hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,264
Hahaa aise
Mbeya ni kijiji kimoja kikuubwa!
Mbeya ni kijiji kimoja kikuubwa!
Kuna maeneo mengine bado ni Tanganyika
Wana population kubwaHuo mji upo kindezi lakini una mzunguko wa hela mbaya
Tanzania miji ya kuitwa miji ni mitatatu tu nayo ni Dar,Mwanza,Arusha kwengine kote ni vijiji vilivyoendelea.
Jiji la kina TUNTUFYE, malafyale na fiatu fyake!
Kina Erythrocyte bado sana.
Hivi wanyakyusa wale wenyewe hasa kwa nini hawazipendi V na badala yake wanaweka F? Vyakula=fyakula, viatu=fiatu.
Afadhali Mwanza mji unaeleweka. Yaani Mbeya sijui wanakwama wapi. Nyumba za matope hadi katikati ya mji
Mwanza!!!!!!mbeya hakuna kitu kabisa hawajui kupika majiji ni dar na arusha kidogo kuna sehem nzur za kuenjoy
Sensa ya 2012 Mbeya ilikuwa na idadi ya zaidi ya million 2Hiyo idadi ya watu yenyewe hata siioni. Yaani barabara zimepoa hizo utasema watu wamekimbia vita
Busara ni kumfahamisha sio kumtukana.malaya tu huyu .... ameenda soko matola chochoroni...
Mbona Ile nyumba ya wageni uliolala na yule jamaa aliyekuvushia mNimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana
Mbeya ni kijiji kile kwa sababu ukitoka kilobita mbili tu toka pale mjini unakutana na poli kubwa ni tofauti na Dar au Mwanza.
Ukweli unaoumiza huu🙉🙉🙉
Hujui unachoongea na unaropoka tuu,hata km unaijua?Mbeya ni kijiji kile kwa sababu ukitoka kilobita mbili tu toka pale mjini unakutana na poli kubwa ni tofauti na Dar au Mwanza.
Jiji ili liwe jiji nini kinatakiwa?Kwa Tanzania jiji ni Dar es salaam pekee. Hakuna mkoa mwingine wenye hadhi ya jiji.