mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
Wamemiss vita hao
Wekeni picha,kinyume na hivo ni uzushi.
Raia wanapataje hofu mkuu.ninavyojua kipindi kuelekea uchaguzi huwa kuna pilipilika nyingi na ndo mana kipindi hicho mpaka rais mpya anapoapishwa matukio mengi kama vile ujambazi huwa yanatokea kwa wingi najua hapo jeshi letu linajiweka sawa pia kwa kushirikiana na polisi ili mambo yaende sawa
Huu ni uzushi, mimi niko jijini Meya muda huu, hakuna kitu kama hicho. Nahofu kuingizwa kwenye mtego wa mambo ya uzushi kama ule wa mapambano kati ya TPDF na El Shababu kule mapango ya Amboni. Ebu leta ushahidi wa picha yenye tarehe kama una ukweli !!!
Kwa nini hili zoezi lifanyike kwenye mwaka wa uchaguzi? Hii isije ikawa ni mbinu ya kutia raia hofu
maandalizi ya 100% army standby. Maadui wanaongezeka.Sio lazima maadui wa nje LA hasha hata wa ndani.Echolima anajua.
Kipindi hiki cha uchaguzi ndio sahihi kufanya kaguzi. Nyie wahamiaji ndio MNA wasiwasi.
kama jwtz wanakagua ugaidi na ujambazi bac polisi waende wakalinde mipaka ya nchi
Raia wanapataje hofu mkuu.ninavyojua kipindi kuelekea uchaguzi huwa kuna pilipilika nyingi na ndo mana kipindi hicho mpaka rais mpya anapoapishwa matukio mengi kama vile ujambazi huwa yanatokea kwa wingi najua hapo jeshi letu linajiweka sawa pia kwa kushirikiana na polisi ili mambo yaende sawa
Kitisho kinatoka wapi?
Niupumbavu, waende kongo nani kasema Mbeya hakuna au kunakitisho cha amani?
ayo ni mazoezi kwaajili ya kujiweka tayari na ni silibas ya kimataifa huwa yanafanyika katika maeneo mbalimbali kulingana na topic yenyew.yapo ya porin mf..jungle patrol base.n mjini ndo kama hayo FiBUA,RAID cloud d sparz.etc
Wanatafuta namna ya kuingia kwenye usimamizi wa kuiba kura kwamba interigenssia ya geshi imeonyesha kutakuwa na fujo kipindi cha kupiga kura
dunia ya saiv imebadilika amna vita ya porin kama enz zile za uganda nwadyz maadui wanaweka ngome kwenye miji na sehemu za watu coz nia yao s kuua askari bali n raia.wakuu wa serekali.majengo muhimu etc
Nikweli mkuu.
Lakin wafaham kulazimisha ccm ibakie madarakan nikuchafuwa hali yahewa.
Waache sanduku la kura liamue tutabaki salama, tofauti na hapo tutashuhudia viongozi kuuwawa kwa kuviziwa, mali za serikali kuhujumiwa kwa siri nk
Kwanin tufike huko? Waache kura ziamue na atakayeshinda apewe kijiti hapo tutajenga taifa imara lenye afya na amani.
Huu sio uungwana hatakidogo.