Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,638
Hapa si unajitafutia Ban?Bujibuji ni Dokta Harison Mwakyembe chunguzeni mtaniambia![]()
Hapa si unajitafutia Ban?Bujibuji ni Dokta Harison Mwakyembe chunguzeni mtaniambia![]()
Ha ha ha! Timu yangu ilikuwa Saitama (Santiago). Hiyo namba 13 ilikuwa lazima, wakibana sana lazima nitie timu chababine.
Kulikuwa na pusher wa bangi huko Nonde. Ukitaka kuvuta bangi kwake utavuta bure hata gunia. Take away ndio unalipia. Jamaa alikuwa anaitwa Mswanga na alikuwa na stock ya kutosha kuvutisha vijana wote wa Mbeya kwa miaka minne bila kutetereka
Baba Ally na Peugeot yakeUnamkumbuka mzee mwasyanguti wa forest?
Iyo imekuja juzi tu.Kwani Canival City haikuwepo kipindi hicho?
ha ha haaa Kifwamba Rangers .....ilikuwa timu ya tajiri mmoja mnene enzi hizo.....mara moja moja alikuwa akipewa namba tisa aingie kupiga soka .....ilikuwa vituko....nasikia alikufa huyo mwenye kifwamba


Manase kafariki miezi kadhaa iliyopita. Nimejifunza mengi ingawa sie wengine watoto wa juzi.Jiwegangi kwa miaka hiyo Itiji bila shaka walimu wafutao utakuwa unawakumbuka vizuri Bwalya, Mwakajila, Ndowa, Kyusa, Kalinga, Manase, Mwanakaya n.k.
Ustadh bitebo, kuna kipindi alifikia hatua ya kuchezesha mechi za TFF ligi ya mkoa. Bila shaka atakua amefika mbali sasa hivi.Enzi za Kiwanja ngoma nimepiga sana soka pale,jogobasha baadaye Blacktown ya Baragumu. Derby ya snowhite na Saitama ilikuwa inajaza balaa,kuna refa alikuwa anaitwa Bitebo maarufu kwa kupigwal,pembeni kulikuwa na baa ya Memba.
Ras jef wa sisimba au azimio?!!!Kweli umekaa mby .....watoto wa malakasuka na bebby shangazi walisumbua sana .....pia kulikuwa na mtemi mmoja anatokea Isanga akiitwa brigadia mwakayugu .....by the way uwanja ngoma nimecheza soka nikichezea timu ya forest .....mambo yalikuwa mswano kipindi hicho
Alikuwa na mtoto wa kiume tulikuwa tunamwita madenge kipindi hicho Bog G anaishi mbalizi road.ni kweli aiseh huyo Bob G mtoto wake mmoja ni rafiki yangu.....Jamaa alikuwa hatari sana kwa magendo huyo.
Aisee kumbeHapa si unajitafutia Ban?
Dah..mitaa ya home kabisaBaba Ally na Peugeot yake
Umenikumbusha mwalimu mkuu wangu wa Azimio shule ya msingi alikuwa anaitwa mwangomile, aisee alikuwa anachapa bakora yaani ndugai haoni ndani kabisa
Hiyo ni barabara ya kutoka mbeya kwenda Tabora kupitia chunyaHapo ni Kitonga au??