Kwa Sangoma sana sana utadanganywa tuu. Fanya yafuatayo;
- Umeshamwambia mkeo akakataa, mwambie mwanaume husika vile vile - Wote wajue kama unajua
- Ikiwa wataendelea wakati wanajua unajua - Tafuta ushahidi wa uhakika umwache mkeo hafai
- Ikiwa baada ya kujua umeshtukia huyo mwanaume ukaona wameacha - ila mkeo bado anasisitiza si kweli kuna uhakika watarudia tena (ukisafiri, etc), Keep your eyes open.
- Ikiwa baada ya kumkoromea huyo mwanaume mkeo amekiri na kuahidi kutorudia, alikuwa na nia ya kuendelea ndo maana alikataa mwanzoni - Keep an eye on her, she will do it again, with him or another one. Ameacha kwa sababu pengine alimdanganya huyo mwanaume kuwa hana mme, mwanaume yule kamkimbia baada ya kujua mke wa mtu.
- Chunga sana wanawake wengi (including my wife) - Katika mazingira fulani hujitambulisha ma Ms hasa makazini kwao. Ila akiwa mazingira fulan ambayo anajua utaona ID yake anatumia Mrs. Hivyo inawezekana mwanaume alidanganywa tu na mkeo kuwa hajaolewa. Akijua kuwa anatembea na mke wa mtu atamkacha - Ndo maana inabidi uhakikishe na huyo mwanaume anajua kuwa unajua
- Sasa umejua mkeo anacheat. Unaishi na ukweli huo huku wewe ukiwamegea wanyonge wengine au unaquit?? Hilo ni juu yako!!
Mzee mi nakushauri unitafute umzibe mkeo jamaa akipanda anakuta pamezibwa au tuwagandishe kabisa....lakini wakigandana ishu itakuwa kubwa mpaka mtaani watu watajua jamaa jamaa kaganda na mkeo alafu itakushushia heshima...
Kama vp mpige juju huyo mmbaya wako....weka software kwa mkeo iwe ina detect yako tu.
Shingo
Point namba tano nakubaliana nawe sana, niliisha wahi jirusha na dada mmoja, kwa miaka kadhaaa....almost nipropose, kumbe alikuwa ni mke wa mtu...siku moja kwenye gari lake nikaona kitambulisho cha man, nikawa mkali nani huyu akanambia ni mumewe huwa anatumia gari lake pia....nilifreeze for the past three yrs nimemkula mke wa mtu bila kujua loooh wanawake balaa....na alikuwa anakuja kwangu naenda naye viwanja ila alikuwa hataki Dar eti wapembe wengi, Zanzibar, Moro, Arusha etc...nikammuuliza sasa inakuwaje? Akasema yuko tayari kumwacha mumewe....jamani...nilichokifanya nilimwambia stick with your hubby, nikajikata....wadada wakati mwingine nikuwa makini!!
Shingo huyu bwana hajasema kama huyo ni mkewe au ni mimi ninayemiss kitu hapo. Kama ni mke I concur with your ushauri
Je kuna ubaya mtu akitumia Ms badala ya Mrs? kwani nijuavyo mie hizo titles has nothing to do with signaling for availability (cheating) ni hulka ya mtu tu . Anaweza akawa anatumia Mrs na bado akacheat.
Umesema including your wife je mkeo unaona kama anazo dalili za kuwa anamegwa na mtu kwa vile anatumia Ms?
Hizo title huwa zinaashiria availability - Ndiyo. Kuna watu wanaona kinyaa wakijua mke wa mtu. Kwa nini asiwe consistent? Kuna maana. hayo nimeshayaona sana. Kuhusu wakwangu kuwa ana-megwa au la, naomba tujadili mada ya huyu. Ila nilichoona kuhusu matumizi ya hizo titles kinanifanya niamini kuwa zinatumiwa kutoa ishara fulani kwa watu fulani. Haiwezekani akiwa arusini pamoja na wewe anajitambulisha Mrs. Fulani wakati akienda Club bila wewe kuwa naye akajitambulisha Ms Fulani. Kuna maana ipo hapo!!
