Mazishi ya Wapigania Uhuru wa TZ huko Arusha waliouawa kidhalimu 5 January 2011

lowasa aliwaambia cmm hali si shwari arusha yaweza kuwa ivory coast au liberia wakae na chadema mezani makamba akamwita lowasa mchochezi. Haya sasa yako wapi. Shame on u makamba

Usimtaje Makamba, ninasikia kichefuchefu, mtu mzima ovyo
 
Pamoja kaka serikali ya ccm ni ya kidhalimu siku zote nguvu ya umma haishindwi watapiga mabomu watachoka isitoshe sasa hivi watanzania hawaogopi tena mabomu ndio maana polisi wameanza kutumia risasi za moto. MAPAMBANO BADO YANAENDELEA.
 
Ndugu wana JF.
Hakuna sheria yoyote inayosema mtu akiandamana kama hana kibali apigwe risasi za moto.
Dunia nzima huwa watu wanaandamana kila wakati na hakuna mauaji wala ngeu. Hakuna sababu ya viongozi wetu kuwa wasuluhishi nchi za nje wakati ndani ya nchi yao wanaua raia.
Ushauri wangu:
Kama kweli kuna watu waliokufa arusha wasizikwe kwanza tuhakikishe tunaweka kumbu kumbu zao sawa kabla ya kufanya mazishi na pia wale wote waliojeruhiwa wahesabiwe na kuchukuliwa video.
1.Hii itasaidia kuwajulishe mabalozi na asasi za kimataifa hasa zile za haki za binadamu ili wajue kwamba....Tanzania tuna sheria nyingi lakini hakuna utawala wa sheria na pili tuna katiba lakini hakuna serikali inayoongozwa na hiyo katiba.
Shime shime watanzania ndugu wa marehemu watembeleewe na kufarijiwa na zichukuliwe video na picha ili kuweka kumbu kumbu sawa.

Ni kweli! Je, wazikwe wapi? Nje ya Ikulu? Kwa maandamano maalum?
 
ndugu wana jf.
Hakuna sheria yoyote inayosema mtu akiandamana kama hana kibali apigwe risasi za moto.
Dunia nzima huwa watu wanaandamana kila wakati na hakuna mauaji wala ngeu. Hakuna sababu ya viongozi wetu kuwa wasuluhishi nchi za nje wakati ndani ya nchi yao wanaua raia.
ushauri wangu:
kama kweli kuna watu waliokufa arusha wasizikwe kwanza tuhakikishe tunaweka kumbu kumbu zao sawa kabla ya kufanya mazishi na pia wale wote waliojeruhiwa wahesabiwe na kuchukuliwa video.
1.hii itasaidia kuwajulishe mabalozi na asasi za kimataifa hasa zile za haki za binadamu ili wajue kwamba....tanzania tuna sheria nyingi lakini hakuna utawala wa sheria na pili tuna katiba lakini hakuna serikali inayoongozwa na hiyo katiba.
shime shime watanzania ndugu wa marehemu watembeleewe na kufarijiwa na zichukuliwe video na picha ili kuweka kumbu kumbu sawa.

wangapi wamekufa arusha jamani mbona hamna details kwenye hili au hajafa mtu
 
Ahsante.... inasisimua
Je wanaodaiwa kuuliwa katika maandamano ni wangapi? Au BBC nao wameanza uzushi? Suala kama hili linaloguza uhai wa Taifa si la kufanyiwa mchezo. inaonekana hapa jamvini tumesahau nafasi yetu kama wanataaluma ambao tunawajibika kutoa taarifa zenye kuaminika. Nimefuatilia habari hizi tangu jana lakini hakuna ambaye amejitikeza au kuthibitisha uwepo wa maiti. Taarifa za BBC jana usiku zilitaja watu kumi (10) lakini leo asubuhi hawakuzikariri tena. Jamani matukio kama haya si ishara njema na tuache ushabiki tuwe objective hata wazo litakapotolewa kuwe na mwanga ili watu wazione kinagaubaga hatua stahiki za kuchukua.:mad2:

