We are deeply sorry for what is happening, hata hivyo mabadiliko huja na madhara yake. Mimi nina furaha si kwasababu watu wanakufa ama magari yanachomwa moto, nina furaha kwasababu watanzania wanaamka na kudai haki zao kwa nguvu maana tusitarajie kabisa hawa Mabazazi wa CCM kutupa uhuru wetu tukiwa tumekaa.
Mapambano yataendelea, tutumie sayansi zaidi kuliko nguvu. Hii inaweza kutusaidia kupunguza vifo na majeruhi kwa kiasi kikubwa, nitakupeni mfano rahisi. Polisi ni wachache sana, ni waoga sana kushuka kwenye hayo ma-defender... tengenezeni mbao fupi-fupi zenye misumari mingi kisha mnazitupa chini ya ma-defender wakati yanawapita, tairi zitapasuka na defender litapiga chini ama lazima litasimama... likisima hao askari hawataenda popote maana wanajua kitachowasibu. Likifanikiwa msiwapige mawe maana hao wanaamrishwa, wapigeni kwa mayai, kinyesi na vitu vingine vingi vya kuudhi... hakuna askari atakayeumia sana isipokuwa itakuwa aibu kubwa na Polisi watatumia akili zaidi ya nguvu za sasa. Kisaikolojia mtapata nguvu na kugundua sisi (Umma) tuna nguvu kuliko wao, mapambano yaendelee..!