...nikammuuliza sasa inakuwaje? Akasema yuko tayari kumwacha mumewe....jamani...nilichokifanya nilimwambia stick with your hubby, nikajikata....wadada wakati mwingine nikuwa makini!!
Hizo title huwa zinaashiria availability - Ndiyo. Kuna watu wanaona kinyaa wakijua mke wa mtu. Kwa nini asiwe consistent?...
Imefika muda nimemgundua jamaa anayenimegea mpenzi au mwenzi wangu na nimepata uthibitisho, na nikimwambia mpenzi wangu anakataa , je wadau ni muafaka nimwambie amwache mpenzi wangu au nimwendee kwa sangoma wamfanyizie au wamshushe busha au vipi wana JF wazoefu
...Mnh, Tigo hiyo!
Shingo
.nilifreeze for the past three yrs nimemkula mke wa mtu bila kujua loooh wanawake balaa....na alikuwa anakuja kwangu naenda naye viwanja ila alikuwa hataki Dar eti wapembe wengi, Zanzibar, Moro, Arusha etc...!!
3 years usijue!? Hii kali ya mwaka.Basi wote wewe na yeye ni wasanii...utakuwaje na mwanamke miaka 3 usihisi kuwa ana mwenyewe? alikuwa anakuja kwako akitokea wapi? Ilikuwaje hadi kidogo u propose ilhali you knew practically nothing about her?
Imefika muda nimemgundua jamaa anayenimegea mpenzi au mwenzi wangu na nimepata uthibitisho, na nikimwambia mpenzi wangu anakataa , je wadau ni muafaka nimwambie amwache mpenzi wangu au nimwendee kwa sangoma wamfanyizie au wamshushe busha au vipi wana JF wazoefu
tehe tehe huyo shem wangu alikuwa anajua sana sema ndio vile mke wa mtu alikuwa anamlongesha ki extreem.....3 years usijue!? Hii kali ya mwaka.Basi wote wewe na yeye ni wasanii...utakuwaje na mwanamke miaka 3 usihisi kuwa ana mwenyewe? alikuwa anakuja kwako akitokea wapi? Ilikuwaje hadi kidogo u propose ilhali you knew practically nothing about her?
mkuu wewe umepewa dawa nini na demu wako?Imefika muda nimemgundua jamaa anayenimegea mpenzi au mwenzi wangu na nimepata uthibitisho, na nikimwambia mpenzi wangu anakataa , je wadau ni muafaka nimwambie amwache mpenzi wangu au nimwendee kwa sangoma wamfanyizie au wamshushe busha au vipi wana JF wazoefu
.... Ni mpenzi wako anayekudharau na kukufanyia hivyo. Hiyo njemba bila idhini ya mpenzi wako haiwezi kumega. Mpenzi wako ndiye mwenye uamuzi wa mwisho: amegwe au asimegwe!!
Imefika muda nimemgundua jamaa anayenimegea mpenzi au mwenzi wangu na nimepata uthibitisho, na nikimwambia mpenzi wangu anakataa , je wadau ni muafaka nimwambie amwache mpenzi wangu au nimwendee kwa sangoma wamfanyizie au wamshushe busha au vipi wana JF wazoefu
Kwanza kwanini mpenzi wako anamegwa? Muulize vizuri,usikute humridhishi ndo mana anafanya hivyo ila kukuambia hawezi kama tulivyo wapenzi wengi sijui ni aibu au!
Bora umuache huyo bibie uangalie usawa wako mbele,ufuate nini kwa mganga? Hivi vitu vinatokea sana kwenye jamii yaani kuacha/kuachwa pia kumega/kumegwa, kwahiyo usione imekutokea wewe tu hata kama inawezekana ni mara ya kwanza kwako!
Usimshushe kaka wa watu bushaz zake bwana kwa waganga, wengine watafaidi vipi?? Achana nae, pambana kiume siyo kidhaifu hivyo!