Mbeya Full upako

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Kweli Mbeya kuna upako Mwakasege katokea mbeya,Lusekelo mbeya,Bukuku mbeya,Ambwene mbeya,mwaitege mbeya,mwakyembe hukohuko,babu Ambilikile nae mbeya.Sasa sijui na Yesu nae atakaporudi atafikia Mbeya.
TAFAKARI!!! Representing to the fullest.
 
MBEYA UNITY...... ukabila kwenye maofisi MBEYA (BIMA-NIC) NA NDIO WALIOUA SHIRIKA LA BIMA.....NA NGONYA WA SIMBA AKAMUWEKA MOSES MKANDAWILE GOLINI TUKAISHIA KUBAMIZWA MIBAO TU
 
Hongera wana Mbeya kwa kuwa na wahubiri wengi. Ila mbona imani za kichawi nazo zimeenea sana huko, inatia wasi wasi kama hawa wahibiri nao sio ndo wale wale. Na huyu Mzee wa upako, kama msanii vile!
 
MBEYA UNITY...... ukabila kwenye maofisi MBEYA (BIMA-NIC) NA NDIO WALIOUA SHIRIKA LA BIMA.....NA NGONYA WA SIMBA AKAMUWEKA MOSES MKANDAWILE GOLINI TUKAISHIA KUBAMIZWA MIBAO TU
Na simba iliyobamizwa na Mazembe ni Ngonya? watu wengine bana?
 
Na simba iliyobamizwa na Mazembe ni Ngonya? watu wengine bana?
TUTAWAJUA MMOJA BAADA YA MWINGINE....imetajwa MAZEMBE HAPA KAKA.....? MBEYA HAMNA TOFAUTI NA WAHAYA....!
WAHAYA WANAJIITA WAGANDA WAKATI NYIE MNAJIITA WAZAMBIA....! KUNA MWENZAKO HAPO JUU .......! KWENYE AJIRA MAKAZINI NA KUTAFUTIANA POSTI MAKAZINI NDO USISEME....MBEYA BWANA.....!
 
Nasikia Mbeya ndo mkoa unaoongoza kwa madhehebu kuna mwaka yalifika 250.
Alafu wimbo wa dini bila kuweka kinyaki yaani bado hawajaimba.
Naendelea kutafakari haya mambo ya mbeyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kweli Mbeya kuna upako Mwakasege katokea mbeya,Lusekelo mbeya,Bukuku mbeya,Ambwene mbeya,mwaitege mbeya,mwakyembe hukohuko,babu Ambilikile nae mbeya.Sasa sijui na Yesu nae atakaporudi atafikia Mbeya.
TAFAKARI!!! Representing to the fullest.
Ukija kwenye RAP na BONGO FLEVA:
1.Ambwene Yesaya aka AY,...MBEYa
2.MR SUGU,
3.King Crazy-Gwamaka Kaihura
...........
...........
.........
 
MBEYA UNITY...... ukabila kwenye maofisi MBEYA (BIMA-NIC) NA NDIO WALIOUA SHIRIKA LA BIMA.....NA NGONYA WA SIMBA AKAMUWEKA MOSES MKANDAWILE GOLINI TUKAISHIA KUBAMIZWA MIBAO TU

Tukianza kujaji matukio kwa ukabila, tutaishia pabaya. This is not a good post from you! Aliyeanzisha thread hakuwa na mtizamo wako. Inaelekea unaukabila sana na inawezekana unawachukia hao watokao MBEYA!
 
Ukija maswala ya vivutio vya utalii kuna jiwe la ajabu lililodondoka toka mbinguni lipo mbeya wilayani mbozi eneo la ndolezi.
 
Huu ni ukabila full. Jamani tukiendeleza hili kuna hatali kubwa huko mbele. Utaanza ww kisha utarithisha na watoto wako, kitakachotokea baadae ni kuwa na jamii inayochukia jamii nyingine ndani ya nchi moja. Tafadhali tujadili kama thread ilivyonza na siyo kuanza na ukabila.
 
kweli kuna mambo mengi mazuri kwenye mkoa wa mbeya ila umesahaulika,hamna utalii wa maana..............
 
Back
Top Bottom