Mbaya wangu ni huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbaya wangu ni huyu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sospeter, Apr 16, 2009.

 1. s

  sospeter Member

  #1
  Apr 16, 2009
  Joined: Apr 13, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Imefika muda nimemgundua jamaa anayenimegea mpenzi au mwenzi wangu na nimepata uthibitisho, na nikimwambia mpenzi wangu anakataa , je wadau ni muafaka nimwambie amwache mpenzi wangu au nimwendee kwa sangoma wamfanyizie au wamshushe busha au vipi wana JF wazoefu
   
 2. S

  Shingo Senior Member

  #2
  Apr 16, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 127
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwa Sangoma sana sana utadanganywa tuu. Fanya yafuatayo;
  1. Umeshamwambia mkeo akakataa, mwambie mwanaume husika vile vile - Wote wajue kama unajua
  2. Ikiwa wataendelea wakati wanajua unajua - Tafuta ushahidi wa uhakika umwache mkeo hafai
  3. Ikiwa baada ya kujua umeshtukia huyo mwanaume ukaona wameacha - ila mkeo bado anasisitiza si kweli kuna uhakika watarudia tena (ukisafiri, etc), Keep your eyes open.
  4. Ikiwa baada ya kumkoromea huyo mwanaume mkeo amekiri na kuahidi kutorudia, alikuwa na nia ya kuendelea ndo maana alikataa mwanzoni - Keep an eye on her, she will do it again, with him or another one. Ameacha kwa sababu pengine alimdanganya huyo mwanaume kuwa hana mme, mwanaume yule kamkimbia baada ya kujua mke wa mtu.
  5. Chunga sana wanawake wengi (including my wife) - Katika mazingira fulani hujitambulisha ma Ms hasa makazini kwao. Ila akiwa mazingira fulan ambayo anajua utaona ID yake anatumia Mrs. Hivyo inawezekana mwanaume alidanganywa tu na mkeo kuwa hajaolewa. Akijua kuwa anatembea na mke wa mtu atamkacha - Ndo maana inabidi uhakikishe na huyo mwanaume anajua kuwa unajua
  6. Sasa umejua mkeo anacheat. Unaishi na ukweli huo huku wewe ukiwamegea wanyonge wengine au unaquit?? Hilo ni juu yako!!
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Apr 16, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wanawake wamekwisha hata umfanyie hayo mwanaume mwenzio kama ni kweli mwenye makosa ni huyo wifi kwa nini akubali kumegwa wakati anajua wewe kaka upo?
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mzee mi nakushauri unitafute umzibe mkeo jamaa akipanda anakuta pamezibwa au tuwagandishe kabisa....lakini wakigandana ishu itakuwa kubwa mpaka mtaani watu watajua jamaa jamaa kaganda na mkeo alafu itakushushia heshima...
  Kama vp mpige juju huyo mmbaya wako....weka software kwa mkeo iwe ina detect yako tu.
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Shingo

  Point namba tano nakubaliana nawe sana, niliisha wahi jirusha na dada mmoja, kwa miaka kadhaaa....almost nipropose, kumbe alikuwa ni mke wa mtu...siku moja kwenye gari lake nikaona kitambulisho cha man, nikawa mkali nani huyu akanambia ni mumewe huwa anatumia gari lake pia....nilifreeze for the past three yrs nimemkula mke wa mtu bila kujua loooh wanawake balaa....na alikuwa anakuja kwangu naenda naye viwanja ila alikuwa hataki Dar eti wapembe wengi, Zanzibar, Moro, Arusha etc...nikammuuliza sasa inakuwaje? Akasema yuko tayari kumwacha mumewe....jamani...nilichokifanya nilimwambia stick with your hubby, nikajikata....wadada wakati mwingine nikuwa makini!!
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Apr 16, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Shingo huyu bwana hajasema kama huyo ni mkewe au ni mimi ninayemiss kitu hapo. Kama ni mke I concur with your ushauri

  Je kuna ubaya mtu akitumia Ms badala ya Mrs? kwani nijuavyo mie hizo titles has nothing to do with signaling for availability (cheating) ni hulka ya mtu tu . Anaweza akawa anatumia Mrs na bado akacheat.
  Umesema including your wife je mkeo unaona kama anazo dalili za kuwa anamegwa na mtu kwa vile anatumia Ms?
   
 7. S

  Shingo Senior Member

  #7
  Apr 16, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 127
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hicho kinachoitwa juju la hivyo kingekuwepo, haya mambo yasingekuwepo! juju ni uongo na kama ukitaka sasa kuprove kuwa juju ni uongo jaribu hayo uloshauriwa. Mkeo ataendelea kumegwa huku wewe ukiamini wakikutana ya mwanaume huwa haisimami. Ikikataa imekataa sababu tu imechoka, na hata ndimi watazitumia kuridhishana. Upo hapo?

