πππ kwani unaogopaa?Hebu nipasie nihakikishe ziko sawa...
Maana huyo anaye kurushia ni winga mjanja mjanja tu hachelewi kubadilisha tarehe na content
Shindii sio vizuriπ€£π€£π€£Eeh kumbe ulini tag , ushauri wangu ishi maisha yako , ukiwa natabia za kujishtukia shtukia kila mtu atakufanya shamba la bibi , kiufupi ulishasahulika humu ni wewe unajishtukia tu bwashee
Umeamua kujitekenya sio?Aisee nikikumbuka kimbembe cha huyu jamaa nacchekaaa
Kwamba Mzigua_255 ni mimi?Umeamua kujitekenya sio?
Kwa nini shindii?Shindii sio vizuriπ€£π€£π€£
Ndio hivyo uduguu πΉπΉKheeeh, kumbe ndo ilivyokua?
πππ mabwakuuu? Woiiiih
Amazon unaweza kungβatwa na mijoka aloo! πΉπΉMbona hatariii uduguu, JF ni pori, sio kichaka tena, Aloo.
πππ
De gunner πΉNdo nani huyo?
Alooo! Wewe unacheza kama fisi unanyata kimya kimya unasikilizia mkono udondoke upite nao..!! πΉEti mnyama mkali!
Okay pawa mabula msalimie de gunner πΉπΉKwendraa zako huko lala kesho uwahi ukapige debe kariakoo
ππππAmazon unaweza kungβatwa na mijoka aloo! πΉπΉ
HatariiiiNdio hivyo uduguu πΉπΉ
RabekaVishu