God bless you all great thinkers
 
Tutawazika kwa maandamano ya nchi nzima...................................
Napendekeza kwa kuwa watz hawamtaki kikwete watakuwa tayari pia kuacha shughulizao na kuungana na wanamabadiliko wote watz kuomboleza msiba huu kubwa wa kutafuta uhuru.........wakati wa kudai uhuru wa bendera mababu zetu walimwaga damu na sasa tuna bendera na sisi tumwage damu ili tupate uhuru kutoka kwa kikwete na mafisadi wake
 
Ndugu wana JF.
Hakuna sheria yoyote inayosema mtu akiandamana kama hana kibali apigwe risasi za moto.
Dunia nzima huwa watu wanaandamana kila wakati na hakuna mauaji wala ngeu. Hakuna sababu ya viongozi wetu kuwa wasuluhishi nchi za nje wakati ndani ya nchi yao wanaua raia.
Ushauri wangu:
Kama kweli kuna watu waliokufa arusha wasizikwe kwanza tuhakikishe tunaweka kumbu kumbu zao sawa kabla ya kufanya mazishi na pia wale wote waliojeruhiwa wahesabiwe na kuchukuliwa video.
1.Hii itasaidia kuwajulishe mabalozi na asasi za kimataifa hasa zile za haki za binadamu ili wajue kwamba....Tanzania tuna sheria nyingi lakini hakuna utawala wa sheria na pili tuna katiba lakini hakuna serikali inayoongozwa na hiyo katiba.
Shime shime watanzania ndugu wa marehemu watembeleewe na kufarijiwa na zichukuliwe video na picha ili kuweka kumbu kumbu sawa.

Hivi sheria za Polisi Tanzania zaruhusu kuua raia? Kimbari yanukia
 
"Kama kweli kuna watu waliokufa arusha wasizikwe"! sasa kama huna hakika kwanini unasema wasizikwe? kuhushu sheria zipo ila chadema wana vichwa vigumu hawataki kuzitekeleza! habari ndio hiyo kudadadeeki![/QUOT

Unatatizo lolote la mtindio wa ubongo?
Kwa akili ya kawaida huwezi kusema pumba za namna hii.
 
I am not a Politician, but a proffesional Soldier. I am therefore, man of few words and I have been brief through my proffesional career.
 
"Kama kweli kuna watu waliokufa arusha wasizikwe"! sasa kama huna hakika kwanini unasema wasizikwe? kuhushu sheria zipo ila chadema wana vichwa vigumu hawataki kuzitekeleza! habari ndio hiyo kudadadeeki!

Watu wengine humu wametumwa na mafisadi. Wengine CCM, Wengine Usalama. Wote oneni aibu kwa dhamira yenu. I wish ninge wajua kwa sura na majina kamili ningewadharau hadi basi.
 
"Kama kweli kuna watu waliokufa arusha wasizikwe"! sasa kama huna hakika kwanini unasema wasizikwe? kuhushu sheria zipo ila chadema wana vichwa vigumu hawataki kuzitekeleza! habari ndio hiyo kudadadeeki!
ni heri umesema humu kwenye jf lakini inaonyesha ubongo wako ni finyu na hauna akili ulidhani shule za kata zitakusaidia,pambaaaaaaaaaaaaa.......fu sako,go to hell
 
lowasa aliwaambia cmm hali si shwari arusha yaweza kuwa ivory coast au liberia wakae na chadema mezani makamba akamwita lowasa mchochezi. Haya sasa yako wapi. Shame on u makamba

Hapa Lowasa aliwaambia ukweli CCM wenzake. Tatizo ni kuwa chama hicho hawapendi kuambiana ukweli, wanapenda kusifiana uongo.
 
Tutawazika kwa maandamano ya nchi nzima...................................
Napendekeza kwa kuwa watz hawamtaki kikwete watakuwa tayari pia kuacha shughulizao na kuungana na wanamabadiliko wote watz kuomboleza msiba huu kubwa wa kutafuta uhuru.........wakati wa kudai uhuru wa bendera mababu zetu walimwaga damu na sasa tuna bendera na sisi tumwage damu ili tupate uhuru kutoka kwa kikwete na mafisadi wake

unawasemea watanzania wachache sana!
 
Ni wazo jema sana.

Ufanyike uratibu wa kinachoendelea ili ushirikishwaji wa watu wengi uwezekane.
Nina uhakika kuna watu wengi sana watakuwa na utayari wa kushiriki kwa namna yoyote...
 
Back
Top Bottom