Mbeya Full upako

ukija kwenye rap na bongo fleva:
1.ambwene yesaya aka ay,...mbeya
2.mr sugu,
3.king crazy-gwamaka kaihura
...........4. Ezzy biznes
...........5. Mick mwakatundu a.k.a mnyalu

.........
..........
.........
mwingine aongeze
 
Ukija kwenye RAP na BONGO FLEVA:
1.Ambwene Yesaya aka AY,...MBEYa
2.MR SUGU,
3.King Crazy-Gwamaka Kaihura
...........
...........
.........
...Isaya Mwakilasa a.k.a Wakuvwanga(original comedy)
Quick racka(bongo flava)
 
Hata kumpiga mawe mkwele ilitokea mbeya:natamani hata mkoa wetu ungekuwa unajitegemea kuliko kuungana na mikoa iliyo lala kama lindi, mtwara , tanga , pwani dodoma,na kule kwa wazalamo. Yani mijitu ya huko hai elewi kitu kuhusu mabadiliko mpaka ina boa .
 
Hongera wana Mbeya kwa kuwa na wahubiri wengi. Ila mbona imani za kichawi nazo zimeenea sana huko, inatia wasi wasi kama hawa wahibiri nao sio ndo wale wale. Na huyu Mzee wa upako, kama msanii vile!

Neema ikiwa kubwa na dhambi pia huwa nyingi! Je kukiwa na vita maadui wanawatafuta maaskari wa miguu au ma kamanda? Huku kwingine adui keshaweka bendera ya ushindi na umiliki ndiyo maana tunaona utulivu! Ukuu wa mwanga huonekana kwenye giza kuu maana hata mwanga wa mdudu huweza kuonekana. God bless you wana Mbeya!
 
Wakuu nilikuwa off network thanks for the inputs
 
Na maharage ya Mbeya maji mara moja ni msemo wa kikubwa kidogo nadhani mmenipata
 
Back
Top Bottom