Mbaya wangu ni huyu

Mzee mi nakushauri unitafute umzibe mkeo jamaa akipanda anakuta pamezibwa au tuwagandishe kabisa....lakini wakigandana ishu itakuwa kubwa mpaka mtaani watu watajua jamaa jamaa kaganda na mkeo alafu itakushushia heshima...
Kama vp mpige juju huyo mmbaya wako....weka software kwa mkeo iwe ina detect yako tu.
Mkulu
Kweli , nimesikia hiyo software ipo.

Baadhi ya akina mama wanaitumia hiyo software, lakini ni ile version ya kiume kulinda computer zao.

Mzee unawasha computer vizuri ukitaka kulog in hakuna mawasiliano kati ya main server na computer.

Matokeo yake mzee mzima kashfa,vimeo vyetu vya uswahilini si unavijua tena lazima vipake sana.

HUWEZIII...SASA JE..
 
Imefika muda nimemgundua jamaa anayenimegea mpenzi au mwenzi wangu na nimepata uthibitisho, na nikimwambia mpenzi wangu anakataa , je wadau ni muafaka nimwambie amwache mpenzi wangu au nimwendee kwa sangoma wamfanyizie au wamshushe busha au vipi wana JF wazoefu

Ndugu yangu, ebu pata muda wa kusikiliza wimbo wa AY, bado niponipo kwanza... anasema kama mkeo akimegwa, na wewe tafuta wako ummege, haipunguzi maumivu lakini inaongeza heshima ya kiume
 
Ndugu yangu, ebu pata muda wa kusikiliza wimbo wa AY, bado niponipo kwanza... anasema kama mkeo akimegwa, na wewe tafuta wako ummege, haipunguzi maumivu lakini inaongeza heshima ya kiume

Mpita Bado nipo nipo kwanza ni wa MwanaFA akishirikiana na AY.
 
Mtoto hapa katulia ana pua ya Kinywaranda kabisaaa au kama Msomali vile au sio Masanilo?

dina3bc.jpg
Dina huyo Masanilo tuma posa hapo.
 
Je kuna ubaya mtu akitumia Ms badala ya Mrs? kwani nijuavyo mie hizo titles has nothing to do with signaling for availability (cheating) ni hulka ya mtu tu . Anaweza akawa anatumia Mrs na bado akacheat.

Nafikiri alikuwa anamaanisha kuwa Ms means hajaolewa kwani Ms or Mrs ni titles km ulivyosema.
 
watu mnajua kukosoa mtadhani mnajua kuumba, thread ilikuwa tofauti but imegeuzwa ghafla, dina hana ubaya wowote namjua vizuri sana, hana mashauzi hata kidogo, mtu watu....btw wewe sos tafuta muelekeo mwingine huyo mdada hakufai/hana msimamo! na pia jifunze kujiamini huwezi kusema mambo ya kwenda kwa waganga kwa akili za kushikiwa za mrembo wako, nani kakuambia wanata2a shida wale watu?
 
Mtoto hapa katulia ana pua ya Kinywaranda kabisaaa au kama Msomali vile au sio Masanilo?

View attachment 4327
Dina huyo Masanilo tuma posa hapo.

Fidel80,
Naona picha ni ya leo leo na ni muda mfupi sana ukaituma ktk post; mmpo ofisi moja nini? na huo mkao ni kama alitegeshea umpige picha nini??? WEKA MOUSE YAKO KTK PICHA UIONE VIZURI

Mtoto mzuri mashaallah; Masanilo umemouna huyo???:confused:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom