Mbaya wangu ni huyu

...duh, mmeamua kumpa live! kweli tupu hayo uliyosema, 'akimroga' huyo, wengine wataziba pengo, kwa kifupi demu hafai!!!

Kabisaa, inabidi ajue kwanini mpenzi wake anamegwa maana ni kwa hiari siyo kama kubakwa!..Kwahiyo hapo ni kubwaga manyanga tu na kuangalia usawa wake mbele ila kwa huyo dada presha zitapanda na kushuka tu kila mara!..

Bora akapange chumba kingine, hicho naona kina wapangaji wengi!..Hapakaliki!
 
Suluhisho hapa ni moja tu nalo ni kubakia single. Unapokuwa single unakuwa huna wasiwasi wa mwenzako kumega au kumegwa. Unaweza uka-date lakini usiji-commit kihivyo. Hasa kama unajijua kuwa unapenda kutamani dizaini mbalimbali na huwezi kuyashinda majaribu ya kutamani.

Kwa nini ujiingize katika uhusiano na mtu huku ukijua kwamba unaweza kumuibia upatapo fursa? Sio haki kabisa kwa mwenzako. Ni ngumu sana kwa binadamu kuwa na mtu mmoja kwa muda mrefu bila kutamani mwingine. Binadamu wengi, kwa maoni yangu, wameumbwa hivyo. Kwa hiyo, kwa sababu za maumbile binadamu wengi tunakuwa sio waaminifu katika mahusiano na wapenzi wetu.

Solution is to remain single and date casually. Serious dating/relationships in my opinion set(s) you up for heartbreak and stress somewhere down the road.
 
Kaka unazungumzia uzoefu wako ?
 
Kabisaa, inabidi ajue kwanini mpenzi wake anamegwa maana ni kwa hiari siyo kama kubakwa!..Kwahiyo hapo ni kubwaga manyanga tu na kuangalia usawa wake mbele ila kwa huyo dada presha zitapanda na kushuka tu kila mara!..

Bora akapange chumba kingine, hicho naona kina wapangaji wengi!..Hapakaliki!

Fikiria ungekuwa ndo wewe umeteleza ungefanyaje.
Jamani dada wa watu kateleza tu kwa bahati mbaya akatoka nje ya ndoa.
 
ukiwa single unakuwa huna ma stress mengimengi kama 'ooh sikui huyu mwenzangu yuko wapi sasa hivi maana nampigia simu lakini hapokei'...'labda yuko na mtu mwingine sasa hivi'....unakaa unawaza weeeee...moyo na tumbo vinakuuma....kulala huwezi....kula huwezi....kisa eti demu au njemba flani....come on now, yote ya nini hayo?

Ndo maana mi nasisitiza bado nipo nipo kwanza nikiwa na hamu na hit na kurun finish...huu ugonjwa wa mastress haya
 
Fikiria ungekuwa ndo wewe umeteleza ungefanyaje.
Jamani dada wa watu kateleza tu kwa bahati mbaya akatoka nje ya ndoa.

Tatizo jamaa anataka kudeal na mwanaume anayemega mpenziwe badala ya kudeal na huyo mpenzi. Atapeka wanaume wangapi kwa waganga kama ni hulka yake au tuseme bahati mbaya?
Ingekuwa mimi mpaka initokee ndo ningejua la kufanya!
Wewe ungefanyaje Fidel80??!!!
 
Wewe ungefanyaje Fidel80??!!!

Kwa vile mi nahit na kurun namwacha tu aendelee kisha mi naangalia mzigo mwingine unajua kuna wanaume wengine wanao iba wake za watu akinogewa na huyo mwanamke anakuua hivi hivi kwa kukuvizia wallahi...
 
Watu wengine ni madume *****. Mbaya wako unamfahamu, unamwona huyoo anapita. Mi wala simuulizi (ka ni kweli nshajua lakini) nampostia mzigo tena na dispatc book kabsaaa! Kero za nini? kha! Kupenda gani huko. Ebwanae usiendekeze,,, mmwage tu huyo sijui demu, sijui wife tafuta kitu ingine. Ama jamaa yangu uliachiwa razi kuwa ukimwacha tu ole wako! Maana sometime demu wa dizaini hizi wanakuwa na kiburi ile mbaya.
 
Unasema tu! Hayajakufika labda.Yakikufika ndipo utajua its not that easy.
 
Unasema tu! Hayajakufika labda.Yakikufika ndipo utajua its not that easy.

Si nasema my sis! Nakwambia kweli kabsaa. Tena demu mwenyewe alianza kumegwa na babu flani tangu akiwa Sec. Nikajaoa baada ya yeye kumaliza shule. Tetesi za mitaani kuwa huyo demu alikuwa akimegwa na mzee mmoja meneja fulani hivi wakati akiwa shule. Mwana sikukurupuka, nikaanza upelelezi wa chini chini,,, nikaunganisha na dot flani ambapo huyo wife wangu wa kipindi hicho alikuwa ana uhusiano wa karibu sana na mtoto wa huyo mzee, mara akienda kwa huyo demu dingi anamrudisha na benz. Nilipotaka siku moja gemu baada ya yeye kurejea toka kwa huyo shoga yake (kama nilivyokuwa naagwa!), akaanza ooh unajua, leo sijisikii vizuri, basi kesho mpenzi nahisi kama homa vile. Nilitoka kidogo tu nikanya Ze safari kama 10,,, niliporudi alisema kila kitu toka mwanzo hadi siku hiyo. Samesame night alichukua malboro zake akaenda kwao. Asubuhi nikamraukia mzee home. Si akajua ni family friend! Nikamwaga razi mbele ya mkewe live. Mzee alinywea ka kuku. Na ilivyonuka basi maza naye akaanza mbele mpaka ninavyoongea leo mzee hana mke na mademu wote kawakosa (demu alyekuwa wangu na mkewe pia).
 
Huyu Dina Marios anaongea kama shankupele fulani, Yo Yo una picha yake?

attachment.php

shindweni wenyewe.....

http://www.bongocelebrity.com/2007/12/04/utangazaji-ni-kipajilakini-dina-marios/
 
Attachments

  • d.jpg
    d.jpg
    18.6 KB · Views: 340
Last edited:
Ooohh yeah amefanana na sauti yake ka mlevi wa pombe za kiasili iliyolala ...
 
Back
Top Bottom