MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,852
- 2,299
Wabongo bwana! Kwani kuna mjeshi amedhuru mtu?
Nilidhani umeelewa nilichokiandika, kumbe hollah..
Kama lugha inakuchenga achana nayo! joking??? =jogging
Nadhani hufahamu vyema majukumu ya Jwtz, ngoja nikusimulie kua jeshi wanamajukumu ya kulinda nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje,PIA wanajukumu la kusaidia mamlaka za kiraia ktk majanga na mahitajio mbalimbali pindi ikihitajika kufanya hivyo.
Reffer to;majanga ya mafuriko yaliowahi kutokea.
Nilidhani umeelewa nilichokiandika, kumbe hollah..
Are you serious!! ficha uso wako kwa aibu ndg
Mkuu inawezekana wakitoa taarifa wananchi ndio wasinge lala kabisa
Wewe kwani wawapi?hata wangetoa taarifa ni mara ngapi tunapuuzia kwa kujifanya wajanja na wanasiasa kwenye kila kitu!
....mhurumie huyo ni kirikuu
Watoe taarifa tupuuzie kuliko kukaa kimya...
Mi wa hapahapa
Weka sababu,ni magaidi?au ni siasa za magamba?
Wewe kwa akili yakounaona kuna upinzani nchi hii? Acha kuota wewe!
....Wewe kuli wa Lumumba acha kuropoka ropoka ovyo!