Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?

Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?

Acheni hizo, lugombo nsesi, masopakyindi na sibonike wote mnatoka hapo mbeya. Mnataka niweke picha zenu e? Just jocking in the realm of truth brothers.
Ikolo,ipande,kilasilo,mwaya wewe ntakutekenya moyo Kyela ni yetu ila ni uozo mtupu wa Dr.wenu mmmmh
 
ni kweli kwenye jimbo lake alipigania barabara ya lami ijengwe kwenda mwakaleli ambayo hadi sasa haijamalizika lakini uhasama aliojenga dhiidi ya rc mwakipesile ulikuwa mkubwa sana kisa kwanini mwakipesile alimpigania thomas awe mnec lakini ikumbukwe mwakipesile na thomas ni ndugu wa damu katika hali ya kawaida lazima angemuunga mkono thomas.kitu nilichjifunza watu hawa wanachuki zisizoisha.lakushangaza mwakipesile mwandosya mwakyembe wanao unasaba
Thomas na Mwakipesile hawana undugu wowote ule.
Na ningeenda mbali zaidi kukutaka utueleze kijiji cha mababu wa Thomas kiko wapi.

Thomas na Mwakipesile walitumika na mtandao wa JK na kwa Mbeya hakufua dafu.
Kwa pamoja na mtandao wanahusika sana kuua ari ya watu kujiunga na CCM.
 
kumbe huwajui kaka
Nimekuuliza swali ndugu yangu. Kuuliza si ujinga, na ukweli utabaki pale pale, tripartite ya Thomas, mtoto wa kigogo wa usalama, Mwakipesile~mkuu wa mkoa wakati huo, na mtandao, hawa waliiua CCM Mkoa wa Mbeya.
 
mbeya nyumbani,watu wa mbeya turudi kuurekebisha mkoa wetu kwa kujenga majumba makubwa ya kutisha! together we can,ingawa sirikali imetutenga!!!!!
 
masopakyindi ,

..mimi sitoki Mbeya.

..kwa hiyo nitazungumzia Mbeya kwa uelewa wangu kama an outsider.

..Nguvu ya Mbeya ipo ktk KILIMO cha mazao kama MPUNGA, KAHAWA, KAKAO, etc.

..Naamini Mbeya imeibuka na wananchi wake kufahamika Tz nzima kutokana na uchapakazi wao na uzalishaji wa mazao hayo niliyoyataja.

..Cha msingi ni kuendeleza sekta hizo na kuhakikisha kuwa zinaboreka siku hadi siku.

..Wanasiasa na miradi ya vitu haiwezi kuwaletea maisha bora. Jifunzeni toka kwa shemeji zenu Wagogo--Malecela ameoa kwenu.

..Wagogo wamelazimishwa maendeleo kwa kupelekewa mji mkuu mwaka 1971 lakini mpaka leo hali zao kiuchumi ni mbaya.

..ni hayo tu.
 
Nimekuuliza swali ndugu yangu. Kuuliza si ujinga, na ukweli utabaki pale pale, tripartite ya Thomas, mtoto wa kigogo wa usalama, Mwakipesile~mkuu wa mkoa wakati huo, na mtandao, hawa waliiua CCM Mkoa wa Mbeya.
Ninakuacha hivyohivyo huwajui unayoelewa ya hudithiwa kaka mengine ni ya kuyaacha kama yalivyo

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kustaafu kwa mwanasiasa mkongwe na nguli katika mkoa huo, kumepelekea mkoa mzima kupooza kabisa. Mwanasiasa huyo aliwaminisha watu wa Mbeya kwa kiasi kikubwa sana kuwa ana uwezo na ni kweli aliweza kuwatumikia wananchi wa mkoa huo kwa nguvu zake zote, aliaminika mnoo!
Amestaafu siasa mkoa mzima umepoa kabisa.

Nasikitika kuona wapinzani hasa CHADEMA kuota mizizi mkoani humo. Wapo viongozi wakongwe mkoani humo ila hawafani kazi Kama Mark Mwandosya, tunakoelekea Mbeya itakua ngome ya upinzani.

