Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?

Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?

Asante kwa masahihisho, nilichanganya data.
Nilifika Itete Hosp, kwenda na kurudi ikawa kama km 100 hivi.
Kwao Mwandosya niliambiwa ni karibu tu na ha.po
Saws kabisa. Tukuyu hadi Itete Mission Hospital ni 45 Km. Toka hapo hadi Lufilyo kati ya 5 hadi 7
 
Wewe unijua mbeya au umendika habari za kuhadithiwa maana yake habari yote ya mwandosya na sifa ulizompa si za kweli.kama umelipwa kumtakasa huyo bwana umepitwa na wakati
Mvheza kwao hutuzwa.
Kama wewe mkuu un habari tofauti mwaga hadharani.
Msema kweli mpenzi wa Mungu.
 
Wewe unijua mbeya au umendika habari za kuhadithiwa maana yake habari yote ya mwandosya na sifa ulizompa si za kweli.kama umelipwa kumtakasa huyo bwana umepitwa na wakati
Mbeya naijua kuliko MTU yeyote yule, nimezaliwa Kyela - Mbeya nimesoma lyunga, badae lfunda na UDSM.
Acheni siasa Uchwara, tunapoitetea Mbeya ni yetu sisi.

Inauma sana kuna tuko nyuma Kisiasa, kijamii na Kiuchumi.
Sasa zenu hizo chafu hazitusaidii sisi.
CCM na makada wake wameivuruga Mbeya.

Mwakyembe aliaminika sana, Leo hii amelitelekeza jimbo la Kyela, Wilaya mzima inatimka vumbi, achilia mbali barabara inayoenda ltungi Port iliyojengwa na Nyerere.

Acheni siasa UCHWARA tunaumia
 
Prof. Mwandosya alimsaidia Jakaya kuwa Rais 2005.

Kwny Tano Bora ya CCM 2005 walikuwa;

1) Jakaya Kikwete
2) Dr. Salim Ahmed Salim
3) Prof Mark Mwandosya
4) Fredrick Sumaye
5) Dr. Abdaalah Kigoda

No. 4 na 5 walitolewa wakabaki no. 1-3

Fredrick Sumaye kwa chuki Yake ya Kina Kikwete na Lowassa akaanzisha Figusu kwa kumshawishi Mwandosya ajitoe na Nguvu zake amsapoti Dr. Salim ili Kikwete ashindwe kwa kuwa watakuwa wameunganisha Nguvu.

Kikwete kwa Ujanja wake akatengeneza urafiki wa haraka na Mwenyekt wa Kampeni za Mwandosya Dr. Mwakyembe ili amshawishi Mwandosya asijitoe ili kutompa Nguvu Dr. Salim kwani Mchezo huo ulifanyika 1995 baada ya Cleopa Msuya kutolewa kwny 3 bora aliombwa na Mwl Nyerere ampe Nguvu Mkapa ili wamshinde Kikwete na wakafanikiwa hilo sasa this Time Jakaya na Kundi lake walijipanga na hatimae Mwandosya akakubali kuingia kwny Kinyang'anyiro na hapo Jk akashinda round ya kwanza bila ya kura kurudiwa

Baada ya Jk kuwa Rais 2005 Mwakyembe na Mzee Sitta wakapewa Kazi ya Siri ya kusafisha Mafisadi wa Mtandao na ndipo UKAWA Mwisho wa Rostam Azizi, Nazir Karamagi, Andrew Chenge na Edward Lowassa kwny Serikal ya Jk waliyoipigania kwa Miaka 10 (1995-2005).

Chadema nao bila ya Kujijua wakasaidia jitihada za kusafisha Serikal ya Jk kwa kuzunguka Nchi Nzima kutangaza Ufisadi wa kina Ngoyai na kuwakumbatia kina Sita na Dr. Mwakyembe wakidhan ni Maadui wa Jk.

Prof Mwandosya nae akadhan Ndie kaandaliwa na Jk kuwa Rais kwa kuwa hata alipokuwa Mgonjwa Mahututi alipewa Uwaziri usio na Wizara Maalum lengo kuwazuga watu wadhani ndie Kaandaliw kuwa Rais

Mapumziko Mema Prof Nguli Mark Mwandosya!
 
Kwani kuwa mwanasiasa unastahili uwe na fani ipi?
Sanaaa mkuu, Wanasayansi hatufai kabisa kuongoza Watu ndio mana inaona mkuu sizonje ana kwamakwama, Albert Einstein alipewa offer ya kuliongoza Taifa la Marekani lakini alikataa
 
Prof. Mwandosya alimsaidia Jakaya kuwa Rais 2005.

