Mbowe anapewa vyote hivyo lakini kaishia kwenye ukurasa wa facebook...
Tatizo lako unafikiria kisiasa za kampeni zaidi wakati hapa tujadili jinsi viongozi wa siasa walivyorespond to janga la kitaifa...
Mmoja kaenda kwenye eneo la tukio, mwingine kaingia facebook...
Kwanza majukumu ya Mbowe ni makubwa sana kuliko hata Kiwete and by the way swala la uokoaji lina wahusu trained professionals zaidi.
Lakini Mheshimiwa Mbowe kwenye ujumbe wake ametuma ujumbe ambao unaashiria uzembe mkubwa wa wahusika.
Hili janga na mengine mengi ni matokea ya uongozi mbovu wa ccm!!
Mbona alitembelea waathirika wa mafuriko, which is a natural disaster rather than uzembe wa majitu ya ccm