Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

dnKisumuKPLC1403e.jpg
 
hakuna usafiri wa aina yoyote ule....ni matairi kwa kwenda mbele

huwezi kupita lakini najua serikali itafika ukweli maana kun askari kafa kwa moto

attachment.php
 
hii ni sehemu ya barua/waraka uliotumwa kwa JK najua wengi mnayo maana iliwekwa humu na kikosi maalumu

HITIMISHO.
Unapaswa kuhakikisha kuwa unatekeleza yafuatayo kabla ya kuondoka (Within
100 days)

• Vunja uhusiano wa kidiplomasia na nchi za Marekani na Uingereza

haraka na Balozi zao hapa Tanzania zifungwe. Vinginevyo TUTAZILIPUA.

• Andika Barua kwa Spika wa Bunge kuwa umeamua kulivunja bunge

• Iondoe Tanzania kwenye Umoja wa Afrika ambapo ni Umoja usiokuwa na

watanzania na hata waafrika wenyewe!.

• Achana na mpango wowote wa kuhamisha fedha kutoka kwenye Account
yoyote BoT
•

Itisha mkutano wa vyombo huru vya kitaifa kupata maoni ya kuunda
TUME HURU YA UCHAGUZI na itangaze tarehe ya Uchaguzi Mkuu

• Chagua nchi yoyote uende kuishi uhamishoni hadi siku yako ya kufa

• Waambie wote wanaotajwa kuwa ni Mafisadi waondoke Nchini ndani ya
Saa 48 vinginevyo TUTAWAUA MMOJA BAADA YA MWINGINE NA FAMILIA ZAO
•
Achana na mpango wowote wa kupingana na sisi au kukaidi maagizo
haya au mpango wowote wa kututafuta kwa sababu tutakuua muda wowote sehemu
yoyote. Sisi tupo hadi kwenye safu yako ya ulinzi kwa hiyo tumeamua kuvunja
kiapo na hatuna mpango wa kuacha kufanya au kutekeleza maazimio yetu
haya.Tunazo silaha na vifaa vya kisasa kutekeleza chochote
tunachotaka.Tunao Makomandoo na Majasusi walio bobea kwenye kazi hiyo.

• Pia tunawatahadharisha Watanzania wote kutokukusanyika kwenye
makundi mnayoyaita maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru kwa sababu kuanzia sasa
tutaanza kuilipua. Siku ya December 9 tunawaasa wananchi kukaa majumbani
mwao bila kutoka kabisa barabarani wala kwenye maadhimisho hayo . Acha
mpango wowote wa kuzuia maandamano ya wananchi kupinga jambo lolote kuanzia
sasa kwa kuwa ni haki yao ya msingi..Ikiwa wataendelea kuzuiwa tutaanza
kufanya milipuko mikubwa kwenye vituo vya polisi nchi nzima na tayari
tumewasiliana na Al-Shabaab watuongezee nguvu ikiwa utakaidi au kudharau
maagizo haya.

• Mwisho napeda kuwaambia watanzania wote sasa ni mwisho wa
kuteswa,kunyanyaswa na kudharauliwa! Ni mwisho wa wa visasi na chuki
zisizokuwa na maana, Ni mwisho wa vilio na uchungu kwa wanaoteseka kwenye
nchi yao. Ni mwisho wa KIKWETE na MAFISADI WAKE…Ni mwisho! Ni mwisho! Ni
mwisho!. Tutahakikisha kuwa zoezi hili halimwagi damu ya Mtanzania yeyote!
Iwe ya Yule atakayetuunga mkono au ya atakayetupinga (Isipokuwa kama
Mafisadi watajaribu kupingana nasi) Tunatoa fursa kwa watanzania kujaa
mitaani kutuunga mkono nasi tutahakikisha kuwa tunawalinda kwa hali na mali
na Jeshi la polisi wakijaribu kupingana nasi tutawashughulikia kikamilifu.

• Tunasisitiza kuwa hatuna mpango wa kumuua Mtanzania yeyote…Ila kama
utaamua tuwaue tutaanza na wewe ili kuwalinda Watanzania.

Tunakutakia Ufanisi katika utelekezaji wa maagizo haya.
 
Ninacho kiona hapa ni what I can call a senseless civil war break out kwa sababu ya wanasiasa waliokosa busara za kutatua migogoro at the first place (Mungu atuepushe na upuuzi huu). Viongozi wapo lakini wamekaa kimya as if nothing is happening badala yake wanatumia nguvu pasipo akili, huu ni ukosefu wa maono na kwa bahati mbaya sana viongozi wenye hekima na busara walishakufa zamani na sasa tumebakiwa na mbumbumbu the so called wanajeshi watumiao nguvu kwa kila jambo hata kama mazungumzo pekee yangetosha, wasiojua nini maana ya alama za nyakati. nawaombea wapate akili za kutuepusha na hizi dalili tunazoziona sasa, uwezo huo wanao na wakiamua hakika tukiamuka kesho tutakuwa na Tanzania mpya yenye matumaini mapya.
Wale wote wanaoshabikia vurugu, my friends never ever dream of it, is a horrible thing to experience.

Tantee umenena.
Wamekugusa baba....! Husemi kama ulifika?
 
hii ni sehemu ya barua/waraka uliotumwa kwa JK najua wengi mnayo maana iliwekwa humu na kikosi maalumu

HITIMISHO.
Unapaswa kuhakikisha kuwa unatekeleza yafuatayo kabla ya kuondoka (Within
100 days)

• Vunja uhusiano wa kidiplomasia na nchi za Marekani na Uingereza

haraka na Balozi zao hapa Tanzania zifungwe. Vinginevyo TUTAZILIPUA.

