Mazishi ya Wapigania Uhuru wa TZ huko Arusha waliouawa kidhalimu 5 January 2011

Wazo zuri sana.Jinsi ya kuratibu kunahitaji michango zaidi.Shime wana jamvi tuchangie na kujadili hili wazo.

"True freedom must be expressed through the human ability to think critically, to analyze and to make informed decisions about oneself, his society and the world "- Sidanganyiki2010
 
Ndugu wananchi wenzangu tunaopigania uhuru wa kweli wa nchi yetu ya Tanganyika, poleni sana. Serikali haramu ya CCM katika jiji la Arusha imeua waajiri wake (wananchi), imewajeruhi, kuwadhalilisha, kuwatesa, kuwapiga mabomu ya machozi, kuwarushia maji washawasha, kuwakera, kuwakimbiza hovyohovyo, kuwafarakanisha na familia na ndugu zao, kuwasababisha wasiendelee na kazi zao za kujipatia kipato, na kuwadharau. Imewaweka korokoroni viongozi halali wa wananch, na leo nasikia itawafikisha mahakamani.

Wakati kwenye thread nyingine tunahabarishana kinachojiri na kujieleza hisia zetu, nimeona nianzishe hii thread kuomba na kuelekeza yafuatayo;

1. Tuoneshe heshima yetu ya dhati kwa kuwaenzi wale waliokufa katika harakati hizi za siku ya kwanza ya kudai uhuru na ukombozi wa kweli wa nchi yetu Tanganyika (hata kama ni polisi alikufa). Ndugu, jamaa na marafiki zao watafarijika sana kuona kwamba wamepoteza ndugu zao ambao wanathaminiwa na wananchi wote. Kwanza walio arusha wafuatilie kwa kina details za waliokufa watupatie. Pili, watutangazie tarehe za mazishi kwa kila mmoja wao na eneo/mkoa ambapo maziko yatafanyika. Tatu, chadema wafungue bank account ili tupitishe michango yetu humo kuwafariji waliofiwa. Hii ina maana kama aliyekufa ni bread earner wa familia basi watoto wake wapelekwe shule na mambo kama hayo.

2. Waliojeruhiwa na kulazwa hospitali watambuliwe na kuorodheshwa kwenye tovuti maalumu ya uhuru wa kweli wa Tanganyika (ianzishwe). Kisha walio arusha na wale wanaoweza kusafiri kuelekea huko wawatembelee hawa majeruhi na kuwafariji. Michango yetu pia itumike kugharamia matibabu yao. Wapewe cheti maalumu cha kutambua mchango wao katika kudai uhuru wa kweli ya nchi yetu Tanganyika, ili hata vitukuu vyao viwe na ushahidi wa kujivunia.

3. Kwenye picha za jana, niliona baadhi ya wakina mama wachache sana pale uwanjani. Nilisisimka! Naomba watafutwe nao waorodheshwe na kutambuliwa kwa namna ya pekee. Hawa ndio wanawake wanaojua uwezo wao, siyo wale wanaosubiri kuwezeshwa ndipo waweze. Pia kwenye picha niliona wabunge wanawake wa Chadema na Mke wa Rais wa Ukweli wa Tanganyika, itafurahisha kama watatambuliwa kwa namna ya pekee pia

4. Wapinganaji wenzetu wamekamatwa na polisi na watafikishwa katika mahakama. Tunaomba pia tuchangie gharama za kesi na kujikimu kwao na wale wanaoshuhulikia hili tatizo

5. Tuanzishe kalenda ya ukombozi na kudai uhuru wa Tanganyika, ikianzia tarehe 5 January 2011. Chadema waanzishe kitengo cha kurekodi kumbukumbu za matukio na vitendo vyote kila siku ili vije kutumika kuandika historia ya kweli ya ukombozi wa nchi yetu. Taarifa hizi ziwe wazi kwenye tovuti ili kuepusha kuchakachuliwa kama ccm walivyochakachua histori ya tanzania

6. Kila mmoja wetu katika eneo alilopo, achangie na kugharamia harakati za wananchi wanaounga mkono mapambano ya kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye mikono ya hawa makuwadi, matapeli, majambazi, na wauaji. Eneza habari mtaani kwako, kazini kwako na hata mahali popote unapotembelea. Watu wengi bado wana imani kwamba serikali yetu ni tukufu na hawajui matatizo makubwa ya utawala huu uliopo madarakani sasa hivi.

Sina mamlaka wala wadhifa wa kutoa tamko, bali ni mawazo yangu tu

Big UP;;
 
Waliokufa ni wangapi?mwenye taarifa kamili atuambie tafadhali,ni muhimu kujua kama kuna mahayati wowote
 
wazo zuri sana.jinsi ya kuratibu kunahitaji michango zaidi.shime wana jamvi tuchangie na kujadili hili wazo.

