Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,050
Ungeanza kusema kwenu wapi kwanza halafu ndo useme kwa wengine. Tuambie kwenu wapi ili tulinganishe na Mbeya.
Atakuwa kwa wachunga ng'ombe huyo. Madimbwi ndiyo source ya maji kwa binadamu na mifugo.Ungeanza kusema kwenu wapi kwanza halafu ndo useme kwa wengine. Tuambie kwenu wapi ili tulinganishe na Mbeya.