Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?

Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?

Hiyo haielezei manufaa ya uwanja na kwanini iliamuriwa ujengwe. Wanasiasa wetu ni wabinafsi sana. Uwanja wa Songwe umepigwa sana fitna na viongozi wengi akiwemo Sumaye aliyetaka ujengwe uwanja wa kisongo Arusha badala ya Songwe. Ni kutokana na umuhimu wa Songwe ndo maana pamoja na nguvu ya Waziri Mkuu Sumaye, mradi wa Songwe ulianza.
Vipi Kuhusu Mandela University ambayo yadaiwa ilitakiwa ijengwe mbeya Au MUST kuendelezwa kama mchango wa mbeya ktk harakati ambazo Mandela kwa mara ya kwanza anaingia TZ aliingilia mbeya. Na kama hujui mpaka pass yake ya kusafiria ilikua na jina la kinyakyusa ili kumuepusha kuwindwa na boers.
 
tatizo wanyakyusa majivuno mengi hela mfukoni hamna.....mnyakyusa akiwa na elfu kumi hayo matambo utafikiri ana milioni
Una matatizo binafsi na watu wa Mbeya mkuu.
Kama una inferiority complex pata ushauri nasaha.
 
Vipi Kuhusu Mandela University ambayo yadaiwa ilitakiwa ijengwe mbeya Au MUST kuendelezwa kama mchango wa mbeya ktk harakati ambazo Mandela kwa mara ya kwanza anaingia TZ aliingilia mbeya. Na kama hujui mpaka pass yake ya kusafiria ilikua na jina la kinyakyusa ili kumuepusha kuwindwa na boers.
Hiyo nasikia ilihamishwa na Sumaye akiwa Waziri Mkuu.
 
Mpaka sasa foundation ya Mandela baina mchango wowote katika kuiendesha Nelson Mandela African Institution of Science and technology. So sina sababu ya kuhusisha uwanja wa Songwe na Mandela. Lakin natambua harakati za kujenga chuo cha science na technology mbeya, kama ilivyokuwa wakat wa wazo la UDOM.
 
Hapo sasa ndio urejelee hoja ya mtoa hoja kuwa kwa namna moja au nyingine Mbeya kwa sasa haina mtetezi tena baada ya Prof kuachana na siasa. Na wananchi haya yote wanayajua mpaka watu wa vijijini. Ndio maana sio ajabu upinzani mbeya unakua kwa kasi kutokana na serikali ya ccm kuifumbia macho mbeya ktk suala la maendeleo.
 
Hiyo nasikia ilihamishwa na Sumaye akiwa Waziri Mkuu.
Ilikua ni akili mbovu ya matumizi mabaya ya pesa. MUST ni chuo kikongwe ambacho kilitosha kuwa mbadala wa Mandela ya arusha. "Vyobheni mtikusaligwa ni chyama kyenu ubhwalangani bhwa ccm"

Ughonile Malafyale.
 
Inapotea wapi wakati yupo Sugu wetu acha uchochezi
 
Lugombo Nsesi ?
Lugombo huku Mwaya,Nsesi kule Katumba Songwe!Sehemu mbili tofuti kabisa ehehhe!
Prof Mwandosya hapatani na serikali hii sababu aliwananga kuwa Rais JK alikuja na jina la JPM mfukoni
Sidhani kama tutapewa mradi wowote wa maana kwa miaka hii mitano
Tuvumilie
sio miaka mitano , ni kumi...Mwandosya si alimuambia Magufuli hawezi kuwa mwenyekiti wa CCM kwa sababu hajawahi kuwa kiongozi wa ngazi yoyote ya Chama, wacha aisome namba.
 
Hapo sasa ndio urejelee hoja ya mtoa hoja kuwa kwa namna moja au nyingine Mbeya kwa sasa haina mtetezi tena baada ya Prof kuachana na siasa. Na wananchi haya yote wanayajua mpaka watu wa vijijini. Ndio maana sio ajabu upinzani mbeya unakua kwa kasi kutokana na serikali ya ccm kuifumbia macho mbeya ktk suala la maendeleo.
Mimi napingana na kauli kwamba uwanja wa Songwe ulijengwa sababu ya Mwandosya kuwa Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano. Kulikuwa na sababu za msingi ndio maana hata baada ya kupigwa fitna na Waziri Mkuu, bado ulijengwa na kukamilika. Kwamba ilichukua muda mrefu kukamilika sio suala la msingi.
 
sio miaka mitano , ni kumi...Mwandosya si alimuambia Magufuli hawezi kuwa mwenyekiti wa CCM kwa sababu hajawahi kuwa kiongozi wa ngazi yoyote ya Chama, wacha aisome namba.
Prof Mwandosya ana enjoy maisha yake ktk nyumba yake ya pembezoni mwa Ziwa Nyasa kule Matema
Hata juzi nilimuona,hana shida hata moja
Muda si mrefu Rais JPM atamfuata kuomb asaidiwe
Maana mambo isha anza kumshinda
 
mwandosya katika uongozi wake hakuna cha maana alichofanyia Taifa hakuna mtu anamkumbuka labda huko Mbeya kwa wanyakyusa wenzake ndio wanamkumbuka
 
Lugombo Nsesi ?
Lugombo huku Mwaya,Nsesi kule Katumba Songwe!Sehemu mbili tofuti kabisa ehehhe!
Prof Mwandosya hapatani na serikali hii sababu aliwananga kuwa Rais JK alikuja na jina la JPM mfukoni
Sidhani kama tutapewa mradi wowote wa maana kwa miaka hii mitano
Tuvumilie
Mmejengewa Songwe Airport kazi kwenu kuhakikisha Mbeya inasonga mbele
 
Wanasiasa wengi ni wabinafsi huwa wanaangalia personal interest zao Prof Mwandosya ni mmoja aliyesababisha TTCL kuwa kwenye hali mbaya,kilichomkwamisha kwenye Siasa ni kwamba alikosa timu ya kumsaidia ilikuwa vita ngumu kupambana na kina Sumaye then JK,Lowasa,Sita,Makamba,Kinana,Membe
 
Back
Top Bottom