I miss you too 😘😘Mlongo I miss you😍
Huyu aliunganishiwa 🆔 alikuwa nazo sijui nne🤣🤣🤣
Moja anajitukana nyingine anajishtaki🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Nilisha pata mwongozooopoa boss ila nna ombi moja tu. Ebu tag mods wakueleze on how to change your name coz hilo jina linakaa la kike kike na kimtazamo wewe ni gent. Pambana u change da name da babilon rastas
Taja unazo ngapi🤣ID nne??? 😂
Hakika wewe ni mmoja wa haters wakubwa sanaa🤣
Huo ni ubuyu pro max.
Jf na vituko mwaya🤣🤣🤣, id Moja anakusifia,nyingine anakutukana🤣🤣I miss you too 😘😘
Kheeeh sasa ikawaje hadi apewe Ban, yaan sakata lilikuaje?
Mbona mabwakuu. 😂😂😂
Ni kwamba haka kajamaa kana masifa sana , si unajua tena sisi wamatumbi hatupendi mtu alete ngebe juu yetu, sasa kalivyo unganishiwa I'd zake kwa matusi ya rejareja wanahizaya tuliruka kama swala kwa vifijo na nderemoIncident ipi ilimpelekea huyu akala ban kwa ID aliyotaja?
Anayejua anipe ABC tafadhali nilikuwa jela nimetoka leo 😁
HahahahahaNi kwamba haka kajamaa kana masifa sana , si unajua tena sisi wamatumbi hatupendi mtu alete ngebe juu yetu, sasa kalivyo unganishiwa I'd zake kwa matusi ya rejareja wanahizaya tuliruka kama swala kwa vifijo na nderemo
Ni kwamba haka kajamaa kana masifa sana , si unajua tena sisi wamatumbi hatupendi mtu alete ngebe juu yetu, sasa kalivyo unganishiwa I'd zake kwa matusi ya rejareja wanahizaya tuliruka kama swala kwa vifijo na nderemo
Tulia mdogo etuWatu na kupenda kufokonyoa mafaili hamjambo tu. Hakuna ABC hapo hahahaha
Kajamaa fulani tu , kanajifanya mboga saba , kalifikiri sisi wamatumbi tunachekeshaKumbe ni kajamaa,halafu kana sifa?
Enwei, kamepata alichostahili ubaya ubwela kmmmk
Laiti Ungejua umri wangu usingehata nidhania. Mimi ni millenial wa mid 30s kabisa.
Karibu sisi tupoHahahahaha
Mkuu wamatumbi nipo na nyie bega kwa bega nimerudi kwa hewa tena
PoleID ni hizo mbili zilizo ungwa
Kajamaa fulani tu , kanajifanya mboga saba , kalifikiri sisi wamatumbi tunachekesha
Umerudi mkavuuu hadi rahaaHahahahaha
Mkuu wamatumbi nipo na nyie bega kwa bega nimerudi kwa hewa tena
Tukaache tu nakupa ahadi kama nipo katanyooka tuKapuuzi kweli haka kajamaa
Sasa umboga 7 anatuletea ulimwengu wetu wa feki aidiiis? Huyo de gana na 11 wote wapigwe life ban
Unakumbuka kulikua na id inaitwa Chief godlove? Alikua anatukana watu ni maskini humu yeye ndo tajiri basi ndo huyuhuyu mleta madaKapuuzi kweli haka kajamaa
Sasa umboga 7 anatuletea ulimwengu wetu wa feki aidiiis? Huyo de gana na 11 wote wapigwe life ban