"true freedom must be expressed through the human ability to think critically, to analyze and to make informed decisions about oneself, his society and the world "- sidanganyiki2010
lowasa aliwaambia cmm hali si shwari arusha yaweza kuwa ivory coast au liberia wakae na chadema mezani makamba akamwita lowasa mchochezi. Haya sasa yako wapi. Shame on u makamba
 
Ndugu wana JF.
Hakuna sheria yoyote inayosema mtu akiandamana kama hana kibali apigwe risasi za moto.
Dunia nzima huwa watu wanaandamana kila wakati na hakuna mauaji wala ngeu. Hakuna sababu ya viongozi wetu kuwa wasuluhishi nchi za nje wakati ndani ya nchi yao wanaua raia.
Ushauri wangu:
Kama kweli kuna watu waliokufa arusha wasizikwe kwanza tuhakikishe tunaweka kumbu kumbu zao sawa kabla ya kufanya mazishi na pia wale wote waliojeruhiwa wahesabiwe na kuchukuliwa video.
1.Hii itasaidia kuwajulishe mabalozi na asasi za kimataifa hasa zile za haki za binadamu ili wajue kwamba....Tanzania tuna sheria nyingi lakini hakuna utawala wa sheria na pili tuna katiba lakini hakuna serikali inayoongozwa na hiyo katiba.
Shime shime watanzania ndugu wa marehemu watembeleewe na kufarijiwa na zichukuliwe video na picha ili kuweka kumbu kumbu sawa.
 
naunga mkono hoja ccm na mali zao chadema na wananchi wao!
 
Wazo zuri sana.Jinsi ya kuratibu kunahitaji michango zaidi.Shime wana jamvi tuchangie na kujadili hili wazo.

so, Who will chair for it / who chairs for it ili tuwasilishe michango kwa mujibu wa angalizo la GURUDUMU?
 
YOU CAN FOOL PEOPLE SOMETIME BUT YOU CAN NOT FOOL PEOPLE ALL THE TIME - I can see it coming now
 
Wanawake walikuwa wengi sana labda kama unazungumzia wakati wa maandamano....
 
Well thought, well said mkuu.. Nadhani docta wa ukweli na wa CDM wameiona hii. But ni muhimu tujadili namna ambavyo idea zetu zaweza kuwa put into actions.. We are the resources this nation wants. It is possible kuikomboa nchi yetu tena kwa njia za amani kabisa but if we can stand together with that real desire to act...
 
lowasa aliwaambia cmm hali si shwari arusha yaweza kuwa ivory coast au liberia wakae na chadema mezani makamba akamwita lowasa mchochezi. Haya sasa yako wapi. Shame on u makamba

naikumbuka hii,
 
Naunga mkono hoja.
Kwakuwa hili ni suala la wazalendo wa kweli wa nchi hii, ni vema hii msg ikafika kwa wananchi walio wengi, ili Tanganyika ya kweli ipate kukombolewa kutoka kwenye utawala dhalimu wa CCM na Kikwete wake.
 
Ndugu wananchi wenzangu tunaopigania uhuru wa kweli wa nchi yetu ya Tanganyika, poleni sana. Serikali haramu ya CCM katika jiji la Arusha imeua waajiri wake (wananchi), imewajeruhi, kuwadhalilisha, kuwatesa, kuwapiga mabomu ya machozi, kuwarushia maji washawasha, kuwakera, kuwakimbiza hovyohovyo, kuwafarakanisha na familia na ndugu zao, kuwasababisha wasiendelee na kazi zao za kujipatia kipato, na kuwadharau. Imewaweka korokoroni viongozi halali wa wananch, na leo nasikia itawafikisha mahakamani.

Wakati kwenye thread nyingine tunahabarishana kinachojiri na kujieleza hisia zetu, nimeona nianzishe hii thread kuomba na kuelekeza yafuatayo;

1. Tuoneshe heshima yetu ya dhati kwa kuwaenzi wale waliokufa katika harakati hizi za siku ya kwanza ya kudai uhuru na ukombozi wa kweli wa nchi yetu Tanganyika (hata kama ni polisi alikufa). Ndugu, jamaa na marafiki zao watafarijika sana kuona kwamba wamepoteza ndugu zao ambao wanathaminiwa na wananchi wote. Kwanza walio arusha wafuatilie kwa kina details za waliokufa watupatie. Pili, watutangazie tarehe za mazishi kwa kila mmoja wao na eneo/mkoa ambapo maziko yatafanyika. Tatu, chadema wafungue bank account ili tupitishe michango yetu humo kuwafariji waliofiwa. Hii ina maana kama aliyekufa ni bread earner wa familia basi watoto wake wapelekwe shule na mambo kama hayo.

