Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

Mbongo mbona hamna ugaidi, au tumeumiss tunauita

Ivi inatakiwa wafanye mazoezi ya vitendo vya ugaidi kutokea kwanza? Maana Ukifanya mazoezi kabla unaombea, na haya mazoezi ya kivita wanayofanya je?
 
Ni moja ya mazoezi yao, iliwahi kufanyika hapa Songea hata mwezi haujaisha. Usiku watapiga makombora/mabomu ambayo hayana madhara kwa wananchi.
 
Msihofu wapo mazoezini hao, hawana madhara kwa raia mwema!
 
Kama kichwa nimepata taarifa kinavyojieleza mbeya leo kuna wajeda mji mzima na kila gari linakaguliwa hata abiria wa daladala

Mwenye taarifa zaidi tafadhali!
 
Kwani uandikishaji wa bvr umeisha hapo Mbeya?
 
Hao wameanza vitisho-ccm na uchaguzi, nimewaona wakiendesha magari yao hovyohovyo.

Wanaenda speed kali bila kujali

Hawazingatii alama zozote

wanaenda oposite barabara za one direction

wanafanya near miss nyingi

mji wa mbeya upo katika hatihati, kiusalama bora kutulia au kama unagari yako bora kupaki kuwapisha hawa jamaa.
 
Mazoezi ya kijeshi yanafanyika kulingana na wakati stahki.tukio kubwa lililo mbele yetu ni uchaguzi.nchi nyingi zimeingia kwenye machafuko kupitia chaguzi zao.sio ubaya wa jeshi kujiwekea utayari

Kitisho kinatoka wapi?

Niupumbavu, waende kongo nani kasema Mbeya hakuna au kunakitisho cha amani?
 
Hao wameanza vitisho-ccm na uchaguzi, nimewaona wakiendesha magari yao hovyohovyo.

Wanaenda speed kali bila kujali

Hawazingatii alama zozote

wanaenda oposite barabara za one direction

wanafanya near miss nyingi

mji wa mbeya upo katika hatihati, kiusalama bora kutulia au kama unagari yako bora kupaki kuwapisha hawa jamaa.

Pamoja na mbwembwe zao, jioni tutaonana kwenye kimpumu kwa mama John pale !!
 
Hao wameanza vitisho-ccm na uchaguzi, nimewaona wakiendesha magari yao hovyohovyo.

Wanaenda speed kali bila kujali

Hawazingatii alama zozote

wanaenda oposite barabara za one direction

wanafanya near miss nyingi

mji wa mbeya upo katika hatihati, kiusalama bora kutulia au kama unagari yako bora kupaki kuwapisha hawa jamaa.

Nijambo la muhimu kwani ujinga hafi mtu
 
Msihofu wapo mazoezini hao, hawana madhara kwa raia mwema!

Kunamadhara makubwa sana

-Jeshi mitaan kwanini, polisi wako wapi

-Jeshi mitaan ndo mipaka ya nchi?

Hawa wanajenga hofu na critical pschological toucher kwa raia.
 
Kama kichwa nimepata taarifa kinavyojieleza mbeya leo kuna wajeda mji mzima na kila gari linakaguliwa hata abiria wa daladala

Mwenye taarifa zaidi tafadhali!

Huu ni uzushi, mimi niko jijini Meya muda huu, hakuna kitu kama hicho. Nahofu kuingizwa kwenye mtego wa mambo ya uzushi kama ule wa mapambano kati ya TPDF na El Shababu kule mapango ya Amboni. Ebu leta ushahidi wa picha yenye tarehe kama una ukweli !!!
 
Kunamadhara makubwa sana

-Jeshi mitaan kwanini, polisi wako wapi

-Jeshi mitaan ndo mipaka ya nchi?

Hawa wanajenga hofu na critical pschological toucher kwa raia.

Mkuu hao hawafanyi doria yyt, wapo mafunzoni, Watanzania tunaogopa wanajeshi wetu wanaolinda amani badala ya kuogopa vita! Hao kazi yao ni kulinda amani, uwepo wao iwe faraja kwako kuwa kumbe hapo ulipo unalindwa🙄
 
Back
Top Bottom