Mbeya Full upako

Kuna mchungaj mwingine maarufu now maeneo ya sae tanesco ukiwa unaelekea pipeline anaitwa Mch.MPANJI mambo yake ka babu wa Loliondo
 
Kweli Mbeya kuna upako Mwakasege katokea mbeya,Lusekelo mbeya,Bukuku mbeya,Ambwene mbeya,mwaitege mbeya,mwakyembe hukohuko,babu Ambilikile nae mbeya.Sasa sijui na Yesu nae atakaporudi atafikia Mbeya.
TAFAKARI!!! Representing to the fullest.

Mkoa wa Mbeya ni Lango la Injili Tanzania.
Kama ulifatilia somo la Malango alililofundisha Mwakasege mwaka juzi kama sijakosea,
utakuwa unajua maana ya Malango, aina ya malango, na kwa nini malango.
Kwa sababu hiyo basi, Mbeya ni Lango la Injili Tanzania, ndio maana hata wokovu umeenea sana huko. Ingawa penye Neema ya Mungu na shetani naye anajenga kambi kwa sana.
 
Mshiki hapo kwenye RED umetumia vigezo gani?
 
Ukija kwenye RAP na BONGO FLEVA:
1.Ambwene Yesaya aka AY,...MBEYa
2.MR SUGU,
3.King Crazy-Gwamaka Kaihura
...........
...........
.........

Sugu mngoni wa Songea aliyezaliwa Mbeya na kukua mbeya si mnyakyusa wa Mbeya.
King Crazy G K si mnyakyusa ni mhaya mwenye mama wa kinyakyusa
Ambwene Yesaya mnyakyusa asiyejua mila na desturi za Mbeya baba yake alikuwa mnyakyusa lakini yeye kakulia Dodoma
 
Mbeya inaongoza kwa makanisa afrika mashariki na kitongoji kinachoongoza ni SIMIKE.
Pia SIMIKE inaongoza kwa mambo ya kishirikina.
Hii post pia inaonyesha ni kwa jinsi gani makabila fulani fulani yana ukabila pindi wanapopata nafasi mfano kwa mtoa post huwezi mtofautisha na wanyakyusa wale walioweka tangazo la HAKUNA KAZI na chini yake wakaweka IMBOMBO JILIPO ikiwa na maana kazi ipo. Enzi za mwango'nda hizo pale NIC
 
Ukija kwenye RAP na BONGO FLEVA:
1.Ambwene Yesaya aka AY,...MBEYa
2.MR SUGU,
3.King Crazy-Gwamaka Kaihura
...........
...........
.........
Mbona Whaya mabaya yote yanapitia kwao? Idd Amin, Ukimwi,Ebola na mambo kibao, mpakani kuna mambo mengi ndiyo maana hata miti iliyo karibu na barabara ndiyo yenye makovu ya kukatwa mapanga! Ila
Ukweli mzuri sana mema wasifieni Wanyakyusa na mabaya pia waambiwe wajirekebishe, ila wanajitahidi na ni wasomi pia, na mbeya hawakai Wanyakyusa tu! Na tuelewe tu mti wenye matunda ndio upigwao mawe! UKIONA SHETANI HAKUFUATI SANA NA KUKUSUMBUA JUA WEWE NI RAFIKI YAKE! Ufalme mmoja haupingani labda uwe umefitinika kama CCM!
 
wanaloga wanaume zao.

Umejaribu kuoa huko wewe? Maana inawezekana wnaume ndo wenye ushirikina wanapokutana na wanawake waombaji mapepo yanalipuka wanasema wamelogwa! Tafiti kwanza mpendwa usituharibie soko la dada zetu.
 
Mshiki hapo kwenye RED umetumia vigezo gani?

Siwezi kusema nina vigezo kivileeeeeeeee kaka, kwa sababu wokovu ni uhusiano wa mtu binafsi na Mungu wake.
Ila ukiangalia kwa haraka haraka kiwango cha kuhubiriwa wokovu ni mkubwa Mbeya kuliko hata kule kwetu naniliu.
Na nahisi ndio chanzo cha kuanzishwa makinasa mengi. Ila kaka tusisahau pia wokovu nao umeshaharibiwa,
sasa. Imebakia siri ya mtu na Mungu wake tu. Sio kama kipindi kile mlokole akipita mahali watu wanashtuka, MLOKOLE HUYO.
 
Tukianza kujaji matukio kwa ukabila, tutaishia pabaya. This is not a good post from you! Aliyeanzisha thread hakuwa na mtizamo wako. Inaelekea unaukabila sana na inawezekana unawachukia hao watokao MBEYA!

Umenena Ndg, maana kila kabila lina mambo yake mazuri na mabaya, mf, huku Kaskazini kuna makabila ukioa inabidi iwe siri yako maana ukitaja tu, hata salam hupati tena japo wao wanaongoza kwa kuwa wazuri wa uso na mambo flani. Na inawezekana mchangiaji akitaja kabila lake wana JF watatetemeka macho na masikio kuwasha.
 
Mkoa wa Mbeya ni Lango la Injili Tanzania.
Kama ulifatilia somo la Malango alililofundisha Mwakasege mwaka juzi kama sijakosea,
utakuwa unajua maana ya Malango, aina ya malango, na kwa nini malango.
Kwa sababu hiyo basi, Mbeya ni Lango la Injili Tanzania, ndio maana hata wokovu umeenea sana huko. Ingawa penye Neema ya Mungu na shetani naye anajenga kambi kwa sana.

uko saw kabisa ndg!!
 
Sugu mngoni wa Songea aliyezaliwa Mbeya na kukua mbeya si mnyakyusa wa Mbeya.
King Crazy G K si mnyakyusa ni mhaya mwenye mama wa kinyakyusa
Ambwene Yesaya mnyakyusa asiyejua mila na desturi za Mbeya baba yake alikuwa mnyakyusa lakini yeye kakulia Dodoma

Kwa hiyo unataka kutuambiaje? Mwkasege,Mwakyembe nao!
 
Siwezi kusema nina vigezo kivileeeeeeeee kaka, kwa sababu wokovu ni uhusiano wa mtu binafsi na Mungu wake.
Ila ukiangalia kwa haraka haraka kiwango cha kuhubiriwa wokovu ni mkubwa Mbeya kuliko hata kule kwetu naniliu.
Na nahisi ndio chanzo cha kuanzishwa makinasa mengi. Ila kaka tusisahau pia wokovu nao umeshaharibiwa,
sasa. Imebakia siri ya mtu na Mungu wake tu. Sio kama kipindi kile mlokole akipita mahali watu wanashtuka, MLOKOLE HUYO.
Hapo kwenye uanzishwaji wa makanisa na wokovu bado sijapata connection, maana mi najua mtu anaeanzisha kanisa ni kwamba kule alipokua anasali ameona kuna walakini katika wokovu, hebu nipe ufafanuzi kwenye hili ulilosema!
 
Ukija kwenye RAP na BONGO FLEVA:
1.Ambwene Yesaya aka AY,...MBEYa
2.MR SUGU,
3.King Crazy-Gwamaka Kaihura
...........
...........
.........

Mr Sugu ni Mngoni (Mbilinyi)
AY ni Mhaya
Gwamaka ni jina la Kinyakyusa, Kaihura nahisi ni jina la Kihaya
 
Back
Top Bottom