Viongozi wa kitaifa ni kama hawaujui vizuri mkoa huo, ukiwasikiliza zaidi wananchi wa huko wanasema eti wameachwa, au wametelekezwa.

Wanadai mikoa ya Kaskazini imependelewa zaidi. Waliotoa malalamiko yao wanatoa mfano kua hata miradi ya nyumba za NHC jijini humo hakuna ili kuufanya mkoa huo kua na mandhali nzuri.

Mbeya na Mark Mwandosya ni Kama wote wanapotea!![/QUresponse sibility

Mtoa mada that is misrepresentation of facts and these are your opinions please do not conclude it as the current general fact for Entire Mbeya region

We respect your right and freedom of speech but it is your responsibility not to be biased
 
masopakyindi ,

..mimi sitoki Mbeya.

..kwa hiyo nitazungumzia Mbeya kwa uelewa wangu kama an outsider.

..Nguvu ya Mbeya ipo ktk KILIMO cha mazao kama MPUNGA, KAHAWA, KAKAO, etc.

..Naamini Mbeya imeibuka na wananchi wake kufahamika Tz nzima kutokana na uchapakazi wao na uzalishaji wa mazao hayo niliyoyataja.

..Cha msingi ni kuendeleza sekta hizo na kuhakikisha kuwa zinaboreka siku hadi siku.

..Wanasiasa na miradi ya vitu haiwezi kuwaletea maisha bora. Jifunzeni toka kwa shemeji zenu Wagogo--Malecela ameoa kwenu.

..Wagogo wamelazimishwa maendeleo kwa kupelekewa mji mkuu mwaka 1971 lakini mpaka leo hali zao kiuchumi ni mbaya.

..ni hayo tu.
Ha ha ha!
Mkuu mzee Malecela kweli alioa kwetu lakini yula mama yetu alitutoka kitambo sasa.
Tatizo liko hapa, miundombinu ni ya kusuasua, ukiondoa barabara ya Tanzam iliyojengwa enzi ya Mwalimu, pamoja na Malawi highway, miradi ya barabara kwa miaka 20 ni ya kusuasua.
Barabara za wilaya za Rungwe na Kyela ni kama hakuna kwa miaka 40 sasa.

Sasa hayo mazao yatapelekwaje kwenye masoko?
Zaidi ya kiwanda cha chai, nacho toka enzi ya Mwalimu, hakuna kiwanda chochote cha kusindika mazao au matunda kutoka mkoa huu wenye mazao lukuki.

Sasa mkuu Jokakuu, hapo wewe utasemaje?
 
1011273_10204474974252892_1059767986913548766_n.jpg
Katika sifa kuu alizokuwa nazo Pofessor Mwandosya ni kujiamini (confidence). Unaweza kuliona hilo katika picha kutokana na jinsi anavyoongea mbele ya Nyerere. Ame relax, anajiamini wakati viongozi wengine hadi wamesimama kama wanajeshi kwa woga!

Ni Prof Mwandosya peke yake hapa nchini aliweza kukabiliana kwa kujiamini na Uingereza juu ya suala la kashfa ya rada, na pia kumweka sawa Kagame wakati wa msukosuko wake na Kikwete. Hata Trump asingekuwa na kitu cha kusema mbele ya Mwandosya. Clinton yeye alikiri kwa Mkapa kwamba hakuna mtu kama Mwandosya Tanzania. Mwandosya alivyoshughulika na Magufuli wakati wa suala la boti ziendazo kasi kupelekwa ziwa Victoria iliacha viongozi wengine wakichekea pembeni kwa jinsi alivoshughulika na hiyo changamoto toka kwa waziri mwenzake. Kikwete alipougundua uwezo wa Mwandosya alimtumia sana katika awamu ya pili ya uongozi wake, akimwahidi mengi na makubwa kumbe alikuwa anamwingiza mjini! Kosa kubwa sana alilofanya Mwandosya ni kumwamini Kikwete na ahadi zake.

Na dogo sana katika makubwa sana aliyonayo Mwandosya ni kwamba anaifahamu barabara lugha ya Kiingereza, akiongea unapenda umsikilize!
 