Kwny Tano Bora ya CCM 2005 walikuwa;

1) Jakaya Kikwete
2) Dr. Salim Ahmed Salim
3) Prof Mark Mwandosya
4) Fredrick Sumaye
5) Dr. Abdaalah Kigoda

No. 4 na 5 walitolewa wakabaki no. 1-3

Fredrick Sumaye kwa chuki Yake ya Kina Kikwete na Lowassa akaanzisha Figusu kwa kumshawishi Mwandosya ajitoe na Nguvu zake amsapoti Dr. Salim ili Kikwete ashindwe kwa kuwa watakuwa wameunganisha Nguvu.

Kikwete kwa Ujanja wake akatengeneza urafiki wa haraka na Mwenyekt wa Kampeni za Mwandosya Dr. Mwakyembe ili amshawishi Mwandosya asijitoe ili kutompa Nguvu Dr. Salim kwani Mchezo huo ulifanyika 1995 baada ya Cleopa Msuya kutolewa kwny 3 bora aliombwa na Mwl Nyerere ampe Nguvu Mkapa ili wamshinde Kikwete na wakafanikiwa hilo sasa this Time Jakaya na Kundi lake walijipanga na hatimae Mwandosya akakubali kuingia kwny Kinyang'anyiro na hapo Jk akashinda round ya kwanza bila ya kura kurudiwa

Baada ya Jk kuwa Rais 2005 Mwakyembe na Mzee Sitta wakapewa Kazi ya Siri ya kusafisha Mafisadi wa Mtandao na ndipo UKAWA Mwisho wa Rostam Azizi, Nazir Karamagi, Andrew Chenge na Edward Lowassa kwny Serikal ya Jk waliyoipigania kwa Miaka 10 (1995-2005).

Chadema nao bila ya Kujijua wakasaidia jitihada za kusafisha Serikal ya Jk na kuwakumbatia kina Sita na Dr. Mwakyembe wakidhan ni Maadui wa Jk.

Mapumziko Mema Prof Nguli Mark Mwandosya!
Kumbe utaratibu ni huu, mbona wao wanaingia na majina mfukoni ya wagombea
 
Kumbe utaratibu ni huu, mbona wao wanaingia na majina mfukoni ya wagombea

Ni utaratibu Mzuri ndio maana hata Mbowe kaiga style hiyo kwa kuingia na Jina la Mchungaji Msigwa Mfukoni kule Nyanda za Juu kwny Uchaguzi ngazi ya Chama hivi karibuni
 
Naomba kuwatambua hao walioko kwenye picha na nyerere na mwandosya wengine ni kina nani?
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Kustaafu kwa mwanasiasa mkongwe na nguli katika mkoa huo, kumepelekea mkoa mzima kupooza kabisa. Mwanasiasa huyo aliwaminisha watu wa Mbeya kwa kiasi kikubwa sana kuwa ana uwezo na ni kweli aliweza kuwatumikia wananchi wa mkoa huo kwa nguvu zake zote, aliaminika mnoo!
Amestaafu siasa mkoa mzima umepoa kabisa.

Nasikitika kuona wapinzani hasa CHADEMA kuota mizizi mkoani humo. Wapo viongozi wakongwe mkoani humo ila hawafani kazi Kama Mark Mwandosya, tunakoelekea Mbeya itakua ngome ya upinzani.

Viongozi wa kitaifa ni kama hawaujui vizuri mkoa huo, ukiwasikiliza zaidi wananchi wa huko wanasema eti wameachwa, au wametelekezwa.

Wanadai mikoa ya Kaskazini imependelewa zaidi. Waliotoa malalamiko yao wanatoa mfano kua hata miradi ya nyumba za NHC jijini humo hakuna ili kuufanya mkoa huo kua na mandhali nzuri.

Mbeya na Mark Mwandosya ni Kama wote wanapotea!!
Nimekudharau baada ya kusikitishwa na umwamba wa chadema Mbeya , hivi chama chenu kimewadanganya kwa zaidi ya nusu karne bado hamjatosheka tu ?
 
Akina Mwakyembe wako wapi sasa?
Wangesaidia kazi za Mzee Mwandosya

Ni Kama nao hawapo huko, wakati furani walivuma sanaa
Mwakyembe!? Hapana. Ni mchumia tumbo. Prof. Mwandosya is a mountain, Dr. Mwakyembe a mole
Ni utaratibu Mzuri ndio maana hata Mbowe kaiga style hiyo kwa kuingia na Jina la Mchungaji Msigwa Mfukoni kule Nyanda za Juu kwny Uchaguzi ngazi ya Chama hivi karibuni
Hoja yako ni dhaifu. Kwani Mbowe akifanya kitu ndiyo inakuwa precedence.
Kosa halihalalisha kosa.
 
Mwakyembe!? Hapana. Ni mchumia tumbo. Prof. Mwandosya is a mountain, Dr. Mwakyembe a mole

Hoja yako ni dhaifu. Kwani Mbowe akifanya kitu ndiyo inakuwa precedence.
Kosa halihalalisha kosa.

