Raisi bado yupo indiani hajarudi?
Poleni wakuu...
Jifungie tuu....
Walale kabisa!
Kama lugha inakuchenga achana nayo! joking??? =jogging
Mkuu hakuna anaye bisha, najiuliza kwanini mwaka huu?, Polisi wamezidiwa?Nchi iko salama,acheni kuweweseka!
sasa hizi military drills zinafanyika mjini?
Mkuu hakuna anaye bisha, najiuliza kwanini mwaka huu?, Polisi wamezidiwa?
sasa hizi military drills zinafanyika mjini?
hata mimi huku chuo..cha TEKU nilisikia milio kama mabomu
....JWTZ kama kweli wanataka mazoezi wangeenda Syria, Somalia wajipime na ISIS na all shabab sasa haya mazoezi na raia ambao hata mgambo hawajawahi kwenda sijui kama yana tija.
Mbona military forces zilizoenda kufanya survey ya mipaka Malawi hamkulalamika, kwamba zinapita mjini na wananchi mlijazana Songwe kushangaa.
Ila hizi shake-off ndogo tu watu wanalalamika eti mabomu, yangepigwa mabomu yenyewe wana nchi wangepata ata nafasi yakulogin JF.
Una appointment nae?