Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

The Security apparatus can spin it all they want;deep down, some of us know this so called operation is meant to scare old and young voters. They know there is a good chance that CCM will be outvoted this time-that is why BVR registration has been tactical-attracting more registration in rural than urban areas. In fact, this time CCM is only going to be rescued by the forces, not the voters. And, sadly, there is more 'show of force' to come. Next time, it will be the bigwigs at Ngome.

You have forgotten that recently you were beaten hands down by over 80% of voters, mostly from from the same rural areas and remember, without any strong campaigning. Imagine with the presidential campaigns?

The forces are their to ensure trouble makers such as those who who always bark "nchi haitatawalika" are squarely contained without a hick.
 
Wananchi wapeni nafasi wanajeshi wetu wafanye mazoezi tayari kwa kulinda amani. Mnataka wakurupuke tu. Ni vema wafanye mazoezi wakijiandaa. NI sawa na tunapopelekwa vijana wetu JKT kuna watu humu mnasengenya na kusema vibaya mafunzo yale ya jeshi mnawajua Alshabab na wengineo, sio legelege lazima kila mtu ajiandae na wawe imara najeshi letu liwe vizuri.
 
profesa upo sawa kabisa ila najiuliza mengi sana kuhusiana na jkt..
hv tunapeleka vjana jkt na maisha haya ni magumu kiasi hki hatuoni kama tunaweza tengeneza vjana watakao kuwa na spirit ya kujoin na kuunda vkundi vya kigaidi
 
Nyimbo yenu ya "nchi haitatawalika" umeisahau?

"mikwara"? hebu fanyeni "kwi" muone cha mtema kuni.

Punguani wahed.

Taratibu mnawakoleza wabongo kuelekea Nchi kama ya Kenya.Mnahaja ya kushauriana hata Somalia na Sudan walianzaga taratibu hivi.
Huwezi kufanyia mazoezi Roho za wa Watu.Jeshi hili hili kama bado kupitia Mabomu ya Mbagala na Gongolamboto bado hawajakuwa na uzoefu na kufanya tathimini ya mpokeo wa watu dhidi ya hatari hawezi kufanyia Bararabarani kwa kusimamisha magari Chini ya mtutu wa Bunduki na ikaeleweka eti mazoezi.

Shida linakuja kubwa zaidi pale panapokubwa na mashabiki kama wewe Dr FaizaFoxy ambao ndiyo washauri wategemewa wateule wengine wa Magogoni-kwenye korido halali na kwenye vijiwe vya kupotezea muda baada ya kazi.

Muhimu msisahau hata Palestina wamefikia kiwango walichopo cha kujilipua kwa sababu ya ufedhuli wa Israel.
Sasa ni vizuri mkajua hilo tusiwatengenezee watakao zaliwa kwenye mazoezi kama hayo usugu toka matumboni mwa mamazao.

Last edited by a moderator:
Wananchi wapeni nafasi wanajeshi wetu wafanye mazoezi tayari kwa kulinda amani. Mnataka wakurupuke tu. Ni vema wafanye mazoezi wakijiandaa. NI sawa na tunapopelekwa vijana wetu JKT kuna watu humu mnasengenya na kusema vibaya mafunzo yale ya jeshi mnawajua Alshabab na wengineo, sio legelege lazima kila mtu ajiandae na wawe imara najeshi letu liwe vizuri.

Siyo kwa staili hii ya kuwavizia abiria barabarani.
Kuna JKT sawa kabisa na ni mazoezi mazuri lakini ni operation inayohitaji pesa hivyo inaweza kuwa ngumu kwa wote.

Kama lengo ni kuwaimarisha Watanzania kwenye eneo la kuwa tayari kwenye muda wa hatari kwa kuwajengea ukakamavu na mbinu basi Mgambo kwa wote ambao hawajapitia ndiyo suluhisho kuliko uzembe huu wa Barabarani.

Taratibu mnawakoleza wabongo kuelekea Nchi kama ya Kenya.Mnahaja ya kushauriana hata Somalia na Sudan walianzaga taratibu hivi.
Huwezi kufanyia mazoezi Roho za wa Watu.Jeshi hili hili kama bado kupitia Mabomu ya Mbagala na Gongolamboto bado hawajakuwa na uzoefu na kufanya tathimini ya mpokeo wa watu dhidi ya hatari hawezi kufanyia Bararabarani kwa kusimamisha magari Chini ya mtutu wa Bunduki na ikaeleweka eti mazoezi.

Shida linakuja kubwa zaidi pale panapokubwa na mashabiki kama wewe Dr FaizaFoxy ambao ndiyo washauri wategemewa wateule wengine wa Magogoni-kwenye korido halali na kwenye vijiwe vya kupotezea muda baada ya kazi.

Muhimu msisahau hata Palestina wamefikia kiwango walichopo cha kujilipua kwa sababu ya ufedhuli wa Israel.
Sasa ni vizuri mkajua hilo tusiwatengenezee watakao zaliwa kwenye mazoezi kama hayo usugu toka matumboni mwa mamazao.

Dr. Mp Kalix2

Hizo porojo ndeeefu peleka ufipa.

Si mnasema nchi haitatawalika, vijana wako mazoezini, anzeni mkione, thubutu!
 
Mbwa wanabweka hovyo

Nyumba zinatikisika

Kwakweli ni balaa
 
Mengine yanaafadhali

Mengine ni balaa

Wajawazito na watoto nihatari

Yamtukula kagera yamehamia Mbeya
 
Ngoja nizime kamchina kangu wasije nifata hum chumbani.
 
Muda huu hapa mji mdogo wa Mbalizi mpaka nyumba zinatisika. Kiukweli hali ni tete muda huu wa usiku sasa nyumba zetu zikianguka hivi watatulipa.
 
jamani hawa majamaaa wameanza kurusha sijui kupiga hayo mabomu yao...yani unaweza kimbia, so loud, harufu sasa yani hadi kichwa kinauma..sijui tutalaleje usiku wa leo kha! unalala unasikia booom, heartbeat mbio..mi nimeona nikae kwanza ninywe chai..wenzangu mliopo huku kwa sasa poleni
 
Mkuu na hayo macho yako utakuwa unaona vyema usiku weka picha basi afu uje useme vizuri chanzo cha hayo mabomu usiwe kama mtu anayetafuta hewa ya Oksjeni!
 
Yanatokea wapi hayo isijekuwa Mmalawi kakasirika. Lakini kama ni policcm msiogope, komaeni tuuu
 
Hahahaaha wanachukua mazoezi ya kudhibiti nguvu ya umma.....joking

Wao wenyewe ni nguvu ya umma tosha!Isitoshe wamechelewa sana kufanya mambo yao,Raia na wanasiasa kila siku mnapiga mikutano na maandamano wao wanawatazama tu, na wao imefika zamu yao ya kufanya ya kwao mnalialia nyie vipi?
 
Back
Top Bottom