Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,897
- 33,707
Axha basi ujinga,kwa hiyo takwimu zile za uwanjani nazo ni siasa au sio??Wakati anachukua hyo balloon dor ya 7 ulisikiliza hotuba yake!? Au umesehau aliwah chukua tuzo ambayo alistahli Iniesta!? Ballon dor kipindi cha messi na Ronaldo ni siasa kati ya matajiri wa Madrid na Barcelona. Kwahyo acha kukurupuka