Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 4,980
- 14,749
🤣🤣🤣 Umenikumbusha kuna vita kali ilitoka humu kuna injinia mmoja alikua anatambwe sana na vyeti vya kutisha sana aliweka hapa ni 1.7 na 1.3 mpk GPA 4.8 Lakini alishikishwa adabu na Msanii mmoja jiniaz anaitwa Humble Africa. HKL walikua wanachekea ndani ya shuka,🤣🤣🤣 na kumchangia Likes tu mkuu Humble.majibu wanayotoa wadau yamekaa kI HKL