Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Unashindwa kuelewa kuwa mbappe ana medali ya
kombe la dunia ambalo messi hana.
Unajua mpira? Au ndio wale wivu umewajaa? Messi hafananishwi na mchezaji yoyote duniani labda Maradona pekee wanaweza kulingana kidogo.