  Hayo ya kufungwa ni uwongo ulio wazi. Labda wewe ubadili mtazamo wako na uone kuwa hilo ni kawaida na linatokea kila siku (tunawaona wakimegwa kila kukicha maofisini - anakwambia yuko kazini kumbe yuko hotelini kariakoo kazini yuko off).
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu ndo maana mi nasita kuoa kabisaaaaaaa ngoja niendelee kusubuli duh si mchezo usikute mlikuwa mnapangwa na huyo mwanamke mzee inauma sana.
   
 9. S

  Shingo Senior Member

  #9
  Apr 16, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 127
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hizo title huwa zinaashiria availability - Ndiyo. Kuna watu wanaona kinyaa wakijua mke wa mtu. Kwa nini asiwe consistent? Kuna maana. hayo nimeshayaona sana. Kuhusu wakwangu kuwa ana-megwa au la, naomba tujadili mada ya huyu. Ila nilichoona kuhusu matumizi ya hizo titles kinanifanya niamini kuwa zinatumiwa kutoa ishara fulani kwa watu fulani. Haiwezekani akiwa arusini pamoja na wewe anajitambulisha Mrs. Fulani wakati akienda Club bila wewe kuwa naye akajitambulisha Ms Fulani. Kuna maana ipo hapo!!
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Apr 16, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  . Aksante mkuu nisamehe kama nilikuwa naingia kwako personally. Am sorry.

  But tukirudi katika Mada nakubaliana nawe kabisa kwa nini asiwe consistent meanin kama anatumia Ms then she should stick to that. Aksante kwa ufafanuzi Mkuu
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Mnh, Tigo hiyo!

  ...na kuna wengi wanaoona sifa kula mke wa mtu!

  ...kama hakubali kosa, hataki kujutia wala hataacha. Mchumba tu anakufanyia hivyo, akiwa mkeo atamleta chumbani!, Achana nae!
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahaha Mzee kama ulikuwepo! Ama wewe ni kozimeni fulani? hahahaha mmmhh
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  3 years usijue!? Hii kali ya mwaka.Basi wote wewe na yeye ni wasanii...utakuwaje na mwanamke miaka 3 usihisi kuwa ana mwenyewe? alikuwa anakuja kwako akitokea wapi? Ilikuwaje hadi kidogo u propose ilhali you knew practically nothing about her?
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  1. Nilikuwa nikimuhitaji alikuwa akipatikana, nature ya kazi nlo kuwa nikifanya bongo ilihusisha kusafiri sana

  2. Alikuwa anatokea kwao, akidai anaishi na wazazi

  3. mapenzi yalipozidi nikaona kwanini nisichukue huu mzigo jumla, she was everything you know what I mean eeehh

  4. Nadhani siku hizi mkikubaliana na mwenza ndo vitu vingine hufuata ie kutambulisha kwa ndugu etc etc na wazazi
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Apr 16, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  M dump huyo mpenzi wako. Ni mpenzi wako anayekudharau na kukufanyia hivyo. Hiyo njemba bila idhini ya mpenzi wako haiwezi kumega. Mpenzi wako ndiye mwenye uamuzi wa mwisho: amegwe au asimegwe!!
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tehe tehe huyo shem wangu alikuwa anajua sana sema ndio vile mke wa mtu alikuwa anamlongesha ki extreem.....
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu wewe umepewa dawa nini na demu wako?

  mpige chini fasta hio sio lazima upate ushauri wa JF.....anamegwa kitambo wewe unataka nini hapo anza mbele.....
  hata wakimfanyizia demu wako keshamegwa na ataendelea kumegwa.....hizo hela za kumpa mganga changia JF
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Dah, maneno mazito haya, yanauma lakini ndio ukweli wenyewe!!!
   
 19. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kwanza kwanini mpenzi wako anamegwa? Muulize vizuri,usikute humridhishi ndo mana anafanya hivyo ila kukuambia hawezi kama tulivyo wapenzi wengi sijui ni aibu au!

  Bora umuache huyo bibie uangalie usawa wako mbele,ufuate nini kwa mganga? Hivi vitu vinatokea sana kwenye jamii yaani kuacha/kuachwa pia kumega/kumegwa, kwahiyo usione imekutokea wewe tu hata kama inawezekana ni mara ya kwanza kwako!

  Usimshushe kaka wa watu bushaz zake bwana kwa waganga, wengine watafaidi vipi?? Achana nae, pambana kiume siyo kidhaifu hivyo!
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...duh, mmeamua kumpa live! kweli tupu hayo uliyosema, 'akimroga' huyo, wengine wataziba pengo, kwa kifupi demu hafai!!!
   
Loading...