MB au data zinatengenezwa wapi?

MB au data zinatengenezwa wapi?

Naona swali halijajibiwa.
Internet inatengenezwa na nani na wapi ?
MB, au GB ni kipimo tu cha internet kama unavyoweza kupima wungi wa nyama ukapata nusu kilo, kilo moja, mbili nk.

Nani anatengeneza Interneti, na anatengenezea wapi, na anatumia malighafi gani ?
Internet haitengenezwi ni connectivity ya vifaa mbalimbali

Ukiunga pc yako na ya rafiki yako na kuendelea ndio internet
 
Kuna vitu unasoma unabaki unajiuliza hivi wabongo ndo wana ufahamu wa kiwango cha chini namna hii? Mbaya zaidi swali linaulizwa na mtu ambaye ameweza kuingia mpaka JF!
Hata ukiingia quora, mtandao wa kimataofa bado utapata maswali yote. Hili swali ni relevant sana kwa mtu asiye wa field hii. Mnaojua toeni majibu.
 
mtoa mada hakuuliza internet inatoka wapi au inamilikiwa na nani,yeye ametaka kujua MB Zinatengenzwa wapi au chanzo chake nini na pia kataka kujua kama kuna uwezekano wa kupata MB bila kulipia(nimereplace neno kutengeneza MB kimagendo)
Hum Wanajibu tofauti kabisa na muuliza swali
 
Data ni series ya on and off (zeros and ones) kila kitu cha kidigitally ni zero au moja ndio maana ikaitwa digital..., (Kwahio picha video sentensi zote ni zero au moja)

Wingi wake ndio unafanya ukubwa wa data; Bit, (the smallest unit) Byte; Kilobyte, MegaByte n.k. Sasa watu wenye miundo mbinu yao (tuseme ni kama barabara za hizo bits kupita (walishaweka mitandao yao iwe nyaya, satellite n.k.) kwahio wanaamua waauze kiasi gani kwa wewe kuweza kupitasha hizo bits zako..., na hapo kuna wauzaji wakubwa wa jumla, wauzaji wadogo kidogo wa jumla n.k. wewe ukinunua barabara fulani ili wateja wako wapite kwa elfu kumi na kila mteja unamchaji tshs tano unaweza hata kwenye barabara yako ya capacity ya watu elfu kumi ukauzia watu elfu ishirini sababu sio wote wanapita kwa wakati mmoja (ila wakipita kwa wakati mmoja ndio hapo unashaangaa mitandao ipo slow (over capacity)

Na ndio maana zamani kabla serikali haijaingilia na kuharibu mitandao ilikuwa inaweza kutoa promo kwenye offpeak times sababu hakuna gharama yoyote kama barabara zipo tayari ni bora upate watu kwa bei ndogo kuliko kuwakosa (hio sio kama kitu physical ukitumia kinakwisha; its just a bandwidth; kwa mfano wangu ukubwa wa barabara)

Mfano rahisi ukinunua wifi kwa kina voda et al na kuwafungia watu ishirini na kila mwezi wanakulia elfu kumi utapata elfu ishirini wakati voda unawalipa 150k (Its just the same thing at a larger scale)
Mkuu muulizaji hajauliza hlo! Anataka kujua zinatengenezwa wapi? Na je anaweza kuzimiliki? Swali linajieleza majibu yanatoka offline kwa nn?
 
Habari wanaforums, naomba kujuzwa Data au MB zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
Mkuu mbona hujawahi kuuliza vocha zinatengenezwa wapi? Ukipata maarifa ya kutengeneza vicha, MB zitajileta zenyewe
 
Si zinaexpire MB ni kipimo Yani ni sawa ni kwambie umelipia kucheza kwa saa 5 katika uwanja wangu wa michezo. Wewe ukacheza kwa saa 3 halafu ukapumzika. Yakitimia masaa matano nikakwambia muda wako umeisha. Ila kumbuka umecheza masaa 3, yale mawili utasema aymeenda wapi?
Mfano mzuri ili aelewe ni akinunua malaya basi kabla ya huduma mtoa huduma atachukua hela, sasa ukienda room ukashindwa kubandua malaya atasepe na mtonyo muda umeisha bila kujali kwamba hujambandua.
 
Kuna vitu unasoma unabaki unajiuliza hivi wabongo ndo wana ufahamu wa kiwango cha chini namna hii? Mbaya zaidi swali linaulizwa na mtu ambaye ameweza kuingia mpaka JF!
Swali lake lina mantiki labda wewe ndio hujamuelewa anachohitaji kujua.
Na hilo swali lake linahitaji majibu ya kitaalamu zaidi sio majibu ya kiujumla kama watu walivyokariri kwamba mb zangu zimeisha lakini hawajui zimeishaje na zimeenda wapi.
Kuna mtu mmoja nimeona ameelezea kitaalamu ila wengine wanaropoka tu huenda hata hawajaelewa swali
 
Mkuu muulizaji hajauliza hlo! Anataka kujua zinatengenezwa wapi? Na je anaweza kuzimiliki? Swali linajieleza majibu yanatoka offline kwa nn?
Huwezi kujibiwa kuku anatoka wapi au anatengenezwa vipi wakati haujui yai ni nini, It is impossible; Kuuliza kwake tu mb zinatengenezwa wapi ni kuonyesha kwamba hajui yai ni nini ? Kwahio he/she needs to start on basics na kwa kuonyesha am on the right track tumuulize bush crazy kama baada ya kusoma jibu langu he/she is not wiser than before....
 