2. Waliojeruhiwa na kulazwa hospitali watambuliwe na kuorodheshwa kwenye tovuti maalumu ya uhuru wa kweli wa Tanganyika (ianzishwe). Kisha walio arusha na wale wanaoweza kusafiri kuelekea huko wawatembelee hawa majeruhi na kuwafariji. Michango yetu pia itumike kugharamia matibabu yao. Wapewe cheti maalumu cha kutambua mchango wao katika kudai uhuru wa kweli ya nchi yetu Tanganyika, ili hata vitukuu vyao viwe na ushahidi wa kujivunia.

3. Kwenye picha za jana, niliona baadhi ya wakina mama wachache sana pale uwanjani. Nilisisimka! Naomba watafutwe nao waorodheshwe na kutambuliwa kwa namna ya pekee. Hawa ndio wanawake wanaojua uwezo wao, siyo wale wanaosubiri kuwezeshwa ndipo waweze. Pia kwenye picha niliona wabunge wanawake wa Chadema na Mke wa Rais wa Ukweli wa Tanganyika, itafurahisha kama watatambuliwa kwa namna ya pekee pia

4. Wapinganaji wenzetu wamekamatwa na polisi na watafikishwa katika mahakama. Tunaomba pia tuchangie gharama za kesi na kujikimu kwao na wale wanaoshuhulikia hili tatizo

5. Tuanzishe kalenda ya ukombozi na kudai uhuru wa Tanganyika, ikianzia tarehe 5 January 2011. Chadema waanzishe kitengo cha kurekodi kumbukumbu za matukio na vitendo vyote kila siku ili vije kutumika kuandika historia ya kweli ya ukombozi wa nchi yetu. Taarifa hizi ziwe wazi kwenye tovuti ili kuepusha kuchakachuliwa kama ccm walivyochakachua histori ya tanzania

6. Kila mmoja wetu katika eneo alilopo, achangie na kugharamia harakati za wananchi wanaounga mkono mapambano ya kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye mikono ya hawa makuwadi, matapeli, majambazi, na wauaji. Eneza habari mtaani kwako, kazini kwako na hata mahali popote unapotembelea. Watu wengi bado wana imani kwamba serikali yetu ni tukufu na hawajui matatizo makubwa ya utawala huu uliopo madarakani sasa hivi.

Sina mamlaka wala wadhifa wa kutoa tamko, bali ni mawazo yangu tu

Ahsante.... inasisimua
 
Wazo zuri sana, tupate majina ya waliofariki na ninaomba sana kwa polisi iwe established kuwa kweli ni wafanyakazi wa Arusha , tusijeuziwa mbuzi kwenye gunia
Naogopa kuwa wanaweza kuplant maiti za polisi ili kuineutralize situation!
 
Ndugu wana JF.
Hakuna sheria yoyote inayosema mtu akiandamana kama hana kibali apigwe risasi za moto.
Dunia nzima huwa watu wanaandamana kila wakati na hakuna mauaji wala ngeu. Hakuna sababu ya viongozi wetu kuwa wasuluhishi nchi za nje wakati ndani ya nchi yao wanaua raia.
Ushauri wangu:
Kama kweli kuna watu waliokufa arusha wasizikwe kwanza tuhakikishe tunaweka kumbu kumbu zao sawa kabla ya kufanya mazishi na pia wale wote waliojeruhiwa wahesabiwe na kuchukuliwa video.
1.Hii itasaidia kuwajulishe mabalozi na asasi za kimataifa hasa zile za haki za binadamu ili wajue kwamba....Tanzania tuna sheria nyingi lakini hakuna utawala wa sheria na pili tuna katiba lakini hakuna serikali inayoongozwa na hiyo katiba.
Shime shime watanzania ndugu wa marehemu watembeleewe na kufarijiwa na zichukuliwe video na picha ili kuweka kumbu kumbu sawa.

"Kama kweli kuna watu waliokufa arusha wasizikwe"! sasa kama huna hakika kwanini unasema wasizikwe? kuhushu sheria zipo ila chadema wana vichwa vigumu hawataki kuzitekeleza! habari ndio hiyo kudadadeeki!
 
