chadema hao wasio na uzalendosasa hivi Mbeya gari yeyote yenye number kama STK, SU, DFP.. Likionekana barabarani ni moto kwa kwenda mbele. sasa hivi wanabomoa mabango ya CCM
sasa hivi Mbeya gari yeyote yenye number kama STK, SU, DFP.. Likionekana barabarani ni moto kwa kwenda mbele. sasa hivi wanabomoa mabango ya CCM
Muingereza a.k.a. Cameroon we!chadema hao wasio na uzalendo
loh kweli FFU mtambo wa kurkebisha tabia chapa watu mbaya kabisa hehe eti JWTZ waje wanini hapa mbeya ffu oyeeeeeeeeeeee
sasa hivi Mbeya gari yeyote yenye number kama STK, SU, DFP.. Likionekana barabarani ni moto kwa kwenda mbele. sasa hivi wanabomoa mabango ya CCM
kwani uongo FFU noooooooooomaaaaaaaaa wanatembeza kichapo balaaaKafirwe.
Hawa wamachinga nao wamekuwa wanasiasa?
Hawa wamachinga nao wamekuwa wanasiasa?
poleni sana wana mbeya ndo tujue serikali yetu ilivyolegelege maana haya yote yalihitaji maandalizi mapema na yakajengewa mazingira mazuri haya yasingetokea tuombe Mungu asife mtu hapo.
hahaha kijana una panic nini nawe huko dar andamana uone CCP watu walienda kufanya nini tena nyie masharobaro wa dar tunahamu nanyie sana piga virungu mbaya kabisa
Wadau risasi na mabomu yanarindima mwanjelwa mbeya kati ya polisi na vijana. Barabara ya kibiashara ilifungwa. Ni hatari