Pole bana! Pia kosa haliwi kosa kwa kuwa tu fulani alikatwa au Alilalamika!

Huyu huyu Mwakyembe ndie mlikuwa mnashinda kumsifia. Tatizo lenu reference ya kujua Mwanasiasa bora na Dhaifu ni Mahusiano yake na Jk, Mkidhan hapatani na Jk anakuwa bora na mkiona terms na Jk ziko Poa anakuwa Mbaya. Rejea ya Lowassa na Sitta
 
Nasikitika kuona wapinzani hasa CHADEMA kuota mizizi mkoani humo. Wapo viongozi wakongwe mkoani humo ila hawafani kazi Kama Mark Mwandosya, tunakoelekea Mbeya itakua ngome ya upinzani.
Kwa hiyo hutaki chama chako chadema kiote mizizi mbeya,ulitaka Mwandosya aishi kwenye siasa milele
 
Songwe kujengwa ni kwa sababu ya strategic reasons, kufungua mikoa ya nyanda za juu kusini ili kupata fursa za SADC na wale tuliowasaidia wakat wa harakati za ukombozi. Ni makosa kuamin uwanja ulijengwa kwakuwa Mwandosya alikuwa uchukuzi na mawasiliano. Umewahi kusikia kuhusu Mtwara corridor? Ilikuwaje mwanataaluma asiye na mizizi kwenye chama kushika nafasi ya tatu mwaka 2005 nyuma ya Kikwete na Salimu? Hapo kuna jibu la kwann uwanja wa songwe.
Hujui siasa zilizokuwepo. Unaeleza kishule zaidi kuliko uhalisia uliokuwepo.
 
Asante kwa masahihisho, nilichanganya data.
Nilifika Itete Hosp, kwenda na kurudi ikawa kama km 100 hivi.
Kwao Mwandosya niliambiwa ni karibu tu na ha.po
Acheni hizo, lugombo nsesi, masopakyindi na sibonike wote mnatoka hapo mbeya. Mnataka niweke picha zenu e? Just jocking in the realm of truth brothers.
 
Pole bana! Pia kosa haliwi kosa kwa kuwa tu fulani alikatwa!

Huyu huyu Mwakyembe ndie mlikuwa mnashinda kumsifia. Tatizo lenu reference ya kujua Mwanasiasa bora na Dhaifu ni Mahusiano yake na Jk, Mkidhan hapatani na Jk anakuwa bora na mkiona terms na Jk ziko Poa anakuwa Mbaya. Rejea ya Lowassa na Sitta
Mimi sikuwahi kumsifu Mwakyembe kwa kila alichofanya.
Kama kipindi cha Kikwete alifanya baadhi ya mambo vizuri watu walikuwa na haki ya kumsifu.
Hakika sasa hivi sijaona nimsifu kwa lipi.
 
Mbeya naijua kuliko MTU yeyote yule, nimezaliwa Kyela - Mbeya nimesoma lyunga, badae lfunda na UDSM.
Acheni siasa Uchwara, tunapoitetea Mbeya ni yetu sisi.

Inauma sana kuna tuko nyuma Kisiasa, kijamii na Kiuchumi.
Sasa zenu hizo chafu hazitusaidii sisi.
CCM na makada wake wameivuruga Mbeya.

Mwakyembe aliaminika sana, Leo hii amelitelekeza jimbo la Kyela, Wilaya mzima inatimka vumbi, achilia mbali barabara inayoenda ltungi Port iliyojengwa na Nyerere.

Acheni siasa UCHWARA tunaumia
HUYO MJINGA ASITUAMBIE KITU MKUU MM PALE LUFILYO NIMESOMA ADVANCE SHULE AMBAYO IMEJENGWA JIRAN NA NYUMBAN KWA MWANDOSYA KWA HIYO HAWA WAJINGA WASIJEDHAN SISI TUNAOKOTEZA HAPA WATUACHIE MBEYA HAIWAHUSU SHENZ ZAO
 
Mbeya naijua kuliko MTU yeyote yule, nimezaliwa Kyela - Mbeya nimesoma lyunga, badae lfunda na UDSM.
Acheni siasa Uchwara, tunapoitetea Mbeya ni yetu sisi.

Inauma sana kuna tuko nyuma Kisiasa, kijamii na Kiuchumi.
Sasa zenu hizo chafu hazitusaidii sisi.
CCM na makada wake wameivuruga Mbeya.

Mwakyembe aliaminika sana, Leo hii amelitelekeza jimbo la Kyela, Wilaya mzima inatimka vumbi, achilia mbali barabara inayoenda ltungi Port iliyojengwa na Nyerere.

Acheni siasa UCHWARA tunaumia
tatizo wanyakyusa majivuno mengi hela mfukoni hamna.....mnyakyusa akiwa na elfu kumi hayo matambo utafikiri ana milioni
 
Back
Top Bottom