Mazishi ya Wapigania Uhuru wa TZ huko Arusha waliouawa kidhalimu 5 January 2011

Acheni ujinga...fanyeni mabo ya maan asio kutulazimisha kuukubali ujinga wenu..mnajua tafsiri ya uhuru?na mna uhakika hao waliokuwa wakiwarushia mawe polisi kujibizana nao kwa kutumia nguvu walikuwa wapigania uhuru??we umemsikia kiongozi gani wa chadema katoa msaada hata wa kununua sanda za marehemu??wakoime kutangulizwa mbele na wanasiasa kama chambo.........

sasa wewe polisi humu JF umeingia lini..., humu hamna hasira... hasira hasara.....mmeshaleta hasara na hasira zenu za kipolisi
 
Mkuu, unajaribu kusema wote wanaotaka kuchangia tukaunge foleni ofisi za Chadema? Unadhani kwa kufanya hivyo hatutakuwa tumerudi kwenye karne ya stone age? Na wale makada wa ccm na watendaji wa serikali ambao wanataka kuchangia nao wakaunge foleni ofisi za Chadema?

Hata hivyo naheshimu uwezo wako wa kufikiri, kwa dhati kabisa. Serikali ya ccm imefikisha ubora wa elimu yetu hapo.
ni mapema mno kutaka kuwa laumu cdm kumbuka viongozi karibu wote walikuwa ndani na swala la kuchangisha nilamda kuna kufungua acc na mambo mengi...pia kuna umhimu wa kufaoya tathimini kabla chama hakijatoa maamzi kama hayo..vipi chama ikiamua kutumia pesa ya chama kwenye swala hilo
 
Shukrani Chadema, kesho napanda basi naja. I hope other JF members leave their keyboards and do everything it takes to attend this funeral.
 
Waungwana,

Napenda kutoa ombi kwenu ili tufanye mchango wa nguvu kuwasaidia katika gharama za mazishi ndugu, jamaa na marafiki wa wale ambao wamepoteza maisha yao katika mauaji yaliyotokea Arusha na pia kuwasaidia wale waliojeruhiwa pesa za matibabu.

Invisible, Maxence na Mods tafadhali nawaomba muandae utaratibu wa kukusanya pesa toka ndani na nje ya nchi ili kufanikisha jambo hili na kututaarifu rasmi wapi tupeleke michango yetu.

Natanguliza shukrani.

UPDATE: Soma pendekezo la mkuu Gurudumu hapa


JF si chama cha siasa na wala JF haifungamani na chama chochote cha siasa. Kuanza kukusanya michango si dalili njema kwa ambao hatuna vyama. Ninashauri kama kuna members wa JF ambao ni wakereketwa wa chadema au activists wafanye mipangilio yao wenyewe bila kuhusisha JF, Unless Invisible, Maxence na Mods watuambie kuwa JF imetoka kwenye vision yake na kuwa chama cha siasa au kuwa sehemu ya chama fulani cha siasa.

We need to think objectively before writting regardless of your stand or political party affiliation
 
100% agreed. Namwomba Mnyika au zitto kabwe a-cordinate hii issue kwani siyo tu itawasaidia wahanga bali itaijengea picha nzuri CDM mbele ya wananchi.

una posts 14 tu, wewe mwana chadema unatuvurigia JF kama ulitaka kufikisha ujumbe magazeti ya chadema yapo
 
JF si chama cha siasa na wala JF haifungamani na chama chochote cha siasa. Kuanza kukusanya michango si dalili njema kwa ambao hatuna vyama. Ninashauri kama kuna members wa JF ambao ni wakereketwa wa chadema au activists wafanye mipangilio yao wenyewe bila kuhusisha JF, Unless Invisible, Maxence na Mods watuambie kuwa JF imetoka kwenye vision yake na kuwa chama cha siasa au kuwa sehemu ya chama fulani cha siasa.

We need to think objectively before writting regardless of your stand or political party affiliation

Kwani michango inapelekwa JF au ni JF inatoa ukumbe wa watu kukutana na kuorganize? wanasiasa wanapokutana baa, je, yule mwenye baa awafukuze kwa sababu wanajadili na kupanga mambo ya kisiasa? Hivi polisi kuua mwananchi hiyo ni siasa?
 
Back
Top Bottom