Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Kituo cha polisi ilomba,kimevunjwa,watuhumiwa wamekimbia,na kimechomwa moto.Ni kituo cha polisi cha pili kuchomwa,kingine ni cha uyole.Inasemekana watu wengine kutoka Mbalizi wameenda kuungana na wenzao kupambana na askari.Wananchi wanapiga simu redioni,wanasema hawamtaki Kandoro.Mbunge wa mbeya mjini yupo njiani kuelekea Mbeya.
 
Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara

Napata tabu kutambua utashi wako ila napenda tu kukujulisha kwamba hapa ni kwa great thinkers maana nahisi umekosea njia
 
Hamna siku nimefurahi kama leo yaani kusikia vituo vya polisi vimechomwa moto na polisi ameuwa full faraja naona sasa wataanza kuelewa gharama ya ukombozi ni kubwa kiasi gani. Big up wanambeya
 
Jamaa wameishiwa mabomu na kazi ndo imeanza. ffu kutoka iringa na wanajeshe kutoka kambi ya makambako ndani ya nyumba. ni nomaaa wazee
 
FFU toka iringa wameagizwa waende wakaongeze nguvu.......deffender 5 zinaelekea huko......bado hapakaliki...
 
kwa hili watu wa mbeya nasema miaka 50 wametubutu na wanaweza hii kitu ikasambaa kwa kila raia burudan

tayari wmechoma kituo cha polisi Ilomba na magari yao
 
Mbeya hali Tete...


MBY156.JPG
MBY16.JPG
MBY13.JPG
MBY14.JPG
MBY10.JPG
MBY.JPG
 
Weeeeeeeeeee!....Mby hagusi_na hivi anataka kuwa kolimba M/kyembe na M/ndosya ndio kabisaaaaaaa.

Huyu Mkweree anafahamu kilichowasibu Mwandosya na Mwakyembe; kama mnakumbuka kuna siku aliwahi kusema kuwa uhasama kati ya makundi ndani ya CCM umefikia kiasi kwamba mtu hawezi akaacha glasi yake ya maji na kwenda maliwatoni na ikawa salama!! Sasa mnafikiri alikuwa hana habari kuwa kuna watu walikuwa na mpango wa kuwalisha sumu wanachama wenzao? Hayo matamshi yake yalichimbukia wapi?
 
[h=3]BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya washindwa tuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCM[/h]

majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi

Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.

Hali Badi ni Mbaya sana Kumefuka
 
Napata tabu kutambua utashi wako ila napenda tu kukujulisha kwamba hapa ni kwa great thinkers maana nahisi umekosea njia
Mtu mwenyewe MMEMKWA ulifikiri angeandika nini? Majina yetu hapa JF yanareflection kubwa sana ya tabia halisi za watu.
 
sisitiza watu kujikumbusha mkanda wa sarafina.......very important messsage.
freedom is comming......
 
Back
Top Bottom