Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
- Thread starter
- #601
Hakuingizwa kwenye maajabu ya soka kwenye record za Fifa?Kwenye timu yake ukiwa namba saba hupat namba maana hyo namba ilikuwa yake akichoka alikuwa anaingia shemeji yake alikuwa anaitwa mawazo.ukitokea penart yupo nje bas anaomba kuingia ili akapige yeye uwanja wa magereza ilikuwa vituko![]()
![]()
![]()
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app