Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

Hahahaha,nmekusamehe mkuu😂😁😂,kama unanifaham mbeya Vzur,bas waelimishe watu kuhusu uzuri WA mkoa WA Mbeya na. Jiji,usiwe kama wale wanaosema eti mbeya ni Uyole!mtembeze mtu huyo maeneo mbalimbali ya jiji na kata zake,kimkoa mtembeze Wilaya zote za mbeya na wenyeji WA Wilaya hizo!!!
Rungwe-wanyakyusa,Wilaya ya Mbeya-wasafwa,Chunya-Wasafwa ,ileje -wandali,kyela-wanyakyusa,Mbalali-Wasangu,n
.k
Wengi wanajua jiji ni majengo. Naipenda Mbeya coz hulali njaa hata kama nisipo jenga Mbeya lakini Kituo changu cha kununua misosi itakuwa ni Mbeya
 
Kwa hadhi ya Tanzania yetu Mbeya ni jiji kutokana na idadi ya watu pia mapato. Lakini pia kama ukiwa umesafiri walau nchi za Ulaya na Asia utakuja kusema pia Dar es salaam Sio jiji ni kijiji. Angalia mafuriko yaliyopo baadhi ya mitaa Dar es salaam. Angalia sqatas zilizopo Dar es salaam . Kwa level ya Tanzania Mbeya ni jiji
Tanzania hatuna majiji wala jiji.
 
Nimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana
Acha uwongo......
We hujafika mbeya.....hujatembea mbeya

Ova
 
Mtu mwenyewe anaeiponda mbeya anatoka katika kijiji cha arusha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaaa ! We jamaa bwege kweli, hivi kuna mji watu watombana kuliko Dar ! Ahahaaa !


Nani anatombana Dar ikiwa wanaume wake karibia ya wote hawana nguvu za kiume? Tatizo hili hata serikali kupitia wizara ya Afya wanajuwa hili.
 
Mbeya kuzuri sana karibuni kutalihi mtainjoyi kwa zia hari ya hewa garama ya maisha mtaafod zur kuna ruhaha national park alafu ziwa ngosi ziwa nyasa kuna beaches za kutosha Hotel zuri ambaye hana ela ata ponda hoteli zuri garama ya kulala per day ni 80k [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Nimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana
Aisee naungana nawewe Mbeya ni pahovyo sana nashngaaga sana cjui kwani watu wanapasifia , nmekaa Forest Mpya ya karibu na Esso , bdo ni pahovyo, Uzunguni pahovyo, Uswahilini Airport, Mama Joni, SAe, Ilomba, CCM, Soweto pote pamechoka yaani hapana tofauti na miji ya kawaida ambayo sio majiji Mbeya city center ni Uhindini ukifika uhindini penyewe ni pakawaidaaa, hakuna mishe mishe bora hata Mwanjelwa na Kabwe. Kiukweli tuache kusifia ujinga Mbeya ni pakawaida sana.
 
mbeya hakuna kitu kabisa hawajui kupika majiji ni dar na arusha kidogo kuna sehem nzur za kuenjoy
Jiji ni Dar tu.
Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya na Dodoma hakuna kitu mkuu ni kelele tu za watu kusifia kwao.
 
Back
Top Bottom