupo Mama wa watu..
Kwa saza anakula ela zake tu, umri umrmtupa mkono..
Kama na wewe umeangalia video kwa Ima pale Ilolo basi umetisha. Enzi hizo alikuwa na projector kubwa, na deki. Ndivyo alivyokuwa anatumia kuoneshea videoNakumbuka kwenye Banda la Video pale kwa Imma maendeleo njia ya kwenda makunguru ndio ilikuwa Sebule yetu ile kuanzia watoto wa Sinde,Forest ,Manga ,Ilolo ,Mafiati
.Kama alifungwa basi alitoka baadae mkuu, nazungumzia miaka ya karibuni kama minne iliyopita, tuliswali nae sana pale msikiti wa barabara ya 4 matola.Afike mbali wapi?
Kwanza alikua wa rushwa sana
Mbili alikua mwizi balaaa na alifungwa miaka kadhaa nadhan ulikua 2000+ sikumbuki alifungwa miaka mingap
Katangulia mkuu, Walizika kwao songea. Mwenyezi Mungu amrehemu.daah mwalimu Manase kafariki.
Shikamoo Bujibuji!Kulikuwa na pusher wa bangi huko Nonde. Ukitaka kuvuta bangi kwake utavuta bure hata gunia. Take away ndio unalipia. Jamaa alikuwa anaitwa Mswanga na alikuwa na stock ya kutosha kuvutisha vijana wote wa Mbeya kwa miaka minne bila kutetereka
Mkuu hivi bado yupo haiView attachment 536174Aladia Asegelisye Mwangomile kanitandika kweli,pale Azimio shule ya msingi! RIP CHIEEEEF!!