Unamaanisha hata wale TTCL hawana uwezo wa kutengeneza data?Ni wapi zinatengenezwa?
... DATA inamuwezesha mtumiaji simu, kompyuta au kishikwambi kuwasiliana na kompyuta, simu na vishikwambi vingine kupitia mtandao mkuu wenye KOMPYUTA KUU, AMBAZO ZIKO NCHI ZA MAGHARIBI, na kuongeza content, kutoka KOMPYTA KUU kwa msaada wa wawezeshaji kama kampuni za simu au internet na kadhalika!
... kuungwa huko kuna gharama zake zinazopimwa kwa MB na GB anozotumia MDAU!
SIO KITU RAHISI!
 
Haziendi sehemu

Mfano wewe umelipia kuangalia mpira mechi dakika 90 ukiondoka dakika ya 60 hizo 30 wanazipeleka wapi? Jibu hawazipeleki sehemu hizo MB ni kitu cha kufikirika zaidi ni ruhusa ya wewe kitumia miundombinu ya mtandao sana sana hicho kiti ulichokaa wewe uwanjani atakuja kukaa mtu mwengine uwanjani wewe unalipia ile siti na kwenye mtandao wewe unalipia ile miundombinu ya mtandao
A Very nice scenario/example to be understood by anyone.
 
Nimecheka
Ila kweli maana kuna watu wanatoa maelezo marefu
Kuna watu huko juu kama watano,nami nikiwemo,tumeeleza vizuri tene kwa njia tofauti kabisa,lakini watu hawaelewi,labda kwa vile wengi hawana ABC ya masuala ya IT yanavyofanya Kazi..

majibu kwenye Uzi huu yapo zaidi ya Saba,soma taratibu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yule injinia akili za darasani alibarikiwa sana nakwambia sana . lkn yule msanii alithibitisha elimu yetu sio kitu kabisa ule uzi injinia matusi yakaanza kumtoka 🤣🤣🤣
Alifanywa nini huyo injinia?
 
Mfano mzuri ili aelewe ni akinunua malaya basi kabla ya huduma mtoa huduma atachukua hela, sasa ukienda room ukashindwa kubandua malaya atasepe na mtonyo muda umeisha bila kujali kwamba hujambandua.
Jf ina vituko.
Naona umejaribu kutafuta lugha nyepesi ambayo itaeleweka in a layman way
 
Mkuu kongole kwako kwa hakika umefunga mjadala kikichobaki muulizaji aulizie namna ya kudukua ukajiongezea ukomo wa internet kama ulipewa GB 1 wewe ujiongezee hadi 5 nadhan hiyo kazi ya wadukuzi, vp kuhusu hiz VPN ambazo watu wanatumia kuperuzi intrnet?
Bytes (B) au Kilobytes (KB) au Megabytes (MB), au Gigabytes (GB) au Terabytes (TB), n.k ,....... ni memory capacity ya computer au storage device unayotumia kuhifadhi digital data zako, ambazo kawaida huwa zinahifadhiwa zikiwa kwenye form ya zeros na ones

Data hizi zinaweza kuhifadhiwa hata kwenye computer ambayo haiko kwenye intenet, yaani unaweza kuzihifadhi hata kwenye computer yako mwenyewe ambayo haijaunganishwa kwenye internet

Kwa hiyo ieleweke kuwa MB na internet ni vitu viwili tofauti, isispokuwa ukihitaji kutumia internet ndiyo unapimiwa NAFASI YA KUHIFADHIA DATA ZAKO kwa kutumia MB

Nafasi hiyo unayopimiwa ikishajaa, maana yake ni kwamba MB zako zinakuwa zimekwisha

Kwa hiyo inapotokea kuwa umeunganishwa kwenye internet, ina maana kuwa aliyekuunganisha kwenye internet amekupa storage space au memory space kulingana na mahitaji yako

Kwa hiyo kwa maana nyingine ni kwamba MB zinaweza kupatikana kwenye storage devices yoyote hata kama haina internet, na hivyo MB zimekuwepo hata kabla ya internet kuanza

Rasmi intenet ilianza mwaka 1992 lakini MB zilikuwepo hata kabla ya hapo

Wewe unayeandika kitu ndiye unayezitengeneza MB, ihuku computer yenyewe nayo ikiwa imtengenezwa kuzihesabu kwa kutumia utaratbu maalum

Hii text niliyoandika hapa kukujibu swali lako, tayari mimi mwenyewe nimeshatengeneza MB moja au mbili hivi
 
Mkuu kongole kwako kwa hakika umefunga mjadala kikichobaki muulizaji aulizie namna ya kudukua ukajiongezea ukomo wa internet kama ulipewa GB 1 wewe ujiongezee hadi 5 nadhan hiyo kazi ya wadukuzi, vp kuhusu hiz VPN ambazo watu wanatumia kuperuzi intrnet?
VPN maana yake ni kwamba wewe unakuwa physiclly uko hapa lakini kifaa chako kime-connect tuseme na LAN ya watu walioko kwenye ofisi moja mahali fulani KOREA YA KUSINI au uingereza. Kwa hiyo ulionao phsically hapo ofisini kwako, COMPUTER yako haiwezi kuonana na computer zao pamoja na kwamba mpo wote kwenye chumba kimoja, isipokuwa inaweza kuonana na watu waliopo kwenye ofisi moja mahali fulani huko Korea ya Kusini au Uingereza, as if uko nao phsically mahali pale ulipo wewe
 
🤣🤣🤣 Umenikumbusha kuna vita kali ilitoka humu kuna injinia mmoja alikua anatambwe sana na vyeti vya kutisha sana aliweka hapa ni 1.7 na 1.3 mpk GPA 4.8 Lakini alishikishwa adabu na Msanii mmoja jiniaz anaitwa Humble Africa. HKL walikua wanachekea ndani ya shuka,🤣🤣🤣 na kumchangia Likes tu mkuu Humble.
tuone huo uzi mkuu?
 
Back
Top Bottom