Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Mbeya bado hali si shwari vijana wanaanza upya kuziba njia.

Asante kwa taarifa.
Tunaomba mliopo Mbeya muendelee kutu update, tunawategemea sana kwa taarifa sahihi.
Si mnajua hatuna TV wala radio stations hapa nchini siku hizi?
 
Asante kwa taarifa.
Tunaomba mliopo Mbeya muendelee kutu update, tunawategemea sana kwa taarifa sahihi.
Si mnajua hatuna TV wala radio stations hapa nchini siku hizi?

hadi sasa barabara kuu ya kimataifa imefungwa na vijana.
 
hadi sasa barabara kuu ya kimataifa imefungwa na vijana.

Barabara ipi mkuu, hiyo ya kutoka tunduma au ya kutoka tukuyu, maana nasikia mpaka uyole jana kilikuwa kimenuka.

Vipi shughuli za kawaida zinaendelea? Daladala zinafanya routes? Mwamko wa watu kwa maana ya idadi ukoje? Vipi kuna kauli yoyote kutoka kwa Sugu?
 
Sugu Rais wa Mbeya hajafika huko tu?, mana walisema m2 wanaeweza kumsikiliza ni Sugu tu!
 
Sugu kafika hivyo hawamtaki kiongozi mwingine zaidi aongee katika mkutano unaofanyikia Kabwe.
 
sugu(RAIS WA MBEYA),keshaongea na wananchi wake na kasema amekubaliana na kandoro watu waendelee kuuza barabarani na ikitokea wakavunja makubaliano hayo tena basi na yeye mwenyewe ataingia kitaan kuonesha hasira zake...
 
Back
Top Bottom