• Andika Barua kwa Spika wa Bunge kuwa umeamua kulivunja bunge

• Iondoe Tanzania kwenye Umoja wa Afrika ambapo ni Umoja usiokuwa na

watanzania na hata waafrika wenyewe!.

• Achana na mpango wowote wa kuhamisha fedha kutoka kwenye Account
yoyote BoT
•

Itisha mkutano wa vyombo huru vya kitaifa kupata maoni ya kuunda
TUME HURU YA UCHAGUZI na itangaze tarehe ya Uchaguzi Mkuu

• Chagua nchi yoyote uende kuishi uhamishoni hadi siku yako ya kufa

• Waambie wote wanaotajwa kuwa ni Mafisadi waondoke Nchini ndani ya
Saa 48 vinginevyo TUTAWAUA MMOJA BAADA YA MWINGINE NA FAMILIA ZAO
•
Achana na mpango wowote wa kupingana na sisi au kukaidi maagizo
haya au mpango wowote wa kututafuta kwa sababu tutakuua muda wowote sehemu
yoyote. Sisi tupo hadi kwenye safu yako ya ulinzi kwa hiyo tumeamua kuvunja
kiapo na hatuna mpango wa kuacha kufanya au kutekeleza maazimio yetu
haya.Tunazo silaha na vifaa vya kisasa kutekeleza chochote
tunachotaka.Tunao Makomandoo na Majasusi walio bobea kwenye kazi hiyo.

• Pia tunawatahadharisha Watanzania wote kutokukusanyika kwenye
makundi mnayoyaita maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru kwa sababu kuanzia sasa
tutaanza kuilipua. Siku ya December 9 tunawaasa wananchi kukaa majumbani
mwao bila kutoka kabisa barabarani wala kwenye maadhimisho hayo . Acha
mpango wowote wa kuzuia maandamano ya wananchi kupinga jambo lolote kuanzia
sasa kwa kuwa ni haki yao ya msingi..Ikiwa wataendelea kuzuiwa tutaanza
kufanya milipuko mikubwa kwenye vituo vya polisi nchi nzima na tayari
tumewasiliana na Al-Shabaab watuongezee nguvu ikiwa utakaidi au kudharau
maagizo haya.

• Mwisho napeda kuwaambia watanzania wote sasa ni mwisho wa
kuteswa,kunyanyaswa na kudharauliwa! Ni mwisho wa wa visasi na chuki
zisizokuwa na maana, Ni mwisho wa vilio na uchungu kwa wanaoteseka kwenye
nchi yao. Ni mwisho wa KIKWETE na MAFISADI WAKE…Ni mwisho! Ni mwisho! Ni
mwisho!. Tutahakikisha kuwa zoezi hili halimwagi damu ya Mtanzania yeyote!
Iwe ya Yule atakayetuunga mkono au ya atakayetupinga (Isipokuwa kama
Mafisadi watajaribu kupingana nasi) Tunatoa fursa kwa watanzania kujaa
mitaani kutuunga mkono nasi tutahakikisha kuwa tunawalinda kwa hali na mali
na Jeshi la polisi wakijaribu kupingana nasi tutawashughulikia kikamilifu.

• Tunasisitiza kuwa hatuna mpango wa kumuua Mtanzania yeyote…Ila kama
utaamua tuwaue tutaanza na wewe ili kuwalinda Watanzania.

Tunakutakia Ufanisi katika utelekezaji wa maagizo haya.

angekubali kwenda arusha
jamaa wangemtoa
 
UMESAHAU MOSHI AMBAPO NDIO NGOME YA UPINZANI TK MFUMO WA VYAMA VINGI UANZE CCM haijawah Kuongoza MOSHI na haitakaa iongoze

hapo wasahau, ilishindwa 2005 wakati watanzania walipo danganyika kwa wingi haitatokea tena
 
Aisee...ninapoandika hivi sasa.UYOLE kumechafuka yaani toka saa 7. hadi sasa ni mabomu na risasi waziwazi. Kila kitu kimesimama. In short ni mawe vs mabomu and risasi kutoka kwa porisi. Chanzo ninavyosikia ni forceful eviction of wamaçhinga katika maeneo wasiyotakiwa.
 
kikwete alitaka kwenda arusha kesho lakini gafla kamtuma yule mzee bilal ghalib ndo aende .....
 
yule mbunge wa mbalali(ccm)dikson kilufi leo amehukumiwa kwenda jela miezi kumi au kulipa faini ya tsh laki tano kwa kosa la kutishia kuua

mbunge pichani ameipa fain na sasa yuko huru........
 
hahaha kijana una panic nini nawe huko dar andamana uone CCP watu walienda kufanya nini tena nyie masharobaro wa dar tunahamu nanyie sana piga virungu mbaya kabisa
Dogo unaliwa bure!!
wenzako wanauza, na haki zao zinapiganiwa na viongozi wa nchi zilizoendelea.
 
yule mbunge wa mbalali(ccm)dikson kilufi leo amehukumiwa kwenda jela miezi kumi au kulipa faini ya tsh laki tano kwa kosa la kutishia kuua

mbunge pichani ameipa fain na sasa yuko huru........
Mbona sura mbaya namna hii.............mdomo kama vile punda kamshughulikia bana!!!
 
Aisee...ninapoandika hivi sasa.UYOLE kumechafuka yaani toka saa 7. hadi sasa ni mabomu na risasi waziwazi. Kila kitu kimesimama. In short ni mawe vs mabomu and risasi kutoka kwa porisi. Chanzo ninavyosikia ni forceful eviction of wamaçhinga katika maeneo wasiyotakiwa.
Wamachinga wapo Mwanza na Mbeya tu??
 
Back
Top Bottom