Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?

Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?

Mkuu acha kufeli,mchizi alipata 5.0GPA undergrad pale FoE akaenda Birmingham,peleka wazungu to the end akapata uprofessor at very young age,he was the youngest electrical professor ever...

Dogo alikua hafai kabisa hata kwa kuchomelea....tumepita FoE tunamjua sana...dogo alikua genius Luhanga anasubiri sana...Luhanga alipita stages one by one,Mark aliruka ujinga wote,na marks zake were perfect scores....
tatizo talanta yake na elimu yake ameshindwa kusaidia Taifa lake inasikitisha sana hakumbukwi kwa lolote lile so sad.
 
nafikiri mjinga ni wewe uliyedhani utaendelea kupiga dili kwa vile una kadi ya ccm,sasa hivi unaisoma namba huishi kukosoa lakini kwa watu kama sisi tunaotunza kumbukumbu hutotupata na unafiki wako wa kukosoa utawala huu(haimaanishi naunga mkono baadhi ya matendo ya awamu hii)..usirudie kuleta ujinga wako humu sababu bado tuna kumbukumbu za upuuzi wako wa kutetea kila kitu cha magamba ukiwa unapiga dili..
Mkuu kama unafikiri napiga dili basi unakunywa maji ya kuoshea nguo za ndani.
Na umeshalewa!
 
nafikiri mjinga ni wewe uliyedhani utaendelea kupiga dili kwa vile una kadi ya ccm,sasa hivi unaisoma namba huishi kukosoa lakini kwa watu kama sisi tunaotunza kumbukumbu hutotupata na unafiki wako wa kukosoa utawala huu(haimaanishi naunga mkono baadhi ya matendo ya awamu hii)..usirudie kuleta ujinga wako humu sababu bado tuna kumbukumbu za upuuzi wako wa kutetea kila kitu cha magamba ukiwa unapiga dili..
Mijitu mingine bwana!
Hivi mnaagizwa kuchamba mtandaoni au?
Vihela vidogo mnavyopewa mnakuwa kama makuwadi.
A perfectly good debate mnaingiza yenu.
Jitu lenyewe umekaa kama ,ah basi tu.
 
DUBULIHASA said:
HUYO MJINGA ASITUAMBIE KITU MKUU MM PALE LUFILYO NIMESOMA ADVANCE SHULE AMBAYO IMEJENGWA JIRAN NA NYUMBAN KWA MWANDOSYA KWA HIYO HAWA WAJINGA WASIJEDHAN SISI TUNAOKOTEZA HAPA WATUACHIE MBEYA HAIWAHUSU SHENZ ZAO
Jamani kwani Mbeya yenu imefanywa kitu gani mpaka muanze kuporomosheana matusi kiasi hicho? What is so special kwamba hamtaki watu waitaje mbeya? Kwani Mbeya ina tofauti gani na sehemu zingine katika nchi hii? Kwani Mbeya iko wapi? Si ni hapa hapa Tz kama zilivyo Lindi, Mara, Kigoma, Singida, Lukwa etc.
 
Mijitu mingine bwana!
Hivi mnaagizwa kuchamba mtandaoni au?
Vihela vidogo mnavyopewa mnakuwa kama makuwadi.
A perfectly good debate mnaingiza yenu.
Jitu lenyewe umekaa kama ,ah basi tu.
Buku 7 za lumumba umeamua kununulia viroba na kuja kutapika humu..jinga kabisa wewe!!! sina bei mimi wewe bwege,fuatilia mijadala yangu tokea miaka saba iliyopita..
 
Buku 7 za lumumba umeamua kununulia viroba na kuja kutapika humu..jinga kabisa wewe!!! sina bei mimi wewe bwege,fuatilia mijadala yangu tokea miaka saba iliyopita..
Kwa posti zako bei isha fika.
Jamaa hapo juu kasema wazi, wanywa maji ya kuoshea nguo za ndani za kina Mbowe and co.
Ukitoacho ndicho ulichokunywa!
 
Wewe unijua mbeya au umendika habari za kuhadithiwa maana yake habari yote ya mwandosya na sifa ulizompa si za kweli.kama umelipwa kumtakasa huyo bwana umepitwa na wakati
Umeahidiwa nini ndugu.
Bado hujajieleza kikamilifu.
 
