Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,496
- 3,168
Nature ya maziwa yakikaa kwenye joto huwa yanaganda. Na hii inatoka na natural enzymes walioko kwenye maziwa ya ng'ombe amboa ukibadilisha mazingira yaani joto. Wanakuwa active na kufanya kitu inaitwa fermentation na kama maziwa sio ya ng'ombe au yamewekwa kemikali basi hiki kitu huwa hakitokei na maziwa yanawdza kaa kwenye mazingira yoyote. Mfano ni maziwa ya azamHayo Tanga fresh yenyewe si halisi...Umeme.ukikatika nayo yameganda au yanakatika...
Umespecialize vizuri katika majungu. Mungu akupe maisha marefu, ameen.Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
Kwa hiyo unatuambia kuwa azam wanakwepa kodi?Walikwepa kodi kwa kipindi kirefu baadaye wakashauriwa wafilisike
Maziwa ya tanga hayahitaji kuchemsha. Yale yamefanyiwa kitu inaitwa" pesturaization" ukichemsha protein yote inakuwa denatured. Ila hongera kwa kuona kasoro kwenye kitu ya azam
Umesahau asas na tanga fresh bhana. kumbuka Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe.Azam ana agiza maziwa fresh ya unga toka nje halafu anakuja ku delute pale Zanzibar na kupack kwenye maboksi kisha ana tuuzia sisi. Ukisoma ingredients kwenye boksi utakuta kuna vitu kama 5 hvi ambavyo vipo kwenye hicho kinywaji na wame andika usinyonyeshee mtoto.
Maziwa fresh ya ukweli ni daima, brookside na first choice, parmalat toka SA.
kaza moyo mpwa umalizie ila jitahd uachane kabisa na soft drink za azam. sijui sayona au hawa mo drinks.. yaan ninkujitengenezea magonjwa ya ajab ajab miaka ijayo..Hapa nina box la Azam juice, sasa sijui niimalizie tu ndo niache kabisa au niachie hapa hapa!
Halafu wahusika walivyo wa ajabu wanaonyesha kwenye matangazo ya TV kundi la ng'ombe wa maziwa wakiwa malishoni - sijui hapa au Zanzibar!!! Wahusika sio wakweli, wanacho fanya wana import semi skimmed milk powder kutoka sijui nchi gani, wanachanganya na maji ya uhai basi - yale si maziwa fresh hata kidogo.Yale ni maziwa ya unga, sijui wanayatoa wapi. wajanja sana, wanaongezea maji tu. kwanza ng'ombe wenyewe wako wapi
Yale ni.maziwa ya ngombe 100% pure hawaweki maji hata chembe,Yale sio maziwa pure
Yale ni.maziwa ya ngombe 100% pure hawaweki maji hata chembe,Yale sio maziwa pure
Azam ana agiza maziwa fresh ya unga toka nje halafu anakuja ku delute pale Zanzibar na kupack kwenye maboksi kisha ana tuuzia sisi. Ukisoma ingredients kwenye boksi utakuta kuna vitu kama 5 hvi ambavyo vipo kwenye hicho kinywaji na wame andika usinyonyeshee mtoto.
Maziwa fresh ya ukweli ni daima, brookside na first choice, parmalat toka SA.
Kwa mimi maziwa yote hayo ulio orodhesha siya pendi. Hayo yote yana chemical nyingi ndioa maana yanakaa mwaka mzima bila kuaribika. Tofauti na Tanga Fresh
ngano,,poleNishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?