Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,247
- 13,493
Hao wanajeshi wa JWTZ si bure watakuwa wanatumika kisiasa.... Kama wana nia ya mazoezi si waende Somalia...!!
Hahahaaha wanachukua mazoezi ya kudhibiti nguvu ya umma.....joking
Yanatokea wapi hayo isijekuwa Mmalawi kakasirika. Lakini kama ni policcm msiogope, komaeni tuuu
Madam, you are also forgeting that many young eligible voters did not vote because of lack of voter registration for about 5 years. Moreover, in reality CCM did not win-it actually lost in more sits/positions than it did in 2009. With new voters who will obviously not vote for CCM, plus the fact that were electing national leaders and not local ones, the stakes are high, very high.You have forgotten that recently you were beaten hands down by over 80% of voters, mostly from from the same rural areas and remember, without any strong campaigning. Imagine with the presidential campaigns?
The forces are their to ensure trouble makers such as those who who always bark "nchi haitatawalika" are squarely contained without a hick.
Dah, m mwenyewe nlikuwa nazma moto.... na tulikuwa kama watu 10 darasan baada ya kusikia.. sijui nmefkaje chini
Mda huu hapa mji mdogo wa mbalizi mpaka nyumba zinatisika kiukweli hali ni tete mda huu wa usiku sasa nyumba zetu zikianguka hivi watatulipa
Dah, m mwenyewe nlikuwa nazma moto.... na tulikuwa kama watu 10 darasan baada ya kusikia.. sijui nmefkaje chini
Eleza basi zimesababishwa na nini, taarifa haijitoshelezi joo!!!
Hao wanajeshi wa JWTZ si bure watakuwa wanatumika kisiasa.... Kama wana nia ya mazoezi si waende Somalia...!!
Yanatokea wapi hayo isijekuwa Mmalawi kakasirika. Lakini kama ni policcm msiogope, komaeni tuuu
Raisi yuko wapi?
Kwani Songea mliambiwa sababu hasa ni nini ?
Toka mchana msako ulianza, watu wamesechiwa wenye nyembe, visu n.k ni chini
uliza kama unae rafiki aliyepita nane nane leo.
hayo ni maandalizi ya kudhibiti wapinzani kwenye uchaguzi mkuu...
Ukishatangaza habari za somalia hospitali yao lugao utakuta imejaa