Mazito ripoti ya CAG - Janeth Rithe: Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’... Serikali hoi kwa madeni! Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT

Inawezekana yale matango pori ya jana watu wamempotezea maana jamaa aminiki anafosi aaminiwe
 
295 likes
mwigulunchemba Bwana @zittokabwe , MBONA UNATESEKA Sana, Unateseka bure, Ngoja tukusaidie,
Moja ungetwambia (84.9% ya shilingi NGAPI, 91.1% ya shilingi NGAPI) na (66.5% ya Shilingi NGAPI, 64.5% ya shilingi NGAPI). Unajua FIKA percentage na absolute figures vina uzito tofauti kiuchumi.
Pili, Fedha hizo kwa asilimia hizo za awamu hizo unazolinganisha zilikwenda wapi, Kwa watu wangu hizi asilimia sio mhimu, Mhimu kwao ni KWAMBA TARAFA TATU HAZIKUWA NA HOSPITALI, SASA ZOTE ZIMEPOKEA ZAIDI YA 400M na Sasa MAPORI YAMEKUWA MIJI, MAJENGO YA HOSPITALI. NA HII NI KWA NCHI NZIMA.
 
Nafkiri kwa sababu ni naibu Katibu Mwenezi Hilo ndio jukumu lake kichama

Kwa mantiki hiyo taarifa hi Mh. Zitto kaitoa kama taarifa kwa nafasi yake kwa sura ya chama na sio Zitto kama Zitto kama raia wengine

Kwamaana hiyo sio Zitto kajifanya kuandika halafu kamsakizia mtu NO! nikwamba Zitto kaandika kwa nafasi yake katika Chama na Kisha kuitoa kwa sura Chama

Hivyo ni kama ACT wamesema na ndio maana imekua indorsed na Naibu Katibu Mwenezi wa Chama na mawasiliano yake kaweka kwa ajili ya verification ikiwa unamashaka ... Mimi nafkiri ivyo

Haya ni mawazo yangu tu lakini katika hali ya kawaida au???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimeshindwa kuelewa kwanini amemtumia huyo Bidada badala ya kusimama yeye kama yeye!!!

Uchambuzi wa Act.. kitaaluma Zitto Ni mchumi... bado sijajua Ni nukuu au taarifa ya chama au ya kutoka kwa Zitto...
 
Naibu Katibu uenezi anatoa taarifa za chama au za Zitto pekee?
 
Wewe ni wa kupuuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Zitto, kwanza asante kwa taarifa hii, kwa vile umeihushisha na kuvunjwa kwa katiba, na taratibu za kushughulikia kuvujwa kwa katiba unazijua, nakuomba sasa, taarifa hii isiishie kwenye press conference na press release.
Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee? - JamiiForums
Du the needful
Usipochukua, then huu nao utakuwa ni uchozezi hivyo nashauri
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni... - JamiiForums
P
 
Achukue hatua kupitia Bunge hili la Ndugai?!

Kuwa serious brother!!
 
Wewe ndiye unataka kucheza na akili za watanzania baada ya kuona mnavuliwa nguo wezi wakubwa nyie! Kama imeandikwa na Ziito na sio huyo naibu katibu wa uenezi, tatizo liko wako kama hamuwezi kujibu hoja zilizoko kwenye hilo andiko? Acheni ujinga nyie wajinga!
 
Hata hueleweki unasimamia nini, Mbinguni haupo ahera pamefungwa. Alicholeta Zitto ni kutoka ripoti ya CAG na wewe unasema huamini aliyosema Zitto unaamini ripoti ya CAG!! Uwe na kumbukumbu, alichopinga Zitto siyo uwepo wa CAG Bali Kichere kuwa head of office kwa vile hana sifa za kuwapo alipowekwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…