Kwa posti zako bei isha fika.
Jamaa hapo juu kasema wazi, wanywa maji ya kuoshea nguo za ndani za kina Mbowe and co.
Ukitoacho ndicho ulichokunywa!
Mkuu achana naye huyo kikaragosi wa bavicha.
Hawajui watokako wala wanakokwenda.
Na tatizo kubwa la bavicha watokao Mbeya na Sugu wao ninkuyoelewa kuwa kati ya Mawaziri Wakuu walioididimiza kimaenndeleo ni Lowasa na Sumaye ambso sasa wako CHADEMA.
Miradi mingi ya maendeleo waliiminya pesa kwa makusudi na kuzielekeza pesa Arusha.
Mungu pishilia mbali wakiwa karibu na madaraka ndo wataumaliza mkoa kabisa.
 
wapuuzi nyie wala hamkai mbeya ingawa kwenu mwa asili
 
wapuuzi nyie wala hamkai mbeya ingawa kwenu mwa asili
Mpuuzi wewe na aliyekutuma kubwekea mti usioujua.
Lowasa na Sumaye wanatafuta wanachama Mbeya wakati waliondoa mafungu ya maendeleo katika mkoa na kupeleka Arusha.
Kiuhalisia mpuuzi nani ati?
 
Sijaona mchango wake wowote..amesaidia nn mby..kwake Barbara mbivu toka mjerumani?? Nadhani Sungu ndiye mbunge anaefanya vzr kwani mabadiliko yanaenda kwa kasi jijini japo figisu anafanyiwa nyingi..
Mark anahekima lkn muoga..sijaona kiongozi wanao paza sauti kusaidia mby paradiso ya Tz
 
Hoja yako imepotezwa na ubaguzi wako wa kikanda na kidini. Kwa taarifa yako Mimi naishi na kufanya kazi wilaya ya Magu. Kwa kilichotokea uchaguzi wa 2015 mikoa yenu ya usukumani hakipishani na chuki uijengayo hapa. Bukoba na Mara kwani sio kanda ya Ziwa? Mbona walichagua upinzani kwa kishindo?

Ktk mikoa ambayo wapiga kura ni duni kifikra(hasa elimu ya uraia) ni hiyo mikoa uliyoitaja. Vibiriti, Chumvi ndio vilikua bora kwenu. CCM kwangu sina imani nayo hata kidogo and napigia chapuo Mbeya upinzani uchaguliwe ili serikali yenu itambue.

Tangu enzi za Nyerere serikali imekua ikiitenda mbeya isivyo. Rejea Nyerere kumuweka John Mwakangale(Mungu amrehemu) ambaye shule ilikua tatizo almradi tu afanikishe malengo yake kisiasa. Njoo kwa kwa Kikwete na picha yake na John Mwakipesile utaelewa.

Mbeya watu wake hata wawe duni kiasi gani visasi wanajua kuvifuga na hawasahau. Huyu bwana wa Ss no wonder siku akienda huko labda afanye makubwa yatayowapooza watu dhidi ya kutengwa na serrikali watamuelewa.
Hawa watu wa kanda ya ziwa ni watu wa ajabu Sana. Mwaka 2015 wakati wa kampeni, wanawake waliletewa nguo za ndani zenye chapa ya ccm, waliona kitu cha ajabu Sana.
Cha pili, walivoona anaegombea urais ni mtu wa kwao wakasahau matatizo yote ya miaka 50 iliyopita.
 
Mi hapo sijaona cha ajabu. Labda ungenitajia patents zake ndo ningeona maajabu. Uprofessor wa science and technology ni products na patents, sio sifa za kusema nilikuwa wa kwanza darasani.

Hiyo ndo tofauti ya MIT na vyuo vingine .

Mkuu acha stori...kutengeneza theory inayoweza msaidia mtu kudevelop product na kupata patent sio kitu cha ki.se.nge wewee..

Check theories alizo generate Mwandosya kwenye studies zake...patents tu ndio usomi?Nigga pleaseee....
 
Kwenye taaluma ya chuo kikuu, kipimo kimehama kutoka theory kwenda products. Ni hatua ya mbele zaidi. An average professor will boast about his papers, a prominent one will talk about the way his work has changed people's lives. Patents, patents, patents. By the way, huwezi kuwa prof bila kudevelop theories. So every prof does that, nothing special.
 
Profesa mzima tena wa Engineering kweli anakuwa mwanasiasa?
Ndiyo ajira adhimu Tanzania. Angalia jinsi Prof. Tibaijuka alivyokomaa na siasa za CCM pamoja na vipondo vyote lakini yumo tu. Ni kama vile kuna juju fulani hivi kwenye fani hiyo. Inashangaza sana.
 
Back
Top Bottom