Jana ucku nilipata msg kutoka kwa bro Arusha inasadikika police 1 kachinjwa na watu 4 wamepigwa risasi na kufa papo hapo:::mwenye ukweli mwingine anijuze
 
Ingeleta tija sana kama Chadema walijipanga vizuri kutekeleza haya sasa hivi. This is a challenge to them on how effective they can these kinds of crises kama tukiwakabidhi nchi. Ni vizuri wakaja kwenye hii thread with their real names na kuongoza mjadala huu, ili pia tuwapatie mawazo na misaada zaidi. Hii ni vita yetu wote, it is time for some of us to unmask ourselves!!
 
Ndugu wananchi wenzangu tunaopigania uhuru wa kweli wa nchi yetu ya Tanganyika, poleni sana. Serikali haramu ya CCM katika jiji la Arusha imeua waajiri wake (wananchi), imewajeruhi, kuwadhalilisha, kuwatesa, kuwapiga mabomu ya machozi, kuwarushia maji washawasha, kuwakera, kuwakimbiza hovyohovyo, kuwafarakanisha na familia na ndugu zao, kuwasababisha wasiendelee na kazi zao za kujipatia kipato, na kuwadharau. Imewaweka korokoroni viongozi halali wa wananch, na leo nasikia itawafikisha mahakamani.

Wakati kwenye thread nyingine tunahabarishana kinachojiri na kujieleza hisia zetu, nimeona nianzishe hii thread kuomba na kuelekeza yafuatayo;

1. Tuoneshe heshima yetu ya dhati kwa kuwaenzi wale waliokufa katika harakati hizi za siku ya kwanza ya kudai uhuru na ukombozi wa kweli wa nchi yetu Tanganyika (hata kama ni polisi alikufa). Ndugu, jamaa na marafiki zao watafarijika sana kuona kwamba wamepoteza ndugu zao ambao wanathaminiwa na wananchi wote. Kwanza walio arusha wafuatilie kwa kina details za waliokufa watupatie. Pili, watutangazie tarehe za mazishi kwa kila mmoja wao na eneo/mkoa ambapo maziko yatafanyika. Tatu, chadema wafungue bank account ili tupitishe michango yetu humo kuwafariji waliofiwa. Hii ina maana kama aliyekufa ni bread earner wa familia basi watoto wake wapelekwe shule na mambo kama hayo.

2. Waliojeruhiwa na kulazwa hospitali watambuliwe na kuorodheshwa kwenye tovuti maalumu ya uhuru wa kweli wa Tanganyika (ianzishwe). Kisha walio arusha na wale wanaoweza kusafiri kuelekea huko wawatembelee hawa majeruhi na kuwafariji. Michango yetu pia itumike kugharamia matibabu yao. Wapewe cheti maalumu cha kutambua mchango wao katika kudai uhuru wa kweli ya nchi yetu Tanganyika, ili hata vitukuu vyao viwe na ushahidi wa kujivunia.

3. Kwenye picha za jana, niliona baadhi ya wakina mama wachache sana pale uwanjani. Nilisisimka! Naomba watafutwe nao waorodheshwe na kutambuliwa kwa namna ya pekee. Hawa ndio wanawake wanaojua uwezo wao, siyo wale wanaosubiri kuwezeshwa ndipo waweze. Pia kwenye picha niliona wabunge wanawake wa Chadema na Mke wa Rais wa Ukweli wa Tanganyika, itafurahisha kama watatambuliwa kwa namna ya pekee pia

4. Wapinganaji wenzetu wamekamatwa na polisi na watafikishwa katika mahakama. Tunaomba pia tuchangie gharama za kesi na kujikimu kwao na wale wanaoshuhulikia hili tatizo

5. Tuanzishe kalenda ya ukombozi na kudai uhuru wa Tanganyika, ikianzia tarehe 5 January 2011. Chadema waanzishe kitengo cha kurekodi kumbukumbu za matukio na vitendo vyote kila siku ili vije kutumika kuandika historia ya kweli ya ukombozi wa nchi yetu. Taarifa hizi ziwe wazi kwenye tovuti ili kuepusha kuchakachuliwa kama ccm walivyochakachua histori ya tanzania

6. Kila mmoja wetu katika eneo alilopo, achangie na kugharamia harakati za wananchi wanaounga mkono mapambano ya kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye mikono ya hawa makuwadi, matapeli, majambazi, na wauaji. Eneza habari mtaani kwako, kazini kwako na hata mahali popote unapotembelea. Watu wengi bado wana imani kwamba serikali yetu ni tukufu na hawajui matatizo makubwa ya utawala huu uliopo madarakani sasa hivi.

Sina mamlaka wala wadhifa wa kutoa tamko, bali ni mawazo yangu tu

Waliyataka wenyewe lakini asiye sikia la mkuu huvunjika guu
 
Back
Top Bottom