..bila shaka miundombinu ni muhimu kwa maendeleo ya wananchi.

..lakini mimi kwa maoni yangu Mbeya tayari msingi mnao.

..Na msingi wenyewe ni hayo mazao
ya biashara, uchapa kazi, na entrepreneurial spirit.

..Sasa msingi ukishawekwa hata aje mbunge mzembe-mzembe bado wananchi can take care of themselves.

NB.

..Mama Malecela alikuwa jembe kwelikweli. Nakumbuka alikwenda kusoma chuo kikuu akiwa mtu mzima.
 
Katika sifa kuu alizokuwa nazo Pofessor Mwandosya ni kujiamini (confidence). Unaweza kuliona hilo katika picha kutokana na jinsi anavyoongea mbele ya Nyerere. Ame relax, anajiamini wakati viongozi wengine hadi wamesimama kama wanajeshi kwa woga!

Ni Prof Mwandosya peke yake hapa nchini aliweza kukabiliana kwa kujiamini na Uingereza juu ya suala la kashfa ya rada, na pia kumweka sawa Kagame wakati wa msukosuko wake na Kikwete. Hata Trump asingekuwa na kitu cha kusema mbele ya Mwandosya. Clinton yeye alikiri kwa Mkapa kwamba hakuna mtu kama Mwandosya Tanzania. Mwandosya alivyoshughulika na Magufuli wakati wa suala la boti ziendazo kasi kupelekwa ziwa Victoria iliacha viongozi wengine wakichekea pembeni kwa jinsi alivoshughulika na hiyo changamoto toka kwa waziri mwenzake. Kikwete alipougundua uwezo wa Mwandosya alimtumia sana katika awamu ya pili ya uongozi wake, akimwahidi mengi na makubwa kumbe alikuwa anamwingiza mjini! Kosa kubwa sana alilofanya Mwandosya ni kumwamini Kikwete na ahadi zake.

Na dogo sana katika makubwa sana aliyonayo Mwandosya ni kwamba anaifahamu barabara lugha ya Kiingereza, akiongea unapenda umsikilize!
JK na Mwandosya waligombana siku nyingi sana kipindi JK akiwa Waziri &Mwandosya akiwa Katibu Mkuu wake kitendo cha JK kumteua Mwandosya ilikuwa ni mbinu za kumdhibiti na JK na team yake walifanikiwa sana kwenye hilo

Mwandosya alimfanya Nini Kibaya Jk ,Hatokisahau[source:hotuba ya JK -UWT]
 
Achia tu hao wapinzani wapindue sugu ataung'arisha kama walivyoona inafaa na kwetu pia inafaa tu!kwani mby nini bana.
 
Ha ha ha!
Mkuu mzee Malecela kweli alioa kwetu lakini yula mama yetu alitutoka kitambo sasa.
Tatizo liko hapa, miundombinu ni ya kusuasua, ukiondoa barabara ya Tanzam iliyojengwa enzi ya Mwalimu, pamoja na Malawi highway, miradi ya barabara kwa miaka 20 ni ya kusuasua.
Barabara za wilaya za Rungwe na Kyela ni kama hakuna kwa miaka 40 sasa.

Sasa hayo mazao yatapelekwaje kwenye masoko?
Zaidi ya kiwanda cha chai, nacho toka enzi ya Mwalimu, hakuna kiwanda chochote cha kusindika mazao au matunda kutoka mkoa huu wenye mazao lukuki.

Sasa mkuu Jokakuu, hapo wewe utasemaje?
hicho kiwanda cha chai nasikiwa wananchi wanauza bei ya aibu sana. nilikuwa naongea nao mwaka jana wanasema sema Tanga wanauza mara mbili yao na Kenya kama 3x. inatakiwa vipatikane viwanda vya chai,cocoa na kahawa ambavyo vitatoa brand kama Africafe hapo ndiyo kilimo kitakuwa na tija. kwenye mpunga watu wamejitahidi sana. Badala ya kumlilia Mwandosya tushauri wabunge waungane kutetea maslahi ya mkoa. labda kwa umoja wao wanaweza fika influence ya Mwandosya.
 
Back
Top Bottom