Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 9th November 2011
Posts : 24

Rep Power : 0

icon1.png
Re: Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara

MY TAKE

JF imevamiwa kweli kweli. Watu wanapotosha sana hoja siku hizi. Vurugu mbeya zinaendelea,Mawe yanarushwa sana.

Magari imekuwa hatari kuendesha kwa muda huu.
 
Kiukweli mpaka sasa niliona kwa macho wamekufa ni wa3,ila ni zaidi ya hapo!
 
Sometimes I wonder where we are heading in this tz full of honey and milk?Tatizo serikali jamani tusijidanganye kutafuta mchawi mwengine!
 
natamaani vurugu kubwa za wamachinga zitokee dar.ninasabab.
 
Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara

Kuna mkakati kabambe wakuwaondoa askari wote walio ishia darasa la saba,hii kitu lazima ikukute maana unakurupuka sana na kuposti upupu humu jamvini.
 
hivi jk anaona taabu gani kuacha uraisi ampishe mtu mwingine ..hivi kwanza nasikia hazina hakuna hela wanafanyia nini hela hawa au wanaweka vocha kwenye simu na kunywa azama kola

Bado hajajirimbikizia mali kama yule aliyemtangulia
 
hivi jk anaona taabu gani kuacha uraisi ampishe mtu mwingine ..hivi kwanza nasikia hazina hakuna hela wanafanyia nini hela hawa au wanaweka vocha kwenye simu na kunywa azama kola

Akimpisha mwingine atawezaje kuzungukia ulimwengu? Atawezaje kupanda ndege kwa ajili ya kupiga picha na wanamziki wa nje? Atapataje suti za ofa? Atapata wapi nafasi ya kumshika mkono Cameron kwa tabasamu la **haba?
 
Kuna mkakati kabambe wakuwaondoa askari wote walio ishia darasa la saba,hii kitu lazima ikukute maana unakurupuka sana na kuposti upupu humu jamvini.

Vurugu zinasababishwa na uelewa mdogo wa mapolisi wengi wao ni STD 7 wengine darasa la 4 hawatumii busara kabisa
 
Ninacho kiona hapa ni what I can call a senseless civil war break out kwa sababu ya wanasiasa waliokosa busara za kutatua migogoro at the first place (Mungu atuepushe na upuuzi huu). Viongozi wapo lakini wamekaa kimya as if nothing is happening badala yake wanatumia nguvu pasipo akili, huu ni ukosefu wa maono na kwa bahati mbaya sana viongozi wenye hekima na busara walishakufa zamani na sasa tumebakiwa na mbumbumbu the so called wanajeshi watumiao nguvu kwa kila jambo hata kama mazungumzo pekee yangetosha, wasiojua nini maana ya alama za nyakati. nawaombea wapate akili za kutuepusha na hizi dalili tunazoziona sasa, uwezo huo wanao na wakiamua hakika tukiamuka kesho tutakuwa na Tanzania mpya yenye matumaini mapya.
Wale wote wanaoshabikia vurugu, my friends never ever dream of it, is a horrible thing to experience.
 
Mbeya hapatoshi ni kati ya wamachinga na polisi.
Nimepokea simu kutoka kwa ndugu yangu anasema hali ni mbaya sana kuanzia mafiati mpaka SAE ni vurugu tupu na mabomu ya machozi yanapigwa sana!
Ajabu nasikia mpaka jana jiji wamechukua ushuru kwa hao machinga, sasa hiyo notice ni ya muda gani?mpangilio wa jiji ni vema ila lazima busara itumike sana, mfano wasingechukua ushuru hata mwezi ingetosha kufikisha ujumbe kwa hao wafanyabiashara wadogo kuwa walipo sio sehemu sahihi
 
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 9th November 2011
Posts : 24

Rep Power : 0

icon1.png
Re: Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara

MY TAKE

JF imevamiwa kweli kweli. Watu wanapotosha sana hoja siku hizi. Vurugu mbeya zinaendelea,Mawe yanarushwa sana.

Magari imekuwa hatari kuendesha kwa muda huu.

Kabepele pole sana ila ukweli ndio huo maandamano yameisha watu kichapo wamepokea nakandamizia hapa hapa taarifa kwenye gari la FFU nikiwa nakula tamu ya kutumikia taifa
 
polisi na ffu wamechemsha jwtz wameshaingia kazini je na wao wakichemsha, nakumbuka maneno ya mbowe jana kwenye taarifa ya habari kwamba polisi wanainyanyasa chadema kote nchini na haya majimbo ya chadema ndiyo kabisa. polisi come down, acheni hulka yatawarudi damu za znz bado zinawalilia oooooo
 
Back
Top Bottom