Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

polisi na ffu wamechemsha jwtz wameshaingia kazini je na wao wakichemsha, nakumbuka maneno ya mbowe jana kwenye taarifa ya habari kwamba polisi wanainyanyasa chadema kote nchini na haya majimbo ya chadema ndiyo kabisa. polisi come down, acheni hulka yatawarudi damu za znz bado zinawalilia oooooo

Tatizo polisi wengi uolewa wao ni mdogo ukiona polisi msomi ni yule aliye ishia FORM IV ya DIV.33 huyo ndo msomi katika jeshi la polisi hawajui nini maana ya ulinzi katika jeshi la polisi. Kulinda raia na mali zao na si kupiga raia na kupora mali zao juzi Dr.Slaa polisi wamemwibia simu huko huko polisi
 
Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara


kanza hauko mbeya..acha uongo wewe
 
hapo kwenye nyekundu unaonekana wewe unadeka .....nipo mbeya kwenye gari la FFU nikripoti

ach upuuzi wewe...mana nakuona unapost huku na kule jukwaa lasia kuhusu vurugu za udsm...wacha uongo kijana na usipotoshe watu humu....tulioko ground zero ndo tunajua kinachoendelea....
 
Haki ya kufanya biashara maeneo ambayo hayajatengwa kwa ajili hiyo?

Unajua maana ya biashara wewe? Hivi unafikiri ukijenga mahali popote tu unafanya biashara, biashara ni kuuza na kununua, sasa kujenga mahali ambapo hilo halifanyiki itamsaidia nini mfanyabishara. Suala sio kujengwa ingawaje hamjengi, ni je wamejenga wapi!?
 
ach upuuzi wewe...mana nakuona unapost huku na kule jukwaa lasia kuhusu vurugu za udsm...wacha uongo kijana na usipotoshe watu humu....tulioko ground zero ndo tunajua kinachoendelea....
Usibishane nae huyo mgonjwa wa akili! Najua alipo sasa hivi akiendelea nitamfikia alipo!
 
Kabepele pole sana ila ukweli ndio huo maandamano yameisha watu kichapo wamepokea nakandamizia hapa hapa taarifa kwenye gari la FFU nikiwa nakula tamu ya kutumikia taifa
Acha ujinga,maaskari wanatii amri tu,wala hawataki.vurugu zimetulia kidogo lakini bado hazijaisha.
 
Mwisho wa utawala wa CCM unakaribia kwa kasi ya ajabu. Ukiangalia kote huko vurugu zinapoendelea unagundua sababu moja kubwa watawala wameishiwa uwezo,busara na hekima ya kuongoza! Ni lazima tubadili mfumo wa utawala,wakuu wa wilaya na mikoa wachaguliwe na wananchi maeneo husika. Leo Kandoro ama Mulugo wangekua wamechagulia na wananchi wa Mbeya ama Arusha,wangekwenda kushauriana na wananchi wao na wangefikia muhafaka. Hawa ni kama maDC na wakuu wa majimbo wa kikoloni hawajali,mteule wao yupo Dsm,akiulizwa anatuma taarifa za uwongo kwamba tatizo ni wanasiasa wa upinzani wanachochea vijana/machinga wafanye fujo.
 
[h=3][/h]

Polisi wakijaribu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga

Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo

Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto


Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo
Picha zote na Mpiga picha wetu maalum​
7604011022734452105-2176770813949900998
 
hapo kwenye nyekundu unaonekana wewe unadeka .....nipo mbeya kwenye gari la FFU nikripoti

Psychopathy! U nid special psychiatrical attention! Ur boring! Nsire wafo na mau, kite iki!
 
Psychopathy! U nid special psychiatrical attention! Ur boring! Nsire wafo na mau, kite iki!

Achana naye huyo! Hata kama ni FFU au yuko kwenye gari la FFU, what we need is not what he did or FFU did! Tunahitaji njia nzuri za kutatua matatizo kwenye jamii zetu siyo dharau kama za huyu anavyojionyesha. Anatokea uraiani na anajua hali ilivyo, lakini anashabikia kama mvuta bangi bwana.
 
Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara

Hoja kama id yako = MEMKWA - Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Waliokosa.
Kasome kwanza halafu ndo uje kuchangia
 
Psychopathy! U nid special psychiatrical attention! Ur boring! Nsire wafo na mau, kite iki!
hahaha kijana una panic nini nawe huko dar andamana uone CCP watu walienda kufanya nini tena nyie masharobaro wa dar tunahamu nanyie sana piga virungu mbaya kabisa
 
Wadau risasi na mabomu yanarindima mwanjelwa mbeya kati ya polisi na vijana. Barabara ya kibiashara ilifungwa. Ni hatari

ivi sasa nipo uyole napo wanainchi wamefunga barabara magari hayapiti kuna watu wengi kama somalia da siamini kama nipotanzania ya nyelele maisha kifupi ni magumu sana.
 
sasa hivi Mbeya gari yeyote yenye number kama STK, SU, DFP.. Likionekana barabarani ni moto kwa kwenda mbele. sasa hivi wanabomoa mabango ya CCM
 
FFU wa MBEYA leo hii
 

Attachments

  • mwanjelwa_11_11_11-5.jpg
    mwanjelwa_11_11_11-5.jpg
    57.7 KB · Views: 